Oracle database certification

Oracle database certification

bukoba04

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
1,402
Reaction score
1,293
Habar Watalamu...

Nipo kwenye maandalizi ya kufanya mtihani wa kwanza wa OCA...

yaani najiandaa na SQL Fundamenta I (EXAM IZO-051)..

Sasa natafuta mtu ambaye anaweza kunipa msaada wa kukonect "Sql Developer" kwa ajili ya kuanza kufanya mazoezi...

Naomben msaada nishaangaika sana mitandaoni sijaweza kuvuka..

Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom