Operesheni Okoa Taifa Tanzania (Tanganyika)

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao.

Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na wananchi wengi wakibaki kwenye umasikini wa kutisha unaowafanya wakose huduma bora za msingi. (Elimu, Matibabu, Maji safi na salama, Miundombinu bora ya barabara pamoja na Umeme wa Uhakika)

Hii ni Operesheni na kuhakikisha utajiri wa Taifa unawanufaisha Watanzania wote na vizazi vyao na sio kikundi cha watu wachache waliojipa umuhimu kutokana na uwepo wa Katiba Mbovu inayowaweka Wanasiasa juu ya mifumo.

Hii ni operesheni ya kuangamiza mizizi ya rushwa iliyolifanya Taifa li collapse kwa muda mrefu sana.

Hii ni operesheni ambayo target yake ni kuipatia Nchi Katiba bora inayoipa nguvu mifumo dhidi wa Wanasiasa. Inayoweka nguvu kwa Wataalam na Utaalam wala sio siasa.

Mwisho hii ni Operesheni ya kuhakikisha tunakuwa na Taifa imara lenye maendeleo ya kweli kwa watu wake na sio linalotawaliwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi binafsi wanaoamua kipi kiwe na kipi kisiwe. Nani awe na nani asiwe.

Mungu ibariki Tanzania

Mungu wabariki Meno na JW.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na wananchi wengi wakibaki kwenye umasikini wa kutisha unaowafanya wakose huduma bora za msingi. (Elimu, Matibatu, Maji safi na salama, Miundombinu bora ya barabara pamoja na Umeme wa Uhakika)

Sawa sawa
 
Operesheni itafanyikia wapi?
 
Make Tanzania Great.
Tanzania ni mali ya Mtanzania.
Tunahitaji watu wenye akili kwenye nyadhifa kubwa kubwa na sio vikundi vya wahuni, tunahitaji ushirikishwaji wa watanzania wote kwenye nafasi za maamuzi na sio wahuni wachache.

ndani ya viunga vya homs-Syria.
 
Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao.

Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na wananchi wengi wakibaki kwenye umasikini wa kutisha unaowafanya wakose huduma bora za msingi. (Elimu, Matibabu, Maji safi na salama, Miundombinu bora ya barabara pamoja na Umeme wa Uhakika)

Hii ni Operesheni na kuhakikisha utajiri wa Taifa unawanufaisha Watanzania wote na vizazi vyao na sio kikundi cha watu wachache waliojipa umuhimu kutokana na uwepo wa Katiba Mbovu inayowaweka Wanasiasa juu ya mifumo.

Hii ni operesheni ya kuangamiza mizizi ya rushwa iliyolifanya Taifa li collapse kwa muda mrefu sana.

Hii ni operesheni ambayo target yake ni kuipatia Nchi Katiba bora inayoipa nguvu mifumo dhidi wa Wanasiasa. Inayoweka nguvu kwa Wataalam na Utaalam wala sio siasa.

Mwisho hii ni Operesheni ya kuhakikisha tunakuwa na Taifa imara lenye maendeleo ya kweli kwa watu wake na sio linalotawaliwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi binafsi wanaoamua kipi kiwe na kipi kisiwe. Nani awe na nani asiwe.

Mungu ibariki Tanzania

Mungu wabariki Meno na JW.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kidumu chama tawala cha mapinduzi..

Kataa wahuni ndani ya chama tawala.

Imarisha mifumo na maadili ya chama tawala.
 
Back
Top Bottom