Operesheni Zinduka 3 - Kamari ya Mbowe na Lowassa yaweza kulipa kweli (Incl. transcript)

Hivi mpiga debe anakuwa na kazi gani kama abiria wameishapanda kwenye basi na safari ya basi imeshaanza. Mpiga debe kazi yake stendi tuuuuu. Sasa kama akidhania anawapenda abiria ni kuwatakia safari njema. Kwa sasa hawa wapiga debe ni wengi sana hawajui walishatuaminisha gari tulilopanda ndio linatufaa. Kwa herini wapiga debe.
 
Watu wengine bana sasa wanaomshangilia Lowassa wanafanya hivyo kwa sababu ya mawazo yao?

Mzee haya ungeyaleta baada ya uchaguzi. kwa taarifa yako chochote kitakachotokea tutasimama na viongozi wetu! Na ningewaomba chadema wawaangalie kwa jicho la tatu! kwa sababu badala ya kusaidia ushindi mnajaribu kuzuia mbadiliko ili tukishindwa mseme eti tulishawaambia. Kawaida katika vita hata kwa mfanio ikitokea mmoja wa makamanda akakosea. Hamrudi nyuma. mnaendelea na mapambano hadi mwisho ndipo sasa mnarudi kufanya tadhmini. Huwezi kutuambia eti tuache kuipigia kura ukawa kwa sababu mtu wako uliyemtaka wewe Dr Slaa hakupitishwa kugombea! Basi eti tukuvunjevunje chama. naomba viongozi hawa kina Slaa na MMM wanaozungumza kwa kutumia forum ya chadema qwashughulikiwe mara moja. Wanajifanya ni wanachadema wakati tayari wameshaasi chama.

MMM haulazmishwi kuwa chadema. we nenda ccm kwani tatizo nini ? Au anzisha chama chako km kina Zitto!
 
Hii nchi sijui kwanini bado ina mazee nyoko mengi kiasi hiki!!!

Utawapata wachache sana, wengi walishaamua kwamba mwaka huu ni Lowassa na mabadiliko!
 
Dr Slaa anae ongonzwa na Mkewe aiangushe CCM? Mzeemwanakijiji uhuni mnao ufanya na Dr Slaa auwezi kuisadia tanzania zaidi ya kuwasadia nyie na matumbo yenu
 
Tukitaka mabadiliko ambayo ni perfect itatubidi tusubiri miaka kama mia tano kutoka sasa.
Kama ilivyo kwa amani, ili kufikia amani kuu tunahitaji amani ndogo kwanza.
Ili kufikia elimu kubwa tunahitaji elmu ndogo kwanza.
Vivyo hivyo ili kufikia mabadiliko makuu na ya kweli tunahitaji mabadiliko madogo na ya kati.
Mwanzoni sikuelewa EL alpoamia CDM lakini kilicho wazi ni kuwa akiwa rais maana yake atapitia kwenye coridor tofauti na zile zilizozoeleka kwa miaka 50, yaani za Lumumba. Na wanazi, wanafiki, wachawi tofauti.
Maana yake ni kwamba hata Magufuli atajaribu hayo mabadiliko lakini ataishia 15% lakini Lowassa anaweza kutufikisha hata 65% ambayo ni bora zaidi! Tatizo mnataka mtuaminishe kuwa inadidi afikie 100% kwa ubora kitu amabcho hakijawahi kuwepo duniani.
 
Mie naandaa kitabu mkuu...sijui ntaruhusiwa kutumia makala zako hizi zenye tafakuri ya kina!! Mungu atusaidie watanzania tuondokana na aibu ya kuongozwa na genge la wapiga dili!!
 
Tukitaka mabadiliko ambayo ni perfect itatubidi tusubiri miaka kama mia tano kutoka sasa.
Kama ilivyo kwa amani, ili kufikia amani kuu tunahitaji amani ndogo kwanza.
Ili kufikia elimu kubwa tunahitaji elmu ndogo kwanza.
Vivyo hivyo ili kufikia mabadiliko makuu na ya kweli tunahitaji mabadiliko madogo na ya kati.
Mwanzoni sikuelewa EL alpoamia CDM lakini kilicho wazi ni kuwa akiwa rais maana yake atapitia kwenye coridor tofauti na zile zilizozoeleka kwa miaka 50, yaani za Lumumba. Na wanazi, wanafiki, wachawi tofauti.
Maana yake ni kwamba hata Magufuli atajaribu hayo mabadiliko lakini ataishia 15% lakini Lowassa anaweza kutufikisha hata 65% ambayo ni bora zaidi! Tatizo mnataka mtuaminishe kuwa inadidi afikie 100% kwa ubora kitu amabcho hakijawahi kuwepo duniani.

Bora wewe umeona hilo la maana.
 
Nashindwa kukuelewa povu lote linakutoka la nini wee Mzee wakati wewe sio mwananchama wa CDM..
Huko ulipo kuna shughuli nyingi..kubeba box, kuogesha vi bibi na vi babu vizee nk..fanya izo shughuli...
Tuachie CDM yetu..tuachie UKAWA yetu...tuachie Lowassa wetu...tuachie na Mbowe wetu.
Watanzania wa leo sio wa kukaa na kuanza kusikiliza nasaha zako ndio wafanye maamuzi..tumeshaamuaa siku nyingi hatma yetu. Mtu wenyewe hauishi hapa so u have least interest in this country.
Tulia tu kwenye you tube umwangalie Lowassa akiapishwa kama Rais wa awamu ya 5.
Shame ..!!
 
Umeandika maneno mengi sana lakini ulicho andika ni kitu cha kawaida sana kwa mtu aliye komaa kisiasa hauwezi ukamshawishi saizi mtu akikuona unaitetea ccm anaanza kuwa na wasiwasi nawewe kwamba umenunuliwa kwasababu wengi wamenunuliwa.
 
Mbona hivi walakini? Why now? Mlikuwa wapi siku zote kueleza mapungufu au kumpeleka Lowassa mahakamani kama ni mdhambi. Msituchanganyeeeeeeeeeee aha aha! Tumechoka na series za kuchonganisha watanzania. Acha watu wapige kura bana vurugu jivuruge mwenyewe. Slaa siasa imefika mwisho angekuwa anaipenda sana nchi YA Tanzania angebaki kugombea ubunge halafu angekuwa na nafasi nzuri ya kumkosoa Lowassa ndani ya bunge kama anaenda kinyume. Hii ya kuongea kwa kupitia TV ni kupoteza muda nguvu na heshima yake kwa Watanzania. Acha watanzania waamue. CCM muziki wake uliuanzisha leo unaishia kulewa badala ya kuendelea kuucheza
 
Tunaamini kabisa kuwa hata bila Lowassa CHADEMAilikuwa na nafasi kubwa na nzuri zaidi ya kuing'oa CCM madarakani na badoikabakia na sura yake kama chama chenye kutaka na kusimamia uadilifu, utawalabora, maono bora kwa taifa na uongozi bora.
Kamari hii ya kisiasa yaani ‘political gamble' imeweka hatima za Mbowe naLowassa kisiasa na hata kiuongozi kwenye sanduku la kura ifikapo Oktoba 25.


Hata mimi nilidhani hivyo kwa CDM ila sasa nimegundua kwamba kwa jinsi mambo yalivyokuwa nyuma ya pazia kwa upande wa Slaa, na kwa kumsikiliza aliyosema pale Serena na kwenye vyombo vya habari baadaye, nachelea hali ya CDM ingekuwa mbaya, Nani alijua kwamba Slaa angeweza kugeuka kushoto na kusema kumchagua Lowasa ni kula matapishi halafu anageuka na kuliana kusema chagua CCM!


Inawezekana basi – na uwezekano huu ni vigumu kuupinga kwa hoja – madazote na mazungumzo yote yaliyofanywa na viongozi kama Mbowe, Lissu, Mnyika nawengine juu ya kuhusisha ufisadi na uongozi wa Lowassa yalikuwa ni geresha tuya kumchagua ili CCM imkate ili wao wampate! Kwamba, yote yaliyokuwa yakisemwajuu ya Lowassa na kuitwa "ushahidi" yalikuwa ni ulaghai usio kifani uliokuwa nalengo la kumfanya Lowassa asiaminike na asikubalike na wenzake CCM chamaambacho kilimlea na kumjenga kisiasa ili hatimaye aje upande huu.

Ni vizuri pia kusikia kwamba kumbe Lowassa sio fisadi kiviile ila CDM wakiongozwa na Slaa waliona atawafaa ndio waka zikuza hizo shutma za ufisadi,ni vizuri kufahamu hivyo, kwa sababu mimi issue ya Lowasa kuja ilinichanganya sana mwanzoni. Kumbe hata suala la Slaa kumwekea Lowassa vigezo vya "kujisafisha kwanza" ilikuwa ni janja ya tu ya nyani kwa sababu alijua walikuwa wanampakaili wampate!

Kamari hii hata hivyo ilifanya makosa makubwamawili ambayo kwa hakika yatamnyika Lowassa ushindi, kuleta mgogoro mkubwaCHADEMA na washirika wake na hatimaye kufunika hatima za kisiasa za Mbowe nakundi la wale walioungana naye kumleta Lowassa nyumbani.

Hakuna hakika ya Lowasa kushindwa, ndio maana hata wewe Mwanakijiji upo busy kuweka mabandiko hapa jamvini, Slaa yupo busy kwenye ma tv na CCM wapo busy kufanya kampeni , propaganda na hata kutumia nyomi za kina diamond nawasanii wengine, haya yote hamyafanyi kwa kumshinda Mghwira, Rungwe etc …hapana,ni kwa kumshinda Lowasa. na kama mnafanya masihara kwa umati ulio nyuma ya Lowasa basi mnaweza mkawa shocked siku ya uchaguzi

Kosa la kwanza, ni kuwa walitegemea kuwa ujiowa Lowassa ungeigawa CCM pande mbili na kuidhoofisha. Badala yake CCMhaikumeguka kama ilivyotarajiwa. Hadi hivi sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCMaliyeondoka kwenda CDM ambaye alikuwa bado na nafasi CCM!

Stratergy ni muhimu, walio ndani ya ccm hawana uhakika nani yupo kwao nani yupo kwa Lowasa hiyo ni stratergy, nadhani hata wewe Mwanakijiji huna uhakika? Siku zote wapiganaji walio ndani ya kambi ya adui wana faida sana.


Ana kutaka kuendelea na utawala wa CCMiliyomeguka chini ya mgombea Magufuli (au mwingine yeyote) au kumfuata Lowassaalipo na kundi la watu kama milioni moja wenye kumuamini au kumfuata kiongoziambaye tayari amejionesha ni mwanameguezi wa kweli, na ambaye ameshalipagharama kubwa ya kukiandaa chama na uchaguzi huu mkuu. CHADEMA isingekuwaimegawanyika ingekuwa moja, ingepata kura za wananchi ambao tayari wanaiungamkono n ahata wana CCM ambao hawakuwa tayari kuendelea na CCM wala kumfuataLowassa aliko.

Si kweli Chadema ilikuwa imeshagawanyika baada ya Zitto kuondoka kwahiyo makundi yangekuwa manne, na story ingekuwa tofauti kabisa, suala la uanamageuzi wa kweli wa Slaa namuachia mwenyewe na nafsi yake.

Upande mmoja ni Magufuli na taasisi ya CCM namifumo yake yote na upande mwingine Lowassa – peke yake; hana taasisi –akitegemea nguvu ya jina lake tu wala siyo historia yake au maono yake kamakiongozi wa upinzani.

CDM bado ni taasisi , ilani na katiba inayokubaliwa na ukawa ni ipo! muungano wa ukawa sio wa kupuuzwa, kama ungekuwa wa kupuuzwa basi ccm wangekuwa wamekaa raha mustarehe wanasubiri kuapishwa, hii tension yote ni kwa sababu ya nguvu ya ukawa.

Ni vigumu kuona ni jinsi gani Lowassaanashinda ati kwa vile watu wanataka tu ashinde au wanaamini watu wameichokaCCM! CCM hii ambayo sasa inaonekana imepewa uhai mpya kwa kuondokewa na watuwake waliokuwa matata sana ina nafasi kubwa zaidi ya kushinda kuliko CDM ambayoilijivuruga yenyewe kw akutafuta njia ya mkato kutaka ushindi.

Si kweli, lowassa hajaondoka ccm na ilani ya ccm, hajaondoka na katibaya ccm, hajaondoka na mlolongo wa wapiga dili na mafisadi, uhai mpya wa ccm unatokana na nini wakati hata mgombea wake ameongoza wizara ya ujenzi kwaubadhirifu mkubwa?

Kamari haitalipa; Lowassa atagaragazwa nakuvuruga kwa muda mrefu ujao harakati za mabadiliko ambazo nusura zingezaamatunda mwaka huu.


Unajua kabisa kwamba unayosema hapa kuhusu Lowasa kugaragazwa si kweli,kama ungekuwa na uhakika na ulichoandika usingekuwa busy kuisimamisha treni ambayo unajua fika haitafika iendako!


 
Mgawanyiko aliowadanganya Lowasa ndo wa kupokea makapi akiana Kingunge, Sumaye, Marsha ambao hawana madhara kabisa CCM imebaki imara tena zaidi ya zamani maana sasa Ufisadi na rushwa sio agenda tena za CHADEMA
 
Back
Top Bottom