The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Oh noo...ni wabaguzi tu. Kwa vile yeye ni mweusi walimbagua.
Unaijua hii kesi?
Oh noo...ni wabaguzi tu. Kwa vile yeye ni mweusi walimbagua.
Misunderstanding iko wapi hapo...umemwambia mtu hawezi bei ya bidhaa.nukta!
Hamna cha ku-misundertand hapo kamanda.
Unaijua hii kesi?
Difficult to tell bearing in mind English ya huyo shop assistance ilikuwa siyo nzuri.
Hata hivyo, hii si mara ya kwanza. Mwaka 2005 Oprah alikataliwa kuingia kwenye posh store huko Paris.
Labda nae anaweza kuwa na hii kadi?
![]()
![]()
![]()
Wenye store walidai walikuwa hawaruhusu mtu yoyote kwa sababu kulikuwa na function iliyokuwa ikiendelea kwenye store.
who is Cynthia Mckinney ?
who is Cynthia Mckinney ?
Former Georgia US congresswoman.
Nilikuwa curious kujua why na yeye ametuhumiwa kutumia racecard...
Mungu wangu - hapo unapata gari mpya kabisa, tena sio kivitz!Inasemekana bei ya handbag yenyewe ilikuwa ni USD 35,000 halafu wewe eti unataka kuiangalia wakati hata hujapaka wanja? lol.
There is a big political raw in Switzerland in relation to discrimination of immigrants and asylum seekers.
Swiss in a multicultural bunch speaking about four different national languages. It is a country of immigration with many people going there to work.
It has been said that the Swiss are open on one side, but at the same time it is quite difficult to join their club.
Hahahaaa unaona sasa....hapo usikute yeye kwa vile ni Oprah aliona anastahili tu kuingia muda wowote ule.
Oprah can't even relate to the hood.
Misunderstanding iko wapi hapo...umemwambia mtu hawezi bei ya bidhaa.nukta!
Hamna cha ku-misundertand hapo kamanda.
... by all means you couldn't defend racism nor political-correctness gaffes in today's life, but again I think racism card get pulled out way too easily in circumstance which if the supposedly wrongdoers were to be broda or sistas such incidents would otherwise be labelled ignorance. As such... the obvious question here would then be, are we trying to suggest that ignorance doesn't exist in 'white societies'?!