Oprah Content on being 'a never married woman'

Oprah Content on being 'a never married woman'

Msikilize Oprah halafu ndo u comment.

Wengine hatutaki kuoa precisely because wadada wazuri hawajaisha.

so u won't get married b'se u're not capable of handling responsibilities!!? thats what oprah said
 
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!

Mkuu hapo kwenye red: Mara nyingi wakishagonga 30s bila kuolewa wanaamuaga kuzaa na mpita njia yeyote. Kwa hiyo wanakuwaga na watoto lakini baba wa watoto ni confidential! Wanaolea yatima na watoto wa kuadopt ni wale wanaojijua kuwa they are infertile.
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anyway nilikuwa na peruz na kudadisi mablog mbali mbali nikakutana na Bi mkubwa Oprah akifunguka juu ya ku consider marriage baada ya kuhudhuria harusi ya Bibi Tina Turnner na uwezekano ku die a NEVER MARRIED WOMAN! Check out what she said!

When asked if she would leave earth as a “never-married” woman, Oprah made her feelings very clear. “Yes,” she told Access Hollywood. “Yeah, I think that’s my final answer.”
“I think that it’s interesting that you would ask it because I thought about it again at Tina Turner’s wedding. Because Tina was like, ‘Oprah, you need to do this. You need to do it.’ I was just thinking, ‘Well, OK, would things really be different?’ And no, I don’t think so. If you ever interviewed him (Stedman), he would tell you that had we married, we would not be together today, because he’s a traditional man and this is a very untraditional relationship.”​
Oprah also explained that she couldn’t be a wife because the word holds responsibilities she doesn’t feel capable of handling.

Sasa huyu bibie ni MTU MWENYE UPEO MKUBWA SANAAA! So ntu wa caliber yake kuyasema maneno haya ilinipa challange kidogo. She could buy or impress any man to marry her but SHE TAKES MARRIAGE SERIOUSLY!

Nilijaribu kuangalia Marriage kwa perspective yake na kweli ni mwendo wa COMMITMENT, SACRIFICE, COMPROMISING, DEDICATION, TRUST, ETC vitu ambavo wasichana wengi wa siku hizi tunavichukulia wepesi wepesi tu baadae vinakuelemea!

Na hata kama umeolewa JE UNALITENDEA NENO WIFE HAKI?????????? Au ndo wife ushahidi? Either way its never too late to change! DO YOUR HUSBANDS PROUD LADIES!!!!!!!

huyo oprah ni freemason hawafagiliagi ndoa hao usikute ni lesbian
 
Hahahahaaaaaaaaaa! What regrets? She still have ample time to change her decision! I bet you the world she wont! Oprah cant just tolerate LYING TO HERSELF!!!!!!!!!

Oprah atawadanganya wengi mno
deep down anazo regrets....
ni kwamba now its too late....
pesa zoote zile zitaishia charity tu
nafikiri kuwa wife na kuwa mother ni vitu ambavyo kila mwanamke
anapenda experience.....hata kama kuna dirvoce huko mbele,au watoto kuwa hasara tupu
 
Anae bwana kwa miaka mingi tu ila hajaolewa. Technically ni kama ameolewa ama ni kimada. Anachokiogopa huyu Opra ni yale yaliomtokea JLo. Hataki aje aachane na mume halafu aishie kumtajirisha mtu

images


oprah-and-stedman.jpg


oprahs3.jpg
Oprah+Winfrey+boyfriend+Stedman+Graham+dinner+2GPSyd6VRqXl.jpg

Technically kashaolewa. Ila anakwepa baadhi ya majukumu.Kama kweli angekuwa anapinga kuolewa basi asiwe na mtu kabisaaaa
 
Unajua mnapokuwa vijana mnajifariji sana na maneno ya mitandaoni na kampani mlizonazo. Fainali above 45 ambapo wenzako wanapata faraja na ukaribu wa mume na watoto na we uko peke yako. Utalea sana watoto wa ndugu wakikua wanasepa. Utalea sana yatima, wakikua wanaondoka. Utahudhuria kila pub ili upate wa kukupigisha stori mwisho utajikuta kila siku uko peke yako. Utageukia dini na kuzijua ratiba za makanisa yoote mpaka utaingia na yale yanayomwabudu shetani. Na baadaye utarudi kwenye serengeti boys! Huku sasa ndo utakuwa umeelekea mwisho. Lakini yote ni sababu ya jeuri na kujifanya uko dedicated!

daaaah!umenena,,,
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana.

