Sisi kama Watanzania wenye 'muamko' tunafurahi kuona kwamba CHADEMA japo wanajitahidi 'kuwakosoa' CCM. Lakini je? Ingekuwa wao wangefanya nini juu ya matatizo yanayokabili nchi? na kwamba wakija kushika nchi hawatakuwa na 'njaa' kama viongozi wetu wa sasa? Ningependa viongozi wa CHADEMA wawe wanatupa analysis na solutions juu ya matatizo yanayotukabili Watanzania kwa ujumla na sio kukaa tu na kuikosoa CCM....mnaonekana kama vile ni 'washika mkia' wa CCM, acheni kushika mkia na pandeni farasi wenu ili mshindane nao....kwa njia ya kuwaeleza Watanzania juu ya mbinu zenu za kuendeleza nchi!
Dr. Slaa anaelekea kwenye siasa za Mtikila za kulipua mabomu hata pale pasipo na hayo mabomu.
Ushahidi alio nao ni wa aina gani, kideo, audio record, barua au ni wa aina gani? Natumaini hatasema kuwa mke wake ndiye aliyemtonya.
Hivi ni kwelikwamba we ni kubwa jinga?😀
Chadema wanapata wapi pesa za kukodisha Helicopter for the whole Sangara Project?
Why other Opposition Parties fail?
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma, juzi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe aliwaambia maelfu ya wanachama wake kuwa yuko tayari kulala majumbani mwao na si hotelini ili kuhakikisha operesheni hiyo inafanikiwa.
Mbowe alisema ukombozi wa kweli kamwe hautokani na viongozi kulala mahoteli ya kifahari na kuahidi kuwa yeye na viongozi wenzake watalala na kula kwa wanachama wao ili kutimiza azma yao kuleta mabadiliko ya kweli.
Sisi kama Watanzania wenye 'muamko' tunafurahi kuona kwamba CHADEMA japo wanajitahidi 'kuwakosoa' CCM. Lakini je? Ingekuwa wao wangefanya nini juu ya matatizo yanayokabili nchi? na kwamba wakija kushika nchi hawatakuwa na 'njaa' kama viongozi wetu wa sasa? Ningependa viongozi wa CHADEMA wawe wanatupa analysis na solutions juu ya matatizo yanayotukabili Watanzania kwa ujumla na sio kukaa tu na kuikosoa CCM....mnaonekana kama vile ni 'washika mkia' wa CCM, acheni kushika mkia na pandeni farasi wenu ili mshindane nao....kwa njia ya kuwaeleza Watanzania juu ya mbinu zenu za kuendeleza nchi![/QUOTE]
Bwana AbdulKensington, inaonekana umerukia gari kwa mbele. Kwa kukusaidia tu, kutaka kufahamu nini hawa watu wanafikiri nchi hii inaweza kufika kwenye mito ya maziwa na asali, nenda kasome katiba na ilani yao ya uchaguzi, nenda kwenye mikutano yao, kisha nenda kaone kule kwa majimbo waliyoshinda kama wanatimiza yalio kwenye ilani zao au la, kwa jinsi na nafasi walizo nazo katika utumishi wa watu. Mwisho wa siku linganisha na ufanisi wa chama cha KIJANI. Hapo utajua kwanini wananchi wenye akili timamu wako nyuma yao. [Though we admit that they are also human being like you and me].
Katika historia ya dunia kamwe ukombozi wa kweli hauletwi na watu wa vijijini, watu wa mijini ndiyo chachu ya mapinduzi yoyote yale. Na watu wa mijini wakianza automatically watu wa vijijini wanadakia. Mimi nasema wanaozuia mapinduzi ya nchi hii ni watu wa mijini kwa kuwa waoga wa kukabiliana na nguvu za dola na mafisadi.
Kama kweli tunataka mabadiliko ni lazima pawe na maandamano ya kudai haki, si kuishia kulumbana tuu kwenye hili jamvi. Lazima pawe na migomo isiyoisha pale ambapo haki haitendeki. Na hili litawezekana tu iwapo kila mtu atafanya sehemu yake kwa ujasiri na bila woga. Katika mapambano yoyote ni lazima watokee watu wa kujitoa kafara kwa ajili ya taifa bora la baadaye. Watu hao hawajapatikana kwani watu wa mijini wakiona tu Defender inakuja wanatimka.
.
Najua karibu kunapambazuka na Tanzania itakombolewa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Ama kweli sisiemu safari hii mna kazi kweli kweli.
Angalia mwisho wenu hauko mbali. Endeleeni kuota ndoto za mchana.
Chadema wanapata wapi pesa za kukodisha Helicopter for the whole Sangara Project?
Why other Opposition Parties fail?
Hili Swali anaweza akatujibu Mh. Zitto au Mh. Dr. W. Slaa maana wao ni 'member' wa JF.
Kwa maoni yangu:
Inawezekana wemekopeshwa ili wakiingia madarakani walipe (kwa kuuza Nchi) au ni Ufisadi kama Fisadi nyingine.
Kwa kuwa ninyi mmeuza nchi mnafikiria kila atakayeingia mamlakani atafuata mkondo wenu? Aibu!
Sisi kama Watanzania wenye 'muamko' tunafurahi kuona kwamba CHADEMA japo wanajitahidi 'kuwakosoa' CCM. Lakini je? Ingekuwa wao wangefanya nini juu ya matatizo yanayokabili nchi? na kwamba wakija kushika nchi hawatakuwa na 'njaa' kama viongozi wetu wa sasa? Ningependa viongozi wa CHADEMA wawe wanatupa analysis na solutions juu ya matatizo yanayotukabili Watanzania kwa ujumla na sio kukaa tu na kuikosoa CCM.... mnaonekana kama vile ni 'washika mkia' wa CCM, acheni kushika mkia na pandeni farasi wenu ili mshindane nao....kwa njia ya kuwaeleza Watanzania juu ya mbinu zenu za kuendeleza nchi!
LM,
Umesikia wenyewe wakisema huko Musoma watalala nyumbani kwa wanachama wao badala ya hotelini na pia wameitisha harambee za mchango wa wapenda