Oppo simu Bhana!

Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Sasahivi iCloud inatoka kuna tutorial niliona YouTube inafanya kazi 100% hata kwa iPhone 13 jaribu kucheki utaiona
 
Hakuna kinacho shindikana kwenye technology mbinu ulizotumia kufunga wengine wanatumia kufungua japo inaweza kuhitaji knowledge ya kutosha
 
Tunza vizuri ikusaidie kwenye kazi zako ila usiache iibiwe ukazani itakuwa kopo
 
Hizo ni Calculator brother, imagine nina miaka 10 nimetumia Samsung mbili tu na hii ya pili ndiyo nimetumia kukujibu wewe hapa ambayo ninayo toka 2016
 
Nikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078
Now mediatek helio iko vizuri inakimbizana na snapdragon hata Samsung baadhi hizi zinatumia kama a32 inatumia helio g80 soc.Hata zile zilizotengenezwa Korea mfano niliona a32 version ya Korea inatumia helio g80 soc sema yenyewe ni laini moja 128gb 6gb ram

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Samsung anatumia kwa midrange products hawezi tumia mediatek kwa flagship zake s series na note series
 
Moving with the mass ,u gonna be an ass.

Kipya kinyemi......

Masikini akipata........

Cha mtu .......

Asset over liability and vice versa...

Wabongo nuksi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…