virtualLife
Member
- Oct 23, 2022
- 9
- 21
kweli ni nzuri ukifananisha na earphones nyingi za bei hiyo, hata wateja wa rejareja walikuwa wananunua kwa kurudia yani jamaa zao wakizijaribu nao wanazitaka. kwa upande wangu zikaniulia soko la lenovo xt92 ambazo zinafanana kiasi ila chaji na bass gm2 pro ni zaidi. ila bei zinaendana.Uhakika kaka. Nimeona review zake pale aliexpress. Kwakweli raia wengi wameridhika nazo sana tu
Ila naona kidogo kunavitu vimepungua kwa zinazotoka saizi na bei imepungua, japo wengi hawagundui na bado wana appreciate ubora(ndio bado ni nzuri kwa bei yake).
Wapo kama wanne ambao waligundua hilo, mmoja ni raia wa Canada nilimuuzia mara 3, mara ya mwisho akaniambia kidogo bass imepungua. Wengine ni toka Zanzibar, Mwanza na Dar nao waligundua. wengine hawaja gundua japo nimewauzia mara nyingi(utofauti ni mdogo ila zimepungua).
Hizo feedbacks umeziona hazidanganyi, ni earphones imara pia, ninayo natumia
pia kuna lenovo lp75 nazo zina sauti nzuri.
QCY t13 nazo ziko vizuri( qcy t13 zile ambazo hazina ANC ndio nauzoefu nazo)
Uhakika kaka. Nimeona review zake pale aliexpress. Kwakweli raia wengi wameridhika nazo sana tu