Operation Tandaza ACT Tanzania

Operation Tandaza ACT Tanzania

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
643
Reaction score
1,603
Taarifa kutoka kwa timu inayoongozwa na KATIBU MKUU Mzalendo Samson Mwigamba.

Tumemaliza majimbo MATATU SINGIDA,majimbo MAWILI TABORA, majimbo MAWILI SHINYANGA.
Leo tumeingia GEITA tukitokea KAHAMA hapa ni jimbo MOJA.

Kesho tunaanza KIGOMA majimbo yote na kisha tutaenda KATAVI majimbo MANNE tutaelekea RUKWA majimbo MAWILI na kisha tutaelekea TABORA majimbo MATATU.
 
Ngoja tuone mwisho wa harakati hizo za ACT, sidhani kama sera zinazoenezwa na chama hicho ni za kuwaletea maendeleo watanzania, usije ukawa ni mwendelezo wa njaa zenu binafsi
 
mbona hatuoni picha kama kweli mmepita huko? Au mmepita kimya kimya?
 
Ngoja tuone mwisho wa harakati hizo za ACT, sidhani kama sera zinazoenezwa na chama hicho ni za kuwaletea maendeleo watanzania, usije ukawa ni mwendelezo wa njaa zenu binafsi
kazi kweli kweli, tuwatakie tu kila la heri, kukijenga chama kipya siyo shughuli ndogo
 
Hongereni ila kazi mliyopewa ni ngumu sana. waambieni wawaongezee pesa.
 
Dah ...kumbe bado mpo mpo ......ACT bana ........:bange:
 
wakati mnaeneza chama, vp picha za matukio yenu? au ndio tuamini zile za singida? na vipi ile kesi yenu ya mbeya mmeishia wapi? majibu please.
 
Chama hakina falsafa na itikadi,hakina katiba ila Kina ela na magari gafla...!! Aha aha ahaaaaaaaaa bilion 3 walizopewa na. Ccm ila kuhujumu. Chadema ndio wanazotafuna wachumia tumbo hao act

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mbona jitihada zote naziona kwa mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi tu? Huko kwingne je hususan kule kusini?
 
Taarifa kutoka kwa timu inayoongozwa na KATIBU MKUU Mzalendo Samson Mwigamba.

Tumemaliza majimbo MATATU SINGIDA,majimbo MAWILI TABORA, majimbo MAWILI SHINYANGA.
Leo tumeingia GEITA tukitokea KAHAMA hapa ni jimbo MOJA.

Kesho tunaanza KIGOMA majimbo yote na kisha tutaenda KATAVI majimbo MANNE tutaelekea RUKWA majimbo MAWILI na kisha tutaelekea TABORA majimbo MATATU.

Act mnajisumbua bure. Watanzania kama mmeshawasoma hahitji vyama lukuki bali wanahitaji viongozi waadilifu hatakama wapo chadema ccm au cuf. So kuunda mamia ya vyama vya siasa ni kutumia kodi zetu bure kwa ajili ya matumbo yenu.
 
shame on u,atakaye waunga mkono nae hazimtoshi.how comes instead of fighting the leading mnatumia nguvu nyingi kupambana na opposition.Tuwaelewe vp kama sio vibaraka mnaoutumika?Elimu mliyonayo haiwasaidii kabisa,mnaziweka mfukoni na kusikiliza akili za kuambiwa.Tutaona mwisho wenu wapi
 
Katavi hakuna majimbo manne , yapo matatu , so hata haujui mnaenda wapi .......kule kuna Mpanda kati, Mpanda Magharibi na Mlele , sasa hilo la nne liko Mkoa wa Katavi ipi ? Au umetunga tena kama juzi ulivyokuwa hapa na ratiba ya ziara .

leo mko Urambo , Msafiri alikuwa Mtaa wa Majengo ya Kaliua kwenye kile kijiweni cha Kahawa !
 
shame on u,atakaye waunga mkono nae hazimtoshi.how comes instead of fighting the leading mnatumia nguvu nyingi kupambana na opposition.Tuwaelewe vp kama sio vibaraka mnaoutumika?Elimu mliyonayo haiwasaidii kabisa,mnaziweka mfukoni na kusikiliza akili za kuambiwa.Tutaona mwisho wenu wapi
Ingekuwa njema kama wewe na wewe hapa usingepambana na opposition, Ulichofanya hapa ni kupambana na ACT ambao ni opposition, kwa hiyo kuna utofauti Gani???
 
crying-laughter-smiley-emoticon.gif
 
Back
Top Bottom