'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

Watu wqbishi sana

Hizi fashion zinaweza kukupa ulemavu ukaja jua

Kuishi na DEAFNESS, Haearing Impairment na something like that sio kazi Rahisi katika hizi jamii zetu.

Haya madude ya Decibels za kutosha yanaweza Haribu masikio Yako kama sio ngoma za sikio basi Hair Cells au oditory nerves.

Soon mtaanza hudhuria ENT clinic muhimbili au Mlongazila.

Na matibabu yake very expensive.

Na mbaya zaidi masikio hayako favourable most of time kufanya surgery sababu ya location yake.

Kama Kuna kitu unaweza jipendelea katika haya maisha basi kuhakikisha milango Yako ya fahamu especially macho na masikio Yako safe muda wote

Otherwise maisha Yako yatabadilika completely ifikie hatua ujutie kuishi

Maisha wanayoishi vipofu na viziwi Yana changamoto kubwa waulizeni if u can.
Ukisema hivyo vitu vingi hautotumia ,unataka kusema hizi earphones za kamba ni salama ? unajua madhara ya mwanga sa simu tunaotumia ? Unajua madhara ya kuongea na simu ikiwa sikioni ?
 
mimi naongea kuhusu EARPODS kama mada inavyosema,, wewe unaongelea simu?? wewe unajiona upo sawa?? ndo maana nakwambia tumia akili. Huu mjadala unahusu earpods wewe unaongelea simu ndo nini???
Karibia katika kila kitu kuna madhara , simu za mkononi nazo nimesikia kuwa ukiweza sikioni kuongea na mtu kuna madhara makubwa , hata earphones za wire sidhani kama nazo hazina madhara bado simu, computers nk mwanga wake vilevile sio salama kwa macho.
 
Earpod tumia kwenye mazingira usiyotaka kuwakera wengine mfano unapata vibes la kabisa ukisikiliza sebene, gospel, reggae,nk.
Maana kazi na Muzik lakini better ukitumia Bluetooth speaker za nje Kama upo eneo peke yako kuepukaa madhara ya mda mrefu kutumia pod
 
Fafanua kiundani ANC ni kitu gani ,jinsi inavyokuwa na faida zake tupate ujuzi wengine..
Adaptive noise cancellation

Ina zuia sauti ambazo zipo karibu yako zisiweze kuku interrupt unaposikiliza earpods

Ushawahi kuona uwanjani baada ya mechi kipindi cha kwanza wachambuzi wanatoa analysis ya mchezo huku majukaani mashabiki wanapiga makelele lakini wao wanasikilizana?
 
Back
Top Bottom