Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

Ngoja niongelee mambo machache hapa
1. Mwanakijiji jana alisema kuwa anatafanya tu introduction, na baada ya hapo angekuwa anaenda moja kwa moja kwenye hoja. Lakini cha kushangaza record ya leo kaanza tena na introduction hadi dakika ya 3.45

2. Mwanakijiji anasema kuwa mara tu baada ya uchaguzi uliopita Slaa aliamini yeye atakuwa raisi. Hata hivyo Mwanakijiji hatoi reference yeyote kuwa kwa nini anaamini Slaa aliamini hivyo. Badala yake anakuja kufanya reference kwenye kauli ya Lissu kuwa Slaa alipendekezwa mwezi January mwaka huu awe mgombea. Mwanakijiji anatakiwa atuambie yeye amejuaje kuwa Slaa aliamini yeye ndiye atakuwa mgombea

3. Mwanakijiji anasema kuwa Mbowe alifanya kosa kumpokea Lowassa na kumpa ridhaa ya kugombea. Katika hili Mwanakijiji hasemi kuwa kamati kuu na vikao vingine vya CHADEMA vilikuwa na nafasi katika kumpokea Lowassa na kumpa dhamana ya kugombea

4. Mwanakijiji anachukulia kuwa Lowassa kugombea na CHADEMA ni mabadiliko ya SURA, sio SERA. Lakini Mwanakijiji haongelei sera za CHADEMA zimebadilika vipi. Hatoi hata mfano mmoja wa SERA ya CHADEMA iliyobadilika baada ya kugombea Lowassa na imebadilika vipi.

5. Mwanakijiji anatoa mfano wa maneno ya hamasa ya ..."Lowassaaa... mabadiliko"... kama eti ndio kiashiria cha CHADEMA kumuachia Lowassa taasisi. Nashindwa kumuelewa Mwanakijiji anamaanisha kuwa CHADEMA haikutakiwa kutaja jina la Lowassa kwenye kampeni au vipi!

6. Mwanakijiji anazidi kusema kuwa CHADEMA wamemuachia Lowassa taasisi yote. Hapa nashindwa kumuelewa maana CHADEMA ni chama kinachojiendesha kitaasisi, kikiwa na viongozi, wanachama, katiba, sera na miongozo kama ilivyokuwa jana, juzi, na tangu kilipoanzishwa. Ukiacha dhamana ya kuwa mgombea, sijui Lowassa ana jukumu gazi zaidi jingine kama kiongozi wa CHADEMA

Wakati hayo yakionekena kama baadhi mambo yasieleweka katika hoja za Mwanakijiji, bado tunayo mambo ya kumuuliza mengi tu

1. Jana nilimuuliza MM katika hii operesheni yake anasema "wata....", yupo yeye na nani?

2. MM anaita suala la Lowassa kukaribishwa CDM na kupewa dhamana ya kugombea kuwa ni "kosa", lakini hasemi ni nini hasa kinachomfanya aamini kuwa ni "kosa"... nadhani kwa upeo wake atakuwa na majibu ya maana zaidi ya vihoja vyepesi kuwa "lowassa anatuhumiwa kuwa fisadi"...

Ninachoanza kuona

MM alikuwa na maslahi binafsi na uraisi wa Dr Slaa, na baada ya Dr Slaa kukosa nafasi ya kugombea, MM anajutia kukosa maslahi hayo. Je, MM atuambie aliahidiwa cheo gani Slaa kama angekuwa raisi? Ikumbukwe kuwa katika hii record ya leo MM anakiri kuwa hata yeye aliamini kuwa Slaa ndio atakuwa "mgombea bora". Hi ina maana kuwa hoja sio Lowassa, hoja ni kuwa hakuteuliwa Slaa. Yaani hata ingekuwa ni "Magufuli na UKAWA na Lowassa na CCM, bado MM angepinga, maana kwake yeye hoja ni Slaa...

Uko sahihi Mkuu, huyu MMM anasumbuliwa na bora tukose wote na hakuna lolote la maana.
 
kamanda umeuliza maswali mazuri sana lakini nafikili mda ukifika kila kitu kitajulikana chakufanya jaribu kifatilia hii program kila siku mwisho wa program tutaelewa nini kinamanishwa kama hakutakuwa na majibu ya hoja zako basi unaweza toa conclusion kwamba MM alikuwa anatudanganya au alikuwa na maslahi binafsi au kanunuliwa tuvute subira kidogo
 
Ni kweli but MM kaanza na conclusion mwenyewe...
 
