Kwani Amps 2 si zaidi ya Watts 18?Oraimo ni tecno hivyo same supply.
Kuhusu uzuri ndio ni 5v 2A (10W) charger, ila si fast charging za 18W kuendelea, hivyo Inategemea na simu.
Hakikisha unachecki authenticity ya bidhaa hyo. Charger fake za oraimo zimejaa mitaani. Ni charger nzuri tu kma simu zisizokuwa na fast charging.Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ni mara ya pili sasa nanunua charger kampuni ya Oraimo, Mara ya kwanza nimenunua nikatumia kama miaka miwili alafu ikafa charger na kufa kwake kichwa cha charger nilianguka nacho , ikabidi niishi kwakuungaunga kikubwa tu nichaji simu yangu , nimeenda na hiyo khali nikaona wacha ninunue charger nyingine nikapeleleza wewe , nikaona nirudi kule kule nikachukua Oraimo Charger lakini ina sehemu mbili , nimeipenda sana ina sehemu ya Usb Mbili .
Kwa waliowahi kununua charger za namna hii kutoka kampuni ya Oraimo tupeni mrejesho km ni nzuri zaidi , yangu nimeinunua kwa elfu 15k , na ile ya sehemu moja nilinunua kwa elfu 10k.
Pia naona Oraimo kasambaa sana maduka mengi .. na product zote za Oraimo naona zinakuja na authentication.
Karibuni. View attachment 1741788
Mkuu kwa hapa bongo naona oraimo ni bora sana , mimi natumia kwenye simu yangu aina ya Oppo A3s na eneo nililopo nimejaribu kupatiwa charger madukani naona kuna samsung charger na zenyewe ni copy maana bei yake elfu 10k.Oraimo ni tecno hivyo same supply.
Kuhusu uzuri ndio ni 5v 2A (10W) charger, ila si fast charging za 18W kuendelea, hivyo Inategemea na simu.
Power (Watts) = Current, I × Voltage, VKwani Amps 2 si zaidi ya Watts 18?
Hyo ni OGMkuu nimecheck authenticity imeniambia hivi , View attachment 1741874
jaribu charger za Anker, zipo vizuti sana
Hivi kwa mwanza naweza pata hizo anker kweli ?Hawa ni moja ya wachina nafikir wako serious sana na kazi hata vifaa vyao ni ghali kweli
Hzo charger naona zipo hadi za laki 2 kma sikosei
Tws zipo hadi laki 4
Na reputation nzuri sana kwnye online store zao
OkayPower (Watts) = Current, I × Voltage, V
5V x 2A = 10W
Za 18W zinakuaga aidha 9V 2A or 6V 3A kuna zingine za 1.6A na 1.8A ila sio common sana
Mfano A3s haina fast charging hivyo kwako ni bora,Mkuu kwa hapa bongo naona oraimo ni bora sana , mimi natumia kwenye simu yangu aina ya Oppo A3s na eneo nililopo nimejaribu kupatiwa charger madukani naona kuna samsung charger na zenyewe ni copy maana bei yaje elfu 10k.
Mbona www.gsmarena.com inaonesha Oppo A3s inatumia fast charging ?Mfano A3s haina fast charging hivyo kwako ni bora,
Simu za sasa zinakuja na mabbatery makubwa 5000mah mpaka 7000mah ukitumia chaja za 5V/2A kama hio unakesha, simu nyingi za kisasa zina zaidi ya 20W chargers.