Naye ataijenga nyumba yake mwenyewe. Atamheshimu na kumtii mume wake.

Mke -------- huibomoa nyumba yake mwenyewe.

Amina.

Weekend njema wanaume wenzangu tuliooa wake wema.


Hapo unamaanisha yule aliyeachika ndiye mke mwema!!!!?
 
Oprah atawadanganya wengi mno
deep down anazo regrets....
ni kwamba now its too late....
pesa zoote zile zitaishia charity tu
nafikiri kuwa wife na kuwa mother ni vitu ambavyo kila mwanamke
anapenda experience.....hata kama kuna dirvoce huko mbele,au watoto kuwa hasara tupu

HAHAHHAAAAAAAA! Sasa umekuwa msemaji wake wa her inner most things! Truth is its just your thoughts playing tricks on you!!!!!!!!!!

Kuwa mother sio kila mtu anapenda! Lasivo wasingezishusha engine kwa kasi! Some people just wish to end their generation with themselves.

Na kuwa Wife like wise sidhani kama Oprah ana penda kihivooo! Kama mtu aliweza kupata vigumu kama kuwa world sucessfull talk show host, given her palace and reputation before society eyes ingekuwa likely hata kwake kuwaziba mdomo tu kwa kufanya what is expected of her! Ila she choose THE HARD ROAD! To remain true to herself! She lets you speculate, curse, do whatever your heads play trick on you but as long as she is true to herself it doesnt matter!!!!!!!!!

Mimi binafsi sitamani and i even get phobias just thinking the possibility of being a broke wife, or a poor mother who cant provide to them little toddlers! If my fate is like that ill challange my destiny by never marrying or having kids i cant raise! Soetimes you gotta sacrifise your self to challange your fate!
 
Technically kashaolewa. Ila anakwepa baadhi ya majukumu.Kama kweli angekuwa anapinga kuolewa basi asiwe na mtu kabisaaaa

Kuolewa ni kujicommit kwa mtu forever sio sawa na kuwa na mtu mnakula goodtimes tu, mkikerana kila mtu asepe! Hawajaona ni BF na GF
 
Kwahio hutaoa kwa sababu huwezi kumudu responsibilities za ndoa!? thats what oprah think

The deeper message aliyotoa Oprah ni kwamba, ndoa has unrealistic expectations, na kama yeye angekuwa kaolewa na Steadman wangekuwa washaachana, kwa sababu ile change of status kuwa "mume" au "mke" inaleta change of expectations.

Sasa hivi hakuna expectations.

Kama umemsikiliza vizuri Oprah, kasema Steadmam angeanza kumfanyia zile za ki-mfumodume za "we mwanamke niletee chai hapa" not exactly in those words, sasa Oprah ndo anasema wangekosana.

Lakini sasa hivi wanaishi poa tu kwa sababu Steadman hawezi kutoa commands na demands za ajabu kwa sababu hawajaoana.

So kwangu mimi, tena kwa mifumo yetu, the more pertinment issue would be kwamba sitaki perks za ndoa kwa mwanamme more than kuogopa responsibilities.

Responsibility gani? Responsibility is my middle name, I eat it for lunch every weekday, why should I fear it?

I just don't subscribe to the entire idea of that institution.Too much hoopla for something that really should be between two people.Especially in our culture where we don't even have a word for eloping.

If there is one I don't know it.

How do you say "Let's elope" in Swahili? Or any tribal language?
 
Oprah anaweza kuwa 'selfish' vilevile

hakutaka ku 'sacrifice' kwa mtu yeyote

kwake yeye its all about her

self centered and selfish woman...

What's wrong with being selfish?

Halafu how can you say somebody ambaye amekuwa charitable kama yeye kuanzisha projects kibao za kijamii, far and wide, kwamba ni selfish?

Wewe umefanya nini zaidi yake? Kama hujafanya basi na wewe ni selfish.

Tena ni selfish zaidi kwa kutaka Oprah aishi kama unavyotaka wewe, na si kama anavyotaka yeye.

Who is selfish now?
 
Ndoa ni wito, sio wote walioitwa kuingia kwenye ndoa!
 
Back
Top Bottom