'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,172
Reaction score
1,490
Kwa wale wote mnaotumia bidhaa za oraimo nowdays wamekuja na freepods lite zinauzwa around 28,000tsh Kwa maduka ya oraimo ila nje ya hapo 40k wanauza

Hivi ni kweli sound nzuri na base walau mtu unaweza pata mziki wa kuridhisha at least

Na Kwa baject ya 30K pods nzuri naweza pata Kwa Dar ZENYE sound nzuri

Tupeane ushaurii product gani nzuri kwa bajeti Yako

Natumaini mmeaka salama

Asubuhi njema.

Screenshot_20230911-193113.jpg
IMG-20230830-WA0005.jpg
%24Airpods%20Pro%20Recrsi%20(1_3).jpg
 
Yote yanayosemwa kuhusu freepods lite nikweli kabisa, play time ni zaid ya masaa saba. Mwazo niliona kama ni lugha ya kibiashara lakini nilithibisha siku niliyokuwa na safiri coz nilipata muda mwingi wa kusikiliza mziki. kingine na penda app yao unaweza kucontrol saut kubadilisha mode kutizama chaji ya kila pod na charging case yake.
Kwa budget yako chukua freepods lite huto juta
 
Mimi nimetumia oraimo freepods 3 for 1 month now and my experience has been great so far...kwanza battery life is great...they advertise 8 hrs sijawahi kufika huko ila kwa my extensive uses nimewahi kudrain only to 40%....volume is loud and clear...base nayo ni nzuri...call clarity is good...nachoweza kusema ni great for its price range!
 
Mzee mziki una sound na base clear walau sikio liburudike na ubongo
 
Mimi nimetumia oraimo freepods 3 for 1 month now and my experience has been great so far...kwanza battery life is great...they advertise 8 hrs sijawahi kufika huko ila kwa my extensive uses nimewahi kudrain only to 40%....volume is loud and clear...base nayo ni nzuri...call clarity is good...nachoweza kusema ni great for its price range!
Pamoja freepod 3 Bei Gan zinacheza
 
Msisahau hili watumiaji wa earpods,, kadiri unavyotumia muda mrefu ndio unavyoua utendendaji kazi wa masikio yako.
Limiting yangu ni one hour Tena Kwa sauti ndogo hapo nikeeka sikio moja
 
Yote yanayosemwa kuhusu freepods lite nikweli kabisa, play time ni zaid ya masaa saba. Mwazo niliona kama ni lugha ya kibiashara lakini nilithibisha siku niliyokuwa na safiri coz nilipata muda mwingi wa kusikiliza mziki. kingine na penda app yao unaweza kucontrol saut kubadilisha mode kutizama chaji ya kila pod na charging case yake.
Kwa budget yako chukua freepods lite huto juta
Na feature ya ANC ni kweli ipo au pambo tu?
 
Kwa wale wote mnaotumia bidhaa za oraimo nowdays wamekuja na freepods lite zinauzwa around 28,000tsh Kwa maduka ya oraimo ila nje ya hapo 40k wanauza

Hivi ni kweli sound nzuri na base walau mtu unaweza pata mziki wa kuridhisha at least

Na Kwa baject ya 30K pods nzuri naweza pata Kwa Dar ZENYE sound nzuri

Tupeane ushaurii product gani nzuri kwa bajeti Yako

Natumaini mmeaka salama

Asubuhi njema.

View attachment 2752940View attachment 2752942View attachment 2752945
Niliwahi kuitumia, ni nzuri sana, ingawa uzuri wake ni kwa miezi miwili hadi mitatu ya mwanzo. Baada ya hapo ni mwendo wa kuisha chaji ndani ya nusu saa, ikijitahidi sana ni lisaa tu. Ila sound quality hubaki palepale
 
Back
Top Bottom