Operation Tandaza ACT Tanzania

Operation Tandaza ACT Tanzania

Hayo majimbo mnaenda kufungua miradi au kuzurura.mmetoa wapi pesa sababu hamna income au wanachama wakulipia michango ya kadi za uanachama.
 
Hayo majimbo mnaenda kufungua miradi au kuzurura.mmetoa wapi pesa sababu hamna income au wanachama wakulipia michango ya kadi za uanachama.
IMG-20140817-WA0015.jpg
 
Mi niko katika mojawapo ya maeneo wanayosema wamefanya mikutano,najiuliza hiyo mikutano walifanyia maeneo gani?mbona sikuwaona na nilikuwepo?
 
Taarifa kutoka kwa timu inayoongozwa na KATIBU MKUU Mzalendo Samson Mwigamba.

Tumemaliza majimbo MATATU SINGIDA,majimbo MAWILI TABORA, majimbo MAWILI SHINYANGA.
Leo tumeingia GEITA tukitokea KAHAMA hapa ni jimbo MOJA.

Kesho tunaanza KIGOMA majimbo yote na kisha tutaenda KATAVI majimbo MANNE tutaelekea RUKWA majimbo MAWILI na kisha tutaelekea TABORA majimbo MATATU.

Naona mwenezi unaripoti makao makuu yenu, JF. Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mpaka sasa timu zetu tatu zimeshafika majimbo 68 ndani ya Mikoa 15.
ACT-Tanzania inazidi kushika kasi.
 
ACT haitapata mbunge hata mmoja 2015,na hilo ccm wamefanikiwa kwa kuhakikisha wanamtoa Zitto bungeni kwa kumchonganisha na chadema, Zitto utakumbuka ushauri wangu mimi gogo la shamba
 
Kwi kwi kwi kwi mtatandazaje chama kisicho na viongozi!? Nyie watu mnachekesha sana hahahaha lol!!!
 
Hapo cha msingi ni kumchukua polepole aongezee nguvu chama.
...aisee acha kumshushia hadhi kijana mzalendo akajiunge na genge la wasaliti, na wachumia tumbo...
 
Ni kweli maana Mwigamba alipokuwa anatoka Dar alipita njiani majimbo yote yaliyopo njiani na mkahesabu tayari mmepigwa ....good
 
Msaliti siku zote hafiki mbali ni kama moto wa mabua hauchukui muda unazima
 
Mpaka sasa timu zetu tatu zimeshafika majimbo 68 ndani ya Mikoa 15.
ACT-Tanzania inazidi kushika kasi.
Ha ha haa, unanikumbusha kauli ya mbunge wa Nkasi Ally Keissy kuwa anaweza kuyazunguka majimbo yote ya Zanzibar siku moja kwa baiskeli.

Kama ni kuzunguka tu hakuna shida, tatizo linakuja pale mnapoondoka bila kuwaachia wananchi hata kifungu kimoja cha katiba achilia mbali katiba yenyewe.
 
Back
Top Bottom