Oprah Winfrey lands in Serengeti for private visit

Oprah Winfrey lands in Serengeti for private visit

Huyu mama Oprah mbona mpaka umri huu hana mume, hana mtoto? Lazima msagaji huyu.
 
great news for our tourism sector, and habari wakenya wetu?
 
afu kwanini ruaha national park haijulikani?hakuna hotels za maana,acitvities mbalimbali km serengeti nk ilhali ina vivutio vingi na pametulia kweli@TANAPA wasikie hili
 
At least I lost you in a jungle ...... ........ . . .... ... BO (Baraka Obama) alipokuwa Dar pamoja na kuwa joined na GB George Bush). BO alikaa Kilimanjaro Hotel wengine wanaita Kempsiki chijui chiku hizi barabara zilifungwa katika kipindi alichokuwa pale ..... ........ ... ... ..... ....... vile vile alikuwa na wapambe kibao hata OWhakwenda Serengeti bila kuwa na wapambe kibao pamoja na marafiki .... ... ... ..
So what is the point you want to drive home??????
 
Back
Top Bottom