King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,206
- 1,308
Msaada wakuu simu tajwa hapo juu nashindwa ku install social network kama WhatsApp, YouTube
Kama mnavyo jua simu za China mitandao ya kijamii baadhi ilipigwa burn so naomba mwenye uelewa niweze kutumia WhatsApp
Chief mkwa
Mpaka apk zile nashindwa kuintal nilitaka niinstall Vpn niweze kuifaidi hii simu