Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

I hope James Ole Millya atakuwepo uwanjani na gwanda!!!!!
 
Kesho hapatoshi nmc,. Ila ka nimeona mgambo wanamanguo yao ya kijivu wanazunuka mitaa ya soko kuu,. Sjui ndo kwajili ya kesho
 
Kesho hapatoshi nmc,. Ila ka nimeona mgambo wanamanguo yao ya kijivu wanazunuka mitaa ya soko kuu,. Sjui ndo kwajili ya kesho

mkuu hao mgambo siku hizi nao ni CHADEMA kwani si unakumbuka juzi 2 hapo ilala dar waliandamana! Sema 2 shida zinawafanya wawe wanatumiwa ila kwa ukweli na mgambo wamechoshwa na umwinyi wa ccm,
 
mimi sivui.....nimevaa siku nyingi sana......
gwanda is there to stay.......napendezajeeeee........

Natamani kesho nikuone kwenye picha ukiwa ndani ya gwanda, nitajihidi kufika hapa Moshi siyo mbali sana. viva cdm
 
Soko ambalo Ccm ina bei ni kwa wananchi wote wanaopenda nchi yao na ambao hawana akili za kufuata upepo wa uanaharakati usio uanaharakati. Kwa kifupi ni kwamba Ccm ina soko kwa wapenda maendeleo wote wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

RAIS+KIKWETE+PICHA.jpg
 
Unadhani kuna nchi gani hapa duniani ambayo kila mwananchi anapata mahitaji yote mhimu kwa binadamu kwa ghafla pasipo utaratibu?. Mtoto mwenyewe haanzi kwa kukimbia, anaanza kutambaa kwanza and then ndiyo anaanza kukimbia. Kwa hiyo kadri siku zinavyosonga mbele, hayo yote yatakuwa historia tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Mpasuko%255B1%255D%255B1%255D%255B1%255D.jpg
 
jamani me nipo mwanza kama vipi hiyo operation ihamie mwanza
 
kazi kweli kweli hamakweli mwakaa huuuuu magamba kwaheri duh!!!!!! hongereni VIVA M4C
 
Soko ambalo Ccm ina bei ni kwa wananchi wote wanaopenda nchi yao na ambao hawana akili za kufuata upepo wa uanaharakati usio uanaharakati. Kwa kifupi ni kwamba Ccm ina soko kwa wapenda maendeleo wote wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Unajidanganya tu.... ninyi potezeni muda sisi tunasonga mbele

Ukitaka kujua kuwa CCM haina soko angalia mwenyekiti wa taifa ambaye ni rais wa JMT asivyothubutu kutembelea wananchi wake ambao mnadai waliwapigia kura.
 
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

BUT Preta, you said you will be coming to the meditation class? Sasa iatkuwaje ... !!
 
shem...Ngorika ya kwanza inatoka Dar saa kumi na mbili kamili asubuhi....inafika Arusha saa tano kabla ya lunch....utawahi vizuri....

sijaelewa ni Air Ngorika au ni Ngorika coach. Hapa moshi Chakito ndo basi ya kwanza kupita tena inapita saa 6, sa sijui Ngorika inafikaje saa 5. Anyway ntakuja kununua gwanda kama kawaida
 
Sisi tuendelee na M4C yetu sioni jipya litakalofanywa na baraza hili kwa muda uliobaki.
Watu wale wale, kina Kigoda sijui alisahau nini kwenye ile wizara.
 
shem...Ngorika ya kwanza inatoka Dar saa kumi na mbili kamili asubuhi....inafika Arusha saa tano kabla ya lunch....utawahi vizuri....

mmmh! Hivi hii bus siku hizi imo katika ule mradi wa mabasi yaendayo kasi??? LAVU U PRETA!!
 
mmmh! Hivi hii bus siku hizi imo katika ule mradi wa mabasi yaendayo kasi??? LAVU U PRETA!!

yah.....maisha bora kwa kila mtanzania....na matairi ya kichina yana kasi ukizubaa unajikuta umepitiliza hadi kuzimu......karibu kesho uwanjani......lavu u tuu......
 
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

Wakina nani watakuwepo huko, I hope mtatuletea LIVE.. Maana A town huwa hamtuangushagi... Msalimie Crashwise
 
Ni mpango unaotia moyo sana kwa walalahoi kupata matumaini mapya ya kuondokana na MAFISADI.
 
Back
Top Bottom