Oprah Content on being 'a never married woman'

Oprah Content on being 'a never married woman'

Na kwa nini mtu uongelee kitu ambacho huna hata experience nacho...woga mbaya sana...utasikia marriage this...marriage that...ukiuliza umeoa/olewa/achika/achana/acha jibu Hapana...umejuaje...oooh nimeona...ingie ucheze uje na ushuuda wenye mashiko


Ijapokuwa ndoa nyingi zimekuwa majanga, lakini zipo ambazo ni very fine!! hivyo hakuna sababu ya kuogopa vitu ambavyo binadamu wenzio wameweza.
 
What's wrong with being selfish?

Halafu how can you say somebody ambaye amekuwa charitable kama yeye kuanzisha projects kibao za kijamii, far and wide, kwamba ni selfish?

Wewe umefanya nini zaidi yake? Kama hujafanya basi na wewe ni selfish.

Tena ni selfish zaidi kwa kutaka Oprah aishi kama unavyotaka wewe, na si kama anavyotaka yeye.

Who is selfish now?


Mimi kuwa selfish hakuhalalishi Oprah awe selfish

na watu kufanya charity sio lazima iwe wanafanya sababu they are not selfish
yawezekana wanafanya charity ili 'to feel good about themselves'
na kupambana na 'guilty feelings ' kwa kuwa wako too rich huku wako surrounded na watu wengi maskini
na hiyo pia ni kuwa 'selfish' still
 
I think we're all selfish to some extent, kutoa misaada kwenye charity haimanishi sio selfish, charity na ndoa ni vitu viwili tofauti, anasema ndoa inataka commitment na sacrifice, nafikiri hata kuendesha organization zake kunahitaji commitment na sacrifice nyingi tu, why she can't apply those principles kwenye ndoa? Ndio uselfish wenyewe.
 
Lara 1 so u want to be lyke oprah,
Historia ya opra inasema yeye alizaliwa kweny familia maskn, na alivyokua bint mdogo aliwah kutendwa vibaya na wanaume, from that tym paka leo anawachukia wanaume..

Usimwige oprah..
Subiri mume wako atoke kwa bwana

Sijui kama anawachukia wanaume, huyo boyfriend wake mbona wako wote sasa mwaka wa 27
 
Kwa kisukuma="Kulehya'

Lakini naunga mkono hoja, kama hujisikii kuoa ama kuolewa ni bora kutofanya hivyo kwa kuhofia jamii inayokuzunguka. Maana ikitokea ukaoa halafu ukashindwa kukidhi matarajio ya jamii kwenye ndoa hiyo, utaishi kwa masimango zaidi, 'mwanamme suruali, halei watoto, katelekeza mke'. Kwa nini upae hayo yote? bora kutooa tu.

The deeper message aliyotoa Oprah ni kwamba, ndoa has unrealistic expectations, na kama yeye angekuwa kaolewa na Steadman wangekuwa washaachana, kwa sababu ile change of status kuwa "mume" au "mke" inaleta change of expectations.

Sasa hivi hakuna expectations.

Kama umemsikiliza vizuri Oprah, kasema Steadmam angeanza kumfanyia zile za ki-mfumodume za "we mwanamke niletee chai hapa" not exactly in those words, sasa Oprah ndo anasema wangekosana.

Lakini sasa hivi wanaishi poa tu kwa sababu Steadman hawezi kutoa commands na demands za ajabu kwa sababu hawajaoana.

So kwangu mimi, tena kwa mifumo yetu, the more pertinment issue would be kwamba sitaki perks za ndoa kwa mwanamme more than kuogopa responsibilities.

Responsibility gani? Responsibility is my middle name, I eat it for lunch every weekday, why should I fear it?

I just don't subscribe to the entire idea of that institution.Too much hoopla for something that really should be between two people.Especially in our culture where we don't even have a word for eloping.

If there is one I don't know it.

How do you say "Let's elope" in Swahili? Or any tribal language?
 
They are entitled to their opinion, lakini hawabadilishi jinsi wewe unavyoifikiria ndoa.

Sometimes unaweza jikuta umezungukwa na watu unaofikiri nao tofauti kabisa juu ya jambo fulani, lakini ukitafakari utakuta kuna mahali pengine watu wana mtazamo sawa na wewe. Mie naona uko okay kabisa kuwa hao ulipo, hadi utakapoamua kubadili mtazamo wako.

Kwani watu wa jf ndio wanatunga 'manual' ya jinsi ya kuishi kwa usahihi zaidi?

bora wewe umesema kuna walio kwenye ndoa hapa JF, wanaona ambao hawajaolewa kama wamezungukwa na mikosi hivi, hawana bahati na bla bla kibao,
 
If one has the ability and belives that he can marry let him/her do so and if one also has self doubts n insecurities over marriage then dont do it.
Dont compell yurself in vowe that will make yu unhappy
 
Kwa kisukuma="Kulehya'

Lakini naunga mkono hoja, kama hujisikii kuoa ama kuolewa ni bora kutofanya hivyo kwa kuhofia jamii inayokuzunguka. Maana ikitokea ukaoa halafu ukashindwa kukidhi matarajio ya jamii kwenye ndoa hiyo, utaishi kwa masimango zaidi, 'mwanamme suruali, halei watoto, katelekeza mke'. Kwa nini upae hayo yote? bora kutooa tu.

Hahaha,

Wasukuma hatujachacha.

Thanks for the vocab. Sasa najua nikipata writers block katika kuandika kisukuma nikimbilie wapi.
 
Back
Top Bottom