Operation za chadema hazina mashiko

katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa chadema imezindua operation nyingi sana, ikiwemo operation vua sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa wanyaturu, wanyiramba na wagogo sangara ni msamiati wanousikia na wachache waliowahi kula au kuona, operation hii ikafa kabisa na haitojirudia-walichemka kwa kuiga think tank ya ccm.

Wakaibuka na operation ya maandamano(naiita hivyo kwakuwa baadhi ya maandamano hayajulikani sababu mpaka leo) hapo tukashuhudia viongozi wakiwaonya kuepuka kupoteza muda watanzania wote sio wamasai.

Wakajisahau wakaenda arusha kuwadanganya waarusha na wachaga mpaka baadhi yao wakafa-ikakosa mashiko mpaka leo hawatorudia.

Wameibuka na chukua magwanda manne cm4 ( haijulikani maana yake nini maana imekaa kimafumbo mafumbo kama kichaga kilivyokigumu kuuandikwa).

Tena safari hii wako dar (leo) wananchi wanawaona kama wafa maji wanaotaka kujinasua, falsafa yao ya nguvu ya umma inazidi kufifia kama jua la jioni, aibu na kujisifu kote.

Inasemekana leo watakaohudhuria ni vikundi vya vyama vya wanaotoka kanda ya kule ili kuepusha aibu tena wamehimizwa kufunga biashara zao.

Dar watu wako bize, wanatafuta riziki zao za kila siku, hawawezi kupoteza muda wao kusikiliza watu wanaofanya wenzao "ruzuku"-operation hii mpaka hapo kwa dar imeshindwa.

Kajipangeni tena.
"chadema kitakufa kabla ya 2015"-wasira.

unafikiri tutakujuaje kama na ww hamnazo kama usipoandika upuuzi kama huu kama moshi mnaogopa je moto c mtakimbia ngoja ifike 2015 wabadirifu wote na wezi wa mali za umma mtaozea jela hongera kwa *****
 
bila shaka hizo pea za gamba ulizo kula zitakutokea puani, njoo uone mabadiliko ya keli leo hapa jangwani
Hivi vimeundwa na havivunjiki tena milele
Chadema mwendo mdundo hakuna kulala mpaka kieleweke
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr????????????????????????????????????????????????
 
Kwanza jina lake chuki. Hivi mnajua maana ya chuki?. Huyu chuki ndio kaleta hii mada. Anachuki na cdm.
 
Hongera mkuu..! Kumbe ccm inao THINK TANK, looh.. hii ya leo kali maishani. Ila ndugu 'chuki' elewa kwamba huwezi kuidanganya nafsi yoyote hata yako mahali penye ukweli unaonekana dhahiri, nakushauri leo dumu ukingoja cdm ife kabla ya 2015 nina hakika utazeeka kabla unabii wako haujatimia.
 
Uzi huu na jina la mtoa uzivinafanana! Inaonekana una chuki na hiki chama. Magamba wenzako wako humu lakini wameshasoma upepo wapo kimya! Wanajua kifuatacho, subiri badae tutaweka picha halafu usitafute chochoro. CHEZEA CHADEMA WEWE!
 
Katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa Chadema imezindua Operation Nyingi sana, ikiwemo operation vua Sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa Wanyaturu, wanyiramba na wagogo sangara ni Msamiati wanousikia na wachache waliowahi kula au kuona, operation hii ikafa kabisa na haitojirudia-WALICHEMKA kwa kuiga THINK TANK YA CCM.

Wakaibuka na Operation ya maandamano(naiita hivyo kwakuwa baadhi ya maandamano hayajulikani sababu mpaka leo) hapo tukashuhudia Viongozi wakiwaonya kuepuka kupoteza muda Watanzania wote sio WAMASAI.

Wakajisahau wakaenda ARUSHA kuwadanganya WAARUSHA na WACHAGA mpaka baadhi yao wakafa-Ikakosa MASHIKO mpaka leo hawatorudia.

Wameibuka na CHUKUA MAGWANDA MANNE CM4 ( Haijulikani maana yake nini maana imekaa kimafumbo mafumbo kama kichaga kilivyokigumu kuuandikwa).

