Silly
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 569
- 180
Hivi mpiga debe anakuwa na kazi gani kama abiria wameishapanda kwenye basi na safari ya basi imeshaanza. Mpiga debe kazi yake stendi tuuuuu. Sasa kama akidhania anawapenda abiria ni kuwatakia safari njema. Kwa sasa hawa wapiga debe ni wengi sana hawajui walishatuaminisha gari tulilopanda ndio linatufaa. Kwa herini wapiga debe.