Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,153
Songwe huku hii huduma imeshaanza na imeleta mafanikio 100%Hahaha. Hii science bado haijaniingia kichwani. Wanabadilisha wafu au waliokufa?.
Anyway, DECember siyo mbali
mama faida yote anamalizia kwenye mkorogoAmekuwa kama Tunguli
Kuna operation ya kubadili kichwa kutoka kwenye mwili mmoja kwenda kwenye mwili mwingine inafanyika kwa mara ya kwanza mwaka huu desemba.mama faida yote anamalizia kwenye mkorogo
Yaaani nimecheka balaaa! Ndio nini sasa kama si kujidhalilisha? Wanawake tuna kazi kweli kweli!