Tena safari hii wako Dar (leo) wananchi wanawaona kama wafa maji wanaotaka kujinasua, falsafa yao ya nguvu ya umma inazidi kufifia kama jua la jioni, aibu na kujisifu kote.

Inasemekana leo watakaohudhuria ni vikundi vya vyama vya wanaotoka kanda ya kule ili kuepusha aibu tena wamehimizwa kufunga biashara zao.

Dar watu wako bize, wanatafuta riziki zao za kila siku, hawawezi kupoteza muda wao kusikiliza watu wanaofanya wenzao "RUZUKU"-OPERATION HII MPAKA HAPO KWA DAR IMESHINDWA.

Kajipangeni tena.
"Chadema kitakufa kabla ya 2015"-Wasira.
Kama ID yako inavyojieleza, kweli wewe ni mtu wa chuki. Sasa hapa unatueleza kitu gani? Upumbavu wako ndio mwisho wa lichama lenu.
 
Operation ni seasol so unataka kila siku iwe operation sangara? Nyie magamba endeleni kujifariji kama gaddaf alivyokuwa anajifari
akidhani ní upepo tu utapita,alipokamatwa mtaloni ndo alimin kuwa watu walikuwa wamedhamilia
 
Katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa Chadema imezindua Operation Nyingi sana, ikiwemo operation vua Sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa Wanyaturu, wanyiramba na wagogo sangara ni Msamiati wanousikia na wachache waliowahi kula au kuona, operation hii ikafa kabisa na haitojirudia-WALICHEMKA kwa kuiga THINK TANK YA CCM.

Wakaibuka na Operation ya maandamano(naiita hivyo kwakuwa baadhi ya maandamano hayajulikani sababu mpaka leo) hapo tukashuhudia Viongozi wakiwaonya kuepuka kupoteza muda Watanzania wote sio WAMASAI.

Wakajisahau wakaenda ARUSHA kuwadanganya WAARUSHA na WACHAGA mpaka baadhi yao wakafa-Ikakosa MASHIKO mpaka leo hawatorudia.

Wameibuka na CHUKUA MAGWANDA MANNE CM4 ( Haijulikani maana yake nini maana imekaa kimafumbo mafumbo kama kichaga kilivyokigumu kuuandikwa).

Tena safari hii wako Dar (leo) wananchi wanawaona kama wafa maji wanaotaka kujinasua, falsafa yao ya nguvu ya umma inazidi kufifia kama jua la jioni, aibu na kujisifu kote.

Inasemekana leo watakaohudhuria ni vikundi vya vyama vya wanaotoka kanda ya kule ili kuepusha aibu tena wamehimizwa kufunga biashara zao.

Dar watu wako bize, wanatafuta riziki zao za kila siku, hawawezi kupoteza muda wao kusikiliza watu wanaofanya wenzao "RUZUKU"-OPERATION HII MPAKA HAPO KWA DAR IMESHINDWA.

Kajipangeni tena.
"Chadema kitakufa kabla ya 2015"-Wasira.

He he he umefikiri sana mkuu Chuki...pongezi, sijaona umuhimu wa maandamo yao-Besigye alikua anaandamana kupinga ongezeko la bei ya vyakula, Kule Senegal waliandamana kupinga Wade kuingia kwenye uchaguzi, Zim, Kenya watu waliandamana kutokana na wizi wa kura wazi wazi etc je Hawa CDM wanachukua scenario za wenzao wanaziingiza hapa...Tz bado hatujachoka kiasi hiko cha kuandamana kudai hiki au kile..muda ukifika people's power hailazimishwi wala haiitaji viongozi wa kisiasa (kama kule Misri, libya N'k) tukichoka tutaandamana tu hizi siasa siasa hizi hazina tija kabisa eti m4C..CCM inatufanya wajinga na hawa CDM sasa wanatufanya wajinga, kupenda kwao vyeo bila sababu wanataka kucreate katention fulani hivi ionekane wanapigania kitu muhimu cha kitaifa, kumbe hamna.
 
Kaka hiyo ndiyo nembo ya CDM?
Ya CDM hiiView attachment 54669 Ya CCM hii images (4).jpg

Au mkuu umesahau kale kawimbo kenu maarufu huwa mnaimba CCM nambari ngapi vile?
 
Katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa Chadema imezindua Operation Nyingi sana, ikiwemo operation vua Sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa Wanyaturu, wanyiramba na wagogo sangara ni Msamiati wanousikia na wachache waliowahi kula au kuona, operation hii ikafa kabisa na haitojirudia-WALICHEMKA kwa kuiga THINK TANK YA CCM.

Wakaibuka na Operation ya maandamano(naiita hivyo kwakuwa baadhi ya maandamano hayajulikani sababu mpaka leo) hapo tukashuhudia Viongozi wakiwaonya kuepuka kupoteza muda Watanzania wote sio WAMASAI.

Wakajisahau wakaenda ARUSHA kuwadanganya WAARUSHA na WACHAGA mpaka baadhi yao wakafa-Ikakosa MASHIKO mpaka leo hawatorudia.

Wameibuka na CHUKUA MAGWANDA MANNE CM4 ( Haijulikani maana yake nini maana imekaa kimafumbo mafumbo kama kichaga kilivyokigumu kuuandikwa).

Tena safari hii wako Dar (leo) wananchi wanawaona kama wafa maji wanaotaka kujinasua, falsafa yao ya nguvu ya umma inazidi kufifia kama jua la jioni, aibu na kujisifu kote.

Inasemekana leo watakaohudhuria ni vikundi vya vyama vya wanaotoka kanda ya kule ili kuepusha aibu tena wamehimizwa kufunga biashara zao.

Dar watu wako bize, wanatafuta riziki zao za kila siku, hawawezi kupoteza muda wao kusikiliza watu wanaofanya wenzao "RUZUKU"-OPERATION HII MPAKA HAPO KWA DAR IMESHINDWA.

Kajipangeni tena.
"Chadema kitakufa kabla ya 2015"-Wasira.

Ili ulimwengu ukamilike lazima wawepo watu wa aina yako,kaza mwendo baba.
 
Nadhani una akili ya 'maiti' hivi hao wachaga unajua ndo chademag! Je kule mwanza walikoshinda najo ni wachaga, mbea, Iringa, Sumbawanga, Shinyanga, Kagera, Dar es salaam, Kigoma, Arusha, Mwanza. Je huko ni kwa wachaga jamani, ebu acha upuuzi wa kuwadanganya wa Tanzania. Wa Tanzania wa sasa hawadanganyiki, %99 ya posti wameunga mkono nani! Ccm wezi au ukombozi? Jibu unalo.
 
magamba mmeishiwa sera mnatafuta mlango wa kutokea:evil::evil::evil::evil::evil:
 
He he he umefikiri sana mkuu Chuki...pongezi, sijaona umuhimu wa maandamo yao-Besigye alikua anaandamana kupinga ongezeko la bei ya vyakula, Kule Senegal waliandamana kupinga Wade kuingia kwenye uchaguzi, Zim, Kenya watu waliandamana kutokana na wizi wa kura wazi wazi etc je Hawa CDM wanachukua scenario za wenzao wanaziingiza hapa...Tz bado hatujachoka kiasi hiko cha kuandamana kudai hiki au kile..muda ukifika people's power hailazimishwi wala haiitaji viongozi wa kisiasa (kama kule Misri, libya N'k) tukichoka tutaandamana tu hizi siasa siasa hizi hazina tija kabisa eti m4C..CCM inatufanya wajinga na hawa CDM sasa wanatufanya wajinga, kupenda kwao vyeo bila sababu wanataka kucreate katention fulani hivi ionekane wanapigania kitu muhimu cha kitaifa, kumbe hamna.

Njema sana mkuu. Lakini sio kwamba hatujachoka bado, ila hatutaki kukurupuka tukamfukuza kima shambani na kumuingiza nyani, itakuwa patupu!
Kuamini wanasiasa ni sawa na kujizika hai. Liberators do not exist, but people liberates themselves. TUSIDANGANYIKE na hawa wanasiasa, tujiamini wenyewe tuwe wamoja na tuthubutu, tutawafutilia mbali hawa wezi madarakani.
Mungu wetu anaita!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom