'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

Umezungumzia madhara yanayotokana na matumizi ya earpods

Na mimi nimekuonesha madhara kwa upande wa simu.
Tumia akili dogo,, tangu ugunduzi wa simu hakuna madhara ya moja kwa moja kwa mtumiaj kiafya. Lakini Earpods zinaharibu utendaji wa masikio moja kwa moja. USIKAZE UBONGO NA ACHA UJUAJI KUNUKA MAVI.
 
Vp hii ni airpod jamaa anauza 30K
IMG-20230918-WA0004.jpg
 
Tumia akili dogo,, tangu ugunduzi wa simu hakuna madhara ya moja kwa moja kwa mtumiaj kiafya. Lakini Earpods zinaharibu utendaji wa masikio moja kwa moja. USIKAZE UBONGO NA ACHA UJUAJI KUNUKA MAVI.
Matusi ya nini sasa?

Kama umeshindwa kubishana kwa hoja umechagua matusi kama sehemu ya mjadala basi siwezi nakuacha ushinde.
 
Matusi ya nini sasa?

Kama umeshindwa kubishana kwa hoja umechagua matusi kama sehemu ya mjadala basi siwezi nakuacha ushinde.
mimi naongea kuhusu EARPODS kama mada inavyosema,, wewe unaongelea simu?? wewe unajiona upo sawa?? ndo maana nakwambia tumia akili. Huu mjadala unahusu earpods wewe unaongelea simu ndo nini???
 
Kwa wale wote mnaotumia bidhaa za oraimo nowdays wamekuja na freepods lite zinauzwa around 28,000tsh Kwa maduka ya oraimo ila nje ya hapo 40k wanauza

Hivi ni kweli sound nzuri na base walau mtu unaweza pata mziki wa kuridhisha at least

Na Kwa baject ya 30K pods nzuri naweza pata Kwa Dar ZENYE sound nzuri

Tupeane ushaurii product gani nzuri kwa bajeti Yako

Natumaini mmeaka salama

Asubuhi njema.

View attachment 2752940View attachment 2752942View attachment 2752945
Acha huo uchafu kanunue zile za 370k
 
Watu wqbishi sana

Hizi fashion zinaweza kukupa ulemavu ukaja jua

Kuishi na DEAFNESS, Haearing Impairment na something like that sio kazi Rahisi katika hizi jamii zetu.

Haya madude ya Decibels za kutosha yanaweza Haribu masikio Yako kama sio ngoma za sikio basi Hair Cells au oditory nerves.

Soon mtaanza hudhuria ENT clinic muhimbili au Mlongazila.

Na matibabu yake very expensive.

Na mbaya zaidi masikio hayako favourable most of time kufanya surgery sababu ya location yake.

Kama Kuna kitu unaweza jipendelea katika haya maisha basi kuhakikisha milango Yako ya fahamu especially macho na masikio Yako safe muda wote

Otherwise maisha Yako yatabadilika completely ifikie hatua ujutie kuishi

Maisha wanayoishi vipofu na viziwi Yana changamoto kubwa waulizeni if u can.
 
mwaka wa 12 huu navaa earphone.tena nikikuwekea sauti ninayotumia unapata kichaa siku hiyo hiyo.

wagonjwa wa masikio hata earphone hawazijui.
 
Yote yanayosemwa kuhusu freepods lite nikweli kabisa, play time ni zaid ya masaa saba. Mwazo niliona kama ni lugha ya kibiashara lakini nilithibisha siku niliyokuwa na safiri coz nilipata muda mwingi wa kusikiliza mziki. kingine na penda app yao unaweza kucontrol saut kubadilisha mode kutizama chaji ya kila pod na charging case yake.
Kwa budget yako chukua freepods lite huto juta
Bei gani
 
Back
Top Bottom