Kamanda kwa hiyo unakubaliana na tafiti za Twaweza safi sana.
Ritz amka wewe....
Tafiti ya twaweza zilifanyika kwenye ofisi za CCM.....ikabainika kwamba 66% ya makada wa CCM watamchagua Magufuli, 22% ya makada wa CCM watamchagua Lowasa, na 12% ya makada wa CCM wako kati....wataamua siku ya uchaguzi.

Ndio maana mgombea wenu alisema ....wapo watu mchana CCM usiku UKAWA, ni kwa sababu ya utafiti huo.
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji kaka yangu..hebu niambie 25 October nimpigie kura nani?????

Ila kiukweli haiingii akilini nikapange foleni 25 October kuichagua CCM! Nasema hapana.

Nimezaliwa na kukulia TZ hivyo saikolojia yetu Watz naifahamu vizuri sana, nayo ni kusema Uongo, wewe nina uhakika 100% hauko TanZania na wala kura hautapiga ila umeandika tu kwa sababu ni Mtz na Mtz kusema Uongo ni kawaida yetu!
 
Ngoja niongelee mambo machache hapa
1. Mwanakijiji jana alisema kuwa anatafanya tu introduction, na baada ya hapo angekuwa anaenda moja kwa moja kwenye hoja. Lakini cha kushangaza record ya leo kaanza tena na introduction hadi dakika ya 3.45

2. Mwanakijiji anasema kuwa mara tu baada ya uchaguzi uliopita Slaa aliamini yeye atakuwa raisi. Hata hivyo Mwanakijiji hatoi reference yeyote kuwa kwa nini anaamini Slaa aliamini hivyo. Badala yake anakuja kufanya reference kwenye kauli ya Lissu kuwa Slaa alipendekezwa mwezi January mwaka huu awe mgombea. Mwanakijiji anatakiwa atuambie yeye amejuaje kuwa Slaa aliamini yeye ndiye atakuwa mgombea

3. Mwanakijiji anasema kuwa Mbowe alifanya kosa kumpokea Lowassa na kumpa ridhaa ya kugombea. Katika hili Mwanakijiji hasemi kuwa kamati kuu na vikao vingine vya CHADEMA vilikuwa na nafasi katika kumpokea Lowassa na kumpa dhamana ya kugombea

4. Mwanakijiji anachukulia kuwa Lowassa kugombea na CHADEMA ni mabadiliko ya SURA, sio SERA. Lakini Mwanakijiji haongelei sera za CHADEMA zimebadilika vipi. Hatoi hata mfano mmoja wa SERA ya CHADEMA iliyobadilika baada ya kugombea Lowassa na imebadilika vipi.

5. Mwanakijiji anatoa mfano wa maneno ya hamasa ya ..."Lowassaaa... mabadiliko"... kama eti ndio kiashiria cha CHADEMA kumuachia Lowassa taasisi. Nashindwa kumuelewa Mwanakijiji anamaanisha kuwa CHADEMA haikutakiwa kutaja jina la Lowassa kwenye kampeni au vipi!

6. Mwanakijiji anazidi kusema kuwa CHADEMA wamemuachia Lowassa taasisi yote. Hapa nashindwa kumuelewa maana CHADEMA ni chama kinachojiendesha kitaasisi, kikiwa na viongozi, wanachama, katiba, sera na miongozo kama ilivyokuwa jana, juzi, na tangu kilipoanzishwa. Ukiacha dhamana ya kuwa mgombea, sijui Lowassa ana jukumu gazi zaidi jingine kama kiongozi wa CHADEMA

Wakati hayo yakionekena kama baadhi mambo yasieleweka katika hoja za Mwanakijiji, bado tunayo mambo ya kumuuliza mengi tu

1. Jana nilimuuliza MM katika hii operesheni yake anasema "wata....", yupo yeye na nani?

2. MM anaita suala la Lowassa kukaribishwa CDM na kupewa dhamana ya kugombea kuwa ni "kosa", lakini hasemi ni nini hasa kinachomfanya aamini kuwa ni "kosa"... nadhani kwa upeo wake atakuwa na majibu ya maana zaidi ya vihoja vyepesi kuwa "lowassa anatuhumiwa kuwa fisadi"...

Ninachoanza kuona

MM alikuwa na maslahi binafsi na uraisi wa Dr Slaa, na baada ya Dr Slaa kukosa nafasi ya kugombea, MM anajutia kukosa maslahi hayo. Je, MM atuambie aliahidiwa cheo gani Slaa kama angekuwa raisi? Ikumbukwe kuwa katika hii record ya leo MM anakiri kuwa hata yeye aliamini kuwa Slaa ndio atakuwa "mgombea bora". Hi ina maana kuwa hoja sio Lowassa, hoja ni kuwa hakuteuliwa Slaa. Yaani hata ingekuwa ni "Magufuli na UKAWA na Lowassa na CCM, bado MM angepinga, maana kwake yeye hoja ni Slaa...

Kwenye hiyo namba 4 ata mimi naweza kukusaidia kujibu.

Kilichobadilika kikubwa ni Chadema kuwa chama kikuu cha ufisadi kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani.

Kingine ni vipaumbele vya lowassa ndio vimekuwa vipaumbele vipya vya chadema. Kumbukeni wakati yupo ccm lowassa alikuwa na ilani yake na alitangaza kipaumbele cha kwanza elimu cha pili elimu cha tatu elimu wakati huo chadema /ukawa waliweka kipaumbele ni katiba mpya. Sasa ilani ya lowassa ndio imekuwa ilani ya Chadema.
 
kamanda umeuliza maswali mazuri sana lakini nafikili mda ukifika kila kitu kitajulikana chakufanya jaribu kifatilia hii program kila siku mwisho wa program tutaelewa nini kinamanishwa kama hakutakuwa na majibu ya hoja zako basi unaweza toa conclusion kwamba MM alikuwa anatudanganya au alikuwa na maslahi binafsi au kanunuliwa tuvute subira kidogo

Acha kupoteza muda kwa dhana ya kusubiri lolote jipya kutoka kwa MMM. MMM & Co. kama Dr. Slaa hawana maana. Hawa wote kwa ujumla wao wamefika bei tayari na wanaumia sana kwa kukosa nafasi hii. Ukiwa na uelewa wa kutambua mambo kwa namna mbalimbali unaweza kuona ni kwa jinsi gani Dr. Slaa alivyokuwa anaongea kwa jazba na hasira (rejea mkutano wake na hata mahojiano yake na Tido wa Azam). Mwanakijiji hana lolote la maana na mimi nataka tu nimwambie kwamba hakuna hata mmoja atakayefanya maamuzi based on chuki zake hapa. Watanzania wanataka majibu ya maisha yao kuwa magumu kwa kuwa na sera za kuruhusu bei ya vitu kuwa juu, hatuna umeme wa kueleweka, na kwa yeyote yule mwenye uelewa anafahamu ni kwa namna gani ukosefu wa umeme unavohathiri ecenomic activities hasa za wazalishaji wa kati ambao ndio wengi katika uchumi wetu, na jinsi inavyoathiri uchumi katika ujumla wake.
 
Mchungaji Mzee Mwanakijiji,

Naona unakimbia kivuli chako cha uinjilisti!

Teh teh teh!

Naomba nikufundishe jambo muhimu sana katika utayarishaji/uzalishaji wa vipindi vya elimu kwa UMA!

Haya majambo hayataki ujanja ujanja kama vile uko viwanja vya jangwani ukihubiria "kondoo" waliopotea, au ndio tuseme ule msemo "mwenye asili..."

Nasikia kichefu chefu kuona unabaka taaluma za watu!

Ili uiteke hadhira ni vema ukajitahidi kujifunza toka kwenye vituo vikubwa vya "television" namna bora ya kuandaa makala bora zenye mvuto kwa wasikilizaji/watazamaji na pia ujifunze adabu ya mazungumzo!

Mfano mzuri wa wewe kujifunza ni kutazama makala za kituo cha Aljazeera, ukitazama kwa kujifunza utapata faida kubwa mno!

Makosa ya kiufundi ni mengi sana kwenye hizo makala zako, zinachosha kuendelea kutazama/kusikiliza!

Sijui ulikula/unakula nanasi wakati una "ji-record"?

Inakera sana mtu akisikiliza namna unavyotukosea adabu wasikilizaji/watazamaji!

Kwa leo naishia hapa, mimi yangu ni hayo!

Endeleeni na majambo yenu ya siasa!

Ahsanteni
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hiyo namba 4 ata mimi naweza kukusaidia kujibu.

Kilichobadilika kikubwa ni Chadema kuwa chama kikuu cha ufisadi kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani.

Kingine ni vipaumbele vya lowassa ndio vimekuwa vipaumbele vipya vya chadema. Kumbukeni wakati yupo ccm lowassa alikuwa na ilani yake na alitangaza kipaumbele cha kwanza elimu cha pili elimu cha tatu elimu wakati huo chadema /ukawa waliweka kipaumbele ni katiba mpya. Sasa ilani ya lowassa ndio imekuwa ilani ya Chadema.

Sio kweli
Kipaumbele cha elimu kwa CDM kilitangazwa na Mbowe wakati anazindua M4C mwaka 2012.

Hilo la ufisadi weka uthibisho
 
1. Kukatwa kwa slaa
Slaa mwenyewe alitamka pale serena kwamba tatizo halikuwa uraisi na hakukatwa, alichaguliwa na kuthibitiwa, lakini "uraisi sio wake" , na hata 2010 aliombwa kugombea.
Kwa hiyo basi Slaa hakuona tabu kuwepo kwenye mchakacho wa kutafuta mtu atayefaa kuwa raisi.

Kauli zako mwanakijiji kuhusu slaa kujiandaa kuwa raisi na kukatwa zinapingana na hotuba ya Slaa mwenyewe pale serena

2.Chadema haijafa
Mifano uliyotoa kuhusu kifo cha chadema sio sahihi kwa mtazamo wangu , suala la kila kitu kuachiwa lowasa si jambo rahisi. haiwezekani lowasa akawa ameachiwa maamuzi yote yanayohusu kampeni za uraisi, kampeni za ubunge, za udiwani nk wengine wakawa watekelezaji tuu, ukawa kuna watu wana fanya kazi kubwa na kufanya maamuzi kuelekea uchaguzi mkuu.

Cdm ni sehemu tu ya ukawa, je watu wakisema 'chadema mabadiliko' , itakuwa sawa kwa vyama vingine ndani ya ukawa? Hata kama slaa angegombea kwa ticket ya ukawa tusingeweza kusema chadema mabadiliko.

3. suala la taasisi na sera limeulizwa vizuri na wachangiaji waliopita ,je lowasa kaja ukawa na sera za ccm dira za ccm na katiba ya ccm?
 
Hayo makosa mawili ya dr slaa uliyagundua baada au kabla ya lowasa kuja..?kama uliyagundua kabla..tuambie ulichukua hatua gani na matokeo ya hatua ulizochukua..?kama umeyagundua baada ya lowasa kuja tuambie uhalali wa kusema madhara itakayopata chadema baada ya lowasa kushindwa unaupata wapi..mwanakijiji
 
Sio kweli
Kipaumbele cha elimu kwa CDM kilitangazwa na Mbowe wakati anazindua M4C mwaka 2012.

Hilo la ufisadi weka uthibisho

Kumbe unabisha vitu usivyo na uhakika nacho. Wewe unaongelea m4c mimi nazungumzia ilani ya sasa ya Chadema nenda kaisome alafu rudi uniambie inatamka kipaumbele namba moja ni nini na lowasa ananadi kipaumbele cha kwanza ni kipi , then siku nyingine uache ushabiki.
 
Ni Lowassa tu maana hakuna namna.....

uwezi ukamuongelea Dr Slaa hapa mpaka uongee kwanza na Mama.
 
Kwani imeandikwa wapi lazima kila mtu hakubali?

Wewe mbona ulikuwa unamshambulia kila siku Lowassa wakati yupo CCM kuwa ni fisadi mkubwa leo hii umekuwa mateka wake.

Na Dr.Slaa alikuwa rais wako wa moyoni leo hii unamuita mnafiki au ndiyo mabadiliko yenyewe?

Kiswahili kigumu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom