'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

Tunaelewa vizuri madhara ya earpods na nikwambia Kila Kitu kina madhara lakini ukifata muongozo sahihi huwezi pata madhara

Upo seheme clear akuna kelele sound unaweka asilimia 20 at least for hearingsafe

Mtu unaweka sound asilimia 80 very loud [emoji344] uyo mtu ndo anaweza pata madhara lakini itachukua muda tatizo kuonekana

Hizi product tutumia Kwa kufuata muongozo sahihi

Nikwambia Tu Nina jamaa yangu Kidogo asikii vizuri na anatumia earbud anaweka mziki na Unaongea anakusikia vizuri Tu why kwasababu. Anaweza low voice ambazo anaweka kumsikia na mtu mwingine

Itoshe kusema earpod ukitumia Kwa kufuata muongozo sahihi utaishi nazo
 
Mimi kwa mziki ninavyoutune hata nikiweka 80% ya sauti sidhani kama itaniletea jam. Hata nikiskiliza mziki 8 hours sichokii sababu naufilter sana mziki to the lows.
 
Mzee hizo Oraimo nishaziskiliza hazina maajabu sana japo zina unafuu sana. Angalau unapata mziki mzuri kwa kiwango flani sio nyenze.
Habari
Hizi earpods/Oraimo nazionaga tu watu wamevaa masikioni nawaona mabishoo.

Naweza nikazitumia hata kwenye laptop/computer?

Zinakua na dongle lake la kuchomeka kwenye USB port ya computer ama ni pure Bluetooth connection
 
Kukiwa na balance ya Clear sound na base you will fall in music
Hizi earpods ndio zinanipa hio raha "EDIFIER" ni noise cancelling. Acoustics na Bass ziko balanced vizuri mno.
DSC_1192.JPG
 
Back
Top Bottom