Opposition Power Woes Now Linked to MP Lissu’s Assassination Plot

Walifungua CCTV camera kwa kaleman na mbowe ndiye amiri jeshi mkuu amezuia uchunguzi wa shambulizi la lisu lisichunguzwe na vyombo vya dola.
Wewe nae unausikiza uvumi uliovumishwa na makamanda uchwara.
 
Shetani lililopanga huu unyama ndio liakuwa linahonga wahariri kuandika hizi habari za kipropaganda na uzushi.

Tuna genge la majitu ya hovyo sana!!
mbona hukusema haya wakati genge la majitu ya hovyo na wahariri waliokuwa wanahongwa na Lowasaaaa hukusema..??? genge likiwa sio la upande wenu mnapanic
 
Aisee Sasa nawaogopa sana wafuasi wa chadema. Nawaogopa kwasabb hakuna àliye na nia ya dhati ya kuendeleza upinzan bali wapo ili kuuvunja upinzan.

Wananunulika kirahisi sana. Ni wajuvi wa kutunga uongo halafu ukaekwa kama hukumu.

Mwita ww ni wa kusema hayo Leo? Hivi unadhan huo ubunge ukipata utakufa nao?

Shetani ana sura nyingi sana
 
Viongozi wa CHADEMA ndio wanaozui uchunguzi huru?
Mbowe ni amiri jeshi mkuu amezuia vyombo vya dola kuchunguza unyama huu kama kuna taifa la wajinga basi ni hili hivi kweli kuna asiyefahamu waliofanya jaribio la mauaji ya lisu?
Kama waliomuua billionea msuya wamekamatwa tunashindwaje kukamata waliorekodiwa na CCTV camera?
 
Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Sasa mbona serikal hiyo hiyo tena yenye dola haiwakamati na kiwafungulia kesi?

Kama mbowe ana kesi za uchochez kibao. Kwann imekuwa ngumu kumfungulia ya kuplot assassination?

Mwita amekaa nayo all that time Sasa kwann hukwenda kuripot pale ilipoytangazwa mwenye kujua japo ukweli aende kutoa taarifa polis ili kusaidia wahusika kukamatwa hakwenda?
 
Lakini mbona huyu aliepo sasa hivi yeye ni kugombana na watu, kutoa kauli chonganishi ndo mambo yake na ni kiongozi wa taifa?
 
Mbowe ni amiri jeshi mkuu amezuia
Tofauti kati ya CUF na Chadema ni kubwa Cuf wao hupambana kwa visomo na dua na njia za uchawi,Chadema kwa upande mwingine wao assassinarions.

Wapinzani wanatakiwa kuelewa siasa sio chuki,wapige siasa za sera ili wananchi warudishe imani.
 
"In the First Amendment, the Founding Fathers gave the free press the protection it must have to fulfill its essential role in our democracy. The press was to serve the governed, not the governors." (Judge Hugo Black, writing for the 6-3 U.S. Supreme Court majority that decided in favor of the press.)
 
Lakini hawapigi wake zao mpaka kulazwa hospitali
Sky Eclat unadhani MTU anayeweza piga mke mpaka analazwa hoi hospital, ambaye anampa vitu zaidi ya miaka 20, anampikia kila siku na ametunzia watoto mpaka wamekuwa atakuwa na roho ya huruma kwa wampingao?
Huyo anaweza kukuchoma mishikaki na akaila
 
Leader“He (Mr. Mbowe) threatened on my live in front a dozen party officials for my decision to support Mr. Lissu.

.. Threatened my LIVE.... In FRONT A Dozen...

You get to know the reporters' credibility to understand news reliability..
 
Kwako ni furaha sana chief, au sio. Tambua kuwa watesi wake kamwe hawataachwa hvi hvi, nawe unaeshabikia maumivu ya binadam mwenzio nawe pia huna tofauti na watesi wake, kamwe hutaachwa hvi hvi utavuna tuuu, muda utaongea.
Huyu aliye andika si mwamdishi kama waandishi wengine? Sasa kwa vile akiandika kwa kiingereza basi Mbowe anahusika. Mwenyewe muhusika na dereva wake wamewaona wauaji hao ndiyo wasema kweli. Pia kwa nini serikali anakataa uchunguzi huru ? Hapa jiwe hachomoki niwatumie wengine walete msaada kama hii kwa kifaransa bado jiwe na mwanaye ni first suspect.
Msilete kiswahili marefu waleteni wachunguzi huru.
Halafu hii mkwala.mbona haina jipya so imerudia maneno aliyosema Waitara?
 
Subirini dawa iwaingie. Mlidhani hayatajulikana. Yako wazi kweupeeee kila mtu atayashangaaa. Hata kwa Wangwe mlinifanya ni selikari kumbe ni nyie wenyewe. Sisi wajanja tulishawashtukia miaka sasa. Wauwaji wakubwa.
Kwa hiyo nyie sio wajanja ni wapumbavu msio stahili kupewa dhamana ya kuongoza dola.
Chadema wanaua mbunge wao badala ya kuchukua hatua eti mnalalamika kuwa tumegundua nyo and nyo!
Mapropaganda yenu CCM yanaiaibisha sana serikali. Mara Wangwe Mara Lissu na hatua hazichukuliwi hivyo bora muondoke kwani wananchi hawana imani nanyi kuwalinda dhidi ya Chadema.
Hata Iringa mlianza kusema Mwandishi kauwawa na kitu kutoka wafuasi wa chadema mpaka picha zilipo waumbua. Mnajua yule Polisi alikuwa anasema nini kule magereza?
Kuna siku yote yatasemwa wazi kama wale wazee wa GESTAPO ambao wanashtakiwa SAA hizi wakiwa na miaka 90 au 80
 
Hakika "Wonders Never End." Mhusika na mhanga wa tukio yuko hai. Hajafa wala hakufa. Upuuzi wa kifikra unatoka wapi? Tumwamini MWITA au LISSU? Kama ni Lissu kasema hivyo basi tumwamini yeye. Kitengo cha propaganda hakiko makini na hivyo mtapata taabu sana kupika taarifa za uongo zionekane za ukweli. Nawahurumia sana wana Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…