Optimax Business Consult, washauri wa biashara

Optimax Business Consult, washauri wa biashara

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Nilipopataamshahara wangu wa tano nilikuwa na idea nyingi za kuanzisha biashara ya kuniingizia kipato cha ziada na baadaye ikue kufikia kampuni kubwaa.

Nikawa nafuatilia makala mbali mbali za ujasiriamali kwene mitandao ya kijamii, WhatsApp, Facebook, JamiiForums kwene runinga, magazeti na hata makongamano lakini sikufanikiwa kuanza hata biashara moja sababu kila wazo lilikuwa linaonekana zuri mara kilimo mara vipodozi mara biashara ya mtandao.

Nikawa naumiza kichwa kila mwezi unakatika na mijukumu inazidi kurundikana, natumia pesa lakini still katika mind nilikuwa nawaza sana nifanye biashara gani?

Siku moja hivi kama bahati nikakutana na mtu alienibadilisha maisha yangu mpaka sasa, mmiliki wa kampuni ya OPTIMAX BUSINESS CONSULTS.

Niliongea nae muktadha wote, akaniambia NAHITAJI KUJUA MARKET KABLA YA KUANZISHA BIASHARA YOYOTE.

Akajipa jukumu la kunichambulia idea kama tatu hivi, kwa ustadi wa hali ya juu sana nilifanikiwa kuwajua wenzangu wanao FANYA biashara kama nayotaka kuanzisha. Tukakusanya taarifa za soko kwa utafiti wa kitaalamu kidogo lakini ni rahisi sana, tukapembua.

Ndani ya mwezi mmoja na wiki moja, tukafanikiwa kuja na mpango mkakati wa kuanzisha mradi mmoja RELIABLE, ndiposa nikapata ujasiri wa kuitumbukiza akiba yangu nusu katika mradi huu! Ambao projected turn over yake ni 300 million mwaka mmoja baada ya kuanzishwa.

Baada ya kukamirisha majukumu yake jamaa alinichaji kiasi kidogo sana tsh500,000 tu! Niliskia huruma kwa kweli kwasababu huu mradi ninauhakika nitafikia malengo yangu hata kama sio leo lakini OPTIMAX BUSINESS CONSULT wameniSET MIND yangu kiasi kwamba najiona BRAVE GIANT!
Mi si mchoyo jamani wenye matatizo yanayofanana na yangu au zaidi ya hayo katika biashara.

Hebu wasiliana nao hawa watu,ninawahakikishia KUNA PARADISO HAPA DUNIANI!

email optimaxbiasharaushauri@gmail.com

HIYO SHUHUDA NIMEIKOPI KAMA ILIVYO, USIJISHAURI MWENYEWE NDUGU YANGU DUNIA INAKIMBILIA ULIMWENGU WA DATA TAARIFA, KARIBU TUKUPIKE NA KUKUTAFTIA HIZO TAARIFA AMBAZO NI SILAHA MUHIMU KULIKO ZOTE KWENE BIASHARA NA UCHUMI WA SASA!
🙂🙂🙂🙂
 
Waliolima nyanya nasikia sasa sado ni 500/-kutoka 6,000/- na matikiti maji ndio watu walikimbilia sana nayo nasikia sasa la buku hapo kabla lilikuwa 5,000/- hukuwa wazee wa kusupply bidhaa hewa hawana pa kuzipeleka. Sijui ndio value for money!
 
Njaaaaaaa inaniuma na sina kazi hapa nilipo na nahisi arufu ya watu wanataka pesaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu naona unajitekenya mwenyewe. Hongera kwa li bisness consultant.
 
ungetuambia na wazo la biashara ulopewa mkuu
wazo la biashara hata nikikwambia ni biashara ya maji safi kwenye maeneo yanayokosa maji hapa tanzania na nchi za jirani,huoni kwamba unahitaji nyama nyama za kutosha kulielezea hilo wazo kabla huajaamu kwamba ulifanye au usilifanye, sasa mkuu hapo kwene hizo nyama nyama hizo,mfano wateja wangapi,mtaji kiasi gani,maeneo gani na vitu vingiiiiiii kama hivo ndo lazima ukutane na OPTIMAX BUSINESS CONSULTANT ili tuifanye dunia kuwa mahara salama pa kuishi hata,vuta picha ukifanya mradi kama huo miaka 60,vile vijiji unavyo viona leo vtakuwa katika hali gani baada ya wewe kusogeza huduma kama hiyo.
 
Njaaaaaaa inaniuma na sina kazi hapa nilipo na nahisi arufu ya watu wanataka pesaaaaaaaaaaaaaaaa
watu POSITIVE TUU ndo naona watanielewa kwenye post hiyo lakini ukiwa na mind set uchwara huwezi kuelewa hata kama wakikwambia kuku yako inataga dhahabu,
 
Napendaga maandishi matamu ya kutia moyo kama haya...!

I wish hata niingie mzima.
 
Nilipopataamshahara wangu wa tano nilikuwa na idea nyingi za kuanzisha biashara ya kuniingizia kipato cha ziada na baadaye ikue kufikia kampuni kubwaa.

Nikawa nafuatilia makala mbali mbali za ujasiriamali kwene mitandao ya kijamii, WhatsApp, Facebook, JamiiForums kwene runinga, magazeti na hata makongamano lakini sikufanikiwa kuanza hata biashara moja sababu kila wazo lilikuwa linaonekana zuri mara kilimo mara vipodozi mara biashara ya mtandao.

Nikawa naumiza kichwa kila mwezi unakatika na mijukumu inazidi kurundikana, natumia pesa lakini still katika mind nilikuwa nawaza sana nifanye biashara gani?

Siku moja hivi kama bahati nikakutana na mtu alienibadilisha maisha yangu mpaka sasa, mmiliki wa kampuni ya OPTIMAX BUSINESS CONSULTS.

Niliongea nae muktadha wote, akaniambia NAHITAJI KUJUA MARKET KABLA YA KUANZISHA BIASHARA YOYOTE.

Akajipa jukumu la kunichambulia idea kama tatu hivi, kwa ustadi wa hali ya juu sana nilifanikiwa kuwajua wenzangu wanao FANYA biashara kama nayotaka kuanzisha. Tukakusanya taarifa za soko kwa utafiti wa kitaalamu kidogo lakini ni rahisi sana, tukapembua.

Ndani ya mwezi mmoja na wiki moja, tukafanikiwa kuja na mpango mkakati wa kuanzisha mradi mmoja RELIABLE, ndiposa nikapata ujasiri wa kuitumbukiza akiba yangu nusu katika mradi huu! Ambao projected turn over yake ni 300 million mwaka mmoja baada ya kuanzishwa.

Baada ya kukamirisha majukumu yake jamaa alinichaji kiasi kidogo sana tsh500,000 tu! Niliskia huruma kwa kweli kwasababu huu mradi ninauhakika nitafikia malengo yangu hata kama sio leo lakini OPTIMAX BUSINESS CONSULT wameniSET MIND yangu kiasi kwamba najiona BRAVE GIANT!
Mi si mchoyo jamani wenye matatizo yanayofanana na yangu au zaidi ya hayo katika biashara.

Hebu wasiliana nao hawa watu,ninawahakikishia KUNA PARADISO HAPA DUNIANI!

Namba zao ni 0719466225 / 0714 483 444/ 0752 05 04 53! email optimaxbiasharaushauri@gmail.com

HIYO SHUHUDA NIMEIKOPI KAMA ILIVYO, USIJISHAURI MWENYEWE NDUGU YANGU DUNIA INAKIMBILIA ULIMWENGU WA DATA TAARIFA, KARIBU TUKUPIKE NA KUKUTAFTIA HIZO TAARIFA AMBAZO NI SILAHA MUHIMU KULIKO ZOTE KWENE BIASHARA NA UCHUMI WA SASA!
🙂🙂🙂🙂
Marketing ya kitapeli. Yaani testimony ambayo ipo fabricated na mtoa huduma. Hii naiita ni exploitation.
 
Swaga za semina FOREVER LIVING na wenzake. Na wewe ni mmoja wao ulichokikosa ni picha za mamtoni.
 
JF napo panaweza kuwa eneo hatarishi.. yetu macho
 
Marketing ya kitapeli. Yaani testimony ambayo ipo fabricated na mtoa huduma. Hii naiita ni exploitation.karibu mkuu shughuli zetu ni kufanya market research,data entry,business consultation shabaha kuu ni kuifanya dunia kuwa mahala salama zaidi pa kuishi!
 

Attachments

  • hahahahaha!.jpg
    hahahahaha!.jpg
    83.8 KB · Views: 45
Unajua kitu mnachokosea wajasiliamali wa tanzania ni tabia ya kuwaona watanzania(wateja/watumia huduma watarajiwa) kama wajinga kwa kutumia jitihada nyingi kuwanunulisha bidhaa au kuwafanya walipie huduma kwa nguvu ya ushawishi (wenyewe mnaita marketing)........bila kujua kuwa katika biashara ni jambo baya sana kumnunulisha au kumlipisha mtu kwa ushawishi wa kumhadaa akili ili wewe upate pesa halafu yeye umuache mataa........mwisho wa siku ndio maana kampuni huwa haziwezi kufika mbali maana zinabeba rekodi ya ulaghai kama sio utapeli.....

Sasa wewe mleta uzi unatuingia kwa staili ya ushuhuda wa kufanikiwa katika biashara yako lakini hata kwa mwanafunzi wa form six ataweza kujua au kutambua kuwa unatangaza kampuni fulani(si jambo baya) ila style yako imekaa kisanii zaidi kiasi kwamba unaweza kukosa wateja hivi mwanzoni tu. Kwanini usingeanza na approach nzuri ya kuitangaza direct ili uweze kuvutia wale wadau ambao wanashida ya huduma unayotoa yaani uwe muwazi moja kwa moja bila kutupiga kiswahili.........naomba ujitahidi kuufanyia kazi huu ushauri kama kweli umepania kutoka kibiashara na hiyo kampuni yako............sasa wewe unafanyaje huduma ya business consultancy halafu unakuwa msanii hivi......

Rekebisha approach.yako......business ethics hazikuruhusu kucheza na akili za watu maaana hata sheria za kibiashara zinakataa mtu kufanya biashara kwa lengo la kujipatia fedha huku aliyelipia huduma asifaidike na chochote........
 
Back
Top Bottom