Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 31,258
- 52,563
Angalia picha hii kwa umakini sana Je unaona nini hapo.
Ni cowboytwo faces,one is shadowy,the other is easily seen
LolHahahahah mwenzenu nimuona butterfly lol
Daah sikutegemea kucheka sana mida hii!Kwa mbali namuona Polepole.
kweli ukiangalia inaonekana hivyo kwa kwelidu kwa maharaka yangu mi nikaona jidudu la ajabu sana, kumbe cowboy.