Oprah Winfrey told she can't afford an expensive handbag

Oprah Winfrey told she can't afford an expensive handbag

Nilikuwa curious kujua why na yeye ametuhumiwa kutumia racecard...

McKinney awaited word on whether she would be charged for apparently hitting an officer after she entered a House office building this week unrecognized and did not stop when asked. Her lawyer said "Ms. McKinney is just a victim of being in Congress while black."

Members of Congress wear identifying lapel pins and routinely are waved into buildings without undergoing security checks. McKinney was not wearing her pin at the time, and the officer apparently did not recognize her, she has said.

"Congresswoman McKinney, in a hurry, was essentially chased and grabbed by the officer," Myart said. "She reacted instinctively in an effort to defend herself."

Several Capitol Police officials have said the officer involved asked McKinney three times to stop. When she did not, he placed a hand on her and she hit him, they said.

In a draft of a statement that McKinney did not release, she said the officer "bodyblocked" her during the incident, and she blamed his failure to recognize her on a recent makeover.

"It is ... a shame that while I conduct the country's business, I have to stop and call the police to tell them that I've changed my hairstyle so that I'm not harassed at work," McKinney said in the draft..

Source: USATODAY.com - Lawyer says McKinney a victim in scuffle
 
I have been to Switzerland na iwapo sijakuwepo hapo niko convinced kuwa hiyo inauwezekano mkubwa zaidi wa kuwa ukweli.

Zurich hata ukifika Airport tu kuna polisi wanasimama mlangoni mwa ndege kuscreen watu weusi!!!

Ni lazima wascreen watu weusi, maana baadhi ya serikali Afrika ikiwemo yetu zimeshindwa kuzuia ipasavyo upakiaji wa madawa ya kulevya kwenye ndege, iwe kwa kumezwa na 'punda' au kubebwa kama mizigo. Kibaya zaidi tatizo limeshamiri maana wahusika wanaotajwa karibia wote ni 'vigogo' wa serikali au wanamahusiano na viongozi wakubwa serikalini.
 
Wanauza madawa ya kulevya weusi hawafikii hata robo ya wauza madawa ya kulevya wazungu.
 
I have been to Switzerland na iwapo sijakuwepo hapo niko convinced kuwa hiyo inauwezekano mkubwa zaidi wa kuwa ukweli.

Zurich hata ukifika Airport tu kuna polisi wanasimama mlangoni mwa ndege kuscreen watu weusi!!!

Hata wale weusi wanaokwenda huko kucheki accounts zao za benki?

Hivi ni hapa JF nilisoma kuwa kuna Mtanzania alienda huko kucheki account yake, wakawa wanamkatalia kutokana na jinsi alivyokuwa amevaa?
 
Mbona story ipo upande mmoja ...watu weusi tunapenda lalamika kila jambo hata jambo lililotokea tumesababisha wenyewe kupewa adhabu ya kubaguliwa . Waafrika kwa waafrika tunabaguana ije mzungu na mwafrika !rejea issue ya 50cent alipofika SA na alivyowachukulia waafrika wenzie waishio Afrika .

Chriss Rock katika moja ya vicheksho vyake alishawahi kutoa ujumbe kuhusu watu weusi tunavyobaguana wenyewe kwa wenyewe kwa hiyo tukibaguliwa na wazungu tusilalamike . Historia ya ubaguzi hata huku kwetu Afrika ilikuwepo kabla ya hao wazungu hawajafika .
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hii imetokea Florida mwezi ulopita. Madogo watatu weusi walimpa kibano dogo mmoja wa kizungu kwenye school bus. Haija make headlines kihivyo. Why? Had it been the other way round there would have been marches and speeches like never before. Why?

Perhaps it was in response to this? When it comes to race, America never stop to amaze me

Last edited by a moderator:
Hata wale weusi wanaokweda huko kucheki accounts zao za benki?

Hivi ni hapa JF nilisoma kuwa kuna Mtanzania alienda huko kucheki account yake, wakawa wanamkatalia kutokana na jinsi alivyokuwa amevaa?

SS Bakhresa alikwenda kucheki mkwanja wake Switzerland. Sasa jamaa kashajizoelea humble dressing kibongobongo, watu wakamuona huyu mfagizi gani anataka kutuchafulia hewa hapa, wakawa kama wanataka kumtoa maana haelekei kuwa na uwezo wa ku bank hapo.

Jamaa akawatolea relevant credentials kwamba ni mteja wao, wakaaenda kuangalia wakakuta si mteja tu, bali ana hela ndefu sio "minimal deposit". Ikabidi watake kumlamba miguu.

I have to say, while in Zurich I did find some stares to be unusually cold. Mdada duka la saa anakuangalia kama vile unapoteza muda wao tu una peruse huwezi kununua. Niliponunua akawa kama kashangaa lakini soo.

I am the last person to lump people together but I was tempted to say "these Germanic tribes, I guess the Holocaust wasn't enough!".
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni lazima wascreen watu weusi, maana baadhi ya serikali Afrika ikiwemo yetu zimeshindwa kuzuia ipasavyo upakiaji wa madawa ya kulevya kwenye ndege, iwe kwa kumezwa na 'punda' au kubebwa kama mizigo. Kibaya zaidi tatizo limeshamiri maana wahusika wanaotajwa karibia wote ni 'vigogo' wa serikali au wanamahusiano na viongozi wakubwa serikalini.

Pia inadaiwa idadi ya asylum seekers ni kubwa huko.

Around 48,000 kwa sasa ambayo ni mara mbili average barani Ulaya.
 
SS Bakhresa alikwenda kucheki mkwanja wake Switzerland. Sasa jamaa kashajizoelea humble dressing kibongobongo, watu wakamuona huyu mfagizi gani anataka kutuchafulia hewa hapa, wakawa kama wanataka kumtoa maana haelekei kuwa na uwezo wa ku bank hapo.

Jamaa akawatolea relevant credentials kwamba ni mteja wao, wakaaenda kuangalia wakakuta si mteja tu, bali ana hela ndefu sio "minimal deposit". Ikabidi watake kumlamba miguu.

I have to say, while in Zurich I did find some stares to be unusually cold. Mdada duka la saa anakuangalia kama vile unapoteza muda wao tu una peruse huwezi kununua. Niliponunua akawa kama kashangaa lakini soo.

I am the last person to lump people together but I was tempted to say "these Germanic tribes, I guess the Holocaust wasn't enough!".

Probably, they assumed you and Bakhresa were asylum seekers housed in their special centres to prevent tensions with local residents.
 
Hii imetokea Florida mwezi ulopita. Madogo watatu weusi walimpa kibano dogo mmoja wa kizungu kwenye school bus. Haija make headlines kihivyo. Why? Had it been the other way round there would have been marches and speeches like never before. Why?

Aisee... daah, inasikitisha. Na inasikitisha zaidi kwa kuona watu wazima nyuma ya basi nao wakiogopa ku-intervene whether for fear of the unknown (those culprits could be carrying guns or sorts)or simply for not giving a damn as it is none of their business.
 
What about this one...?

Is there any race issue in this other incident?

[video=youtube_share;vWpmSlSrqGk]http://youtu.be/vWpmSlSrqGk[/video]
 
Last edited by a moderator:
Hata wale weusi wanaokwenda huko kucheki accounts zao za benki?

Hivi ni hapa JF nilisoma kuwa kuna Mtanzania alienda huko kucheki account yake, wakawa wanamkatalia kutokana na jinsi alivyokuwa amevaa?

Wote wanaonekana "mafala" tu. Sidhani kama kati yao yupo mwenye hela zinayomkaribia Oprah...
 
hii ndio akili ya kiswahili, tena umesahau kusema angemuuliza "unajua mi ni nani?"

Mimi nimesema lili nilokusudia kusema. Hayo mengine ni yako na ndiyo yanayo dhihiri akili za kiswahili. Kwani ni lazima niseme utakacho wewe?
 
Misunderstanding iko wapi hapo...umemwambia mtu hawezi bei ya bidhaa.nukta!
Hamna cha ku-misundertand hapo kamanda.

Haya mambo hata hapa nchini yapo sijui niyaitaje maana hata mbantu mwenzako anaweza kukunyanyapaa kama umeuliza au uko interested na kitu cha bei kali kwani yeye anakuthaminisha kwa jinsi ulivyoingia kumbe kuna wengine huwa wana mbinu zao wanapotaka kwenda kununua kitu wanakuwa wapo simple ili kumhadaa muuzaji na matokeo yake anakosa hela
 
Wote wanaonekana "mafala" tu. Sidhani kama kati yao yupo mwenye hela zinayomkaribia Oprah...

Maybe, tofauti na akina Bakhresa na wengine, Oprah hatambuliwi huko kwa sababu hahifadhi pesa zake kwenye benki za Uswisi?
 
Maybe, tofauti na akina Bakhresa na wengine, Oprah hatambuliwi huko kwa sababu hahifadhi pesa zake kwenye benki za Uswisi?

Marekani walipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe karne ya 17. Hakuna dalili kama vita ya wenyewe kwa wenyewe au vita ndani ya American Soil inaweza kutokea anytime soon.

Mmarekani can affrod to think US is the World, an African (and hence a Tanzanian) can not...
 
Back
Top Bottom