Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
Mawazo ya kipunguwani kabisa haya..wakenye sio mabwege kama mlivyo watanzania mnashabikia vitu visivo na tija na maana katika maisha yenu
Very true indeed. Huyu atakuwa ni mbongo fleva artist, muuza unga au mtu aliyepata fursa ya kuwa na smart phone hivi karibuni hivyo ana itest na app ya JF. Usiwe na hasira naye ila inabidi tumpe pole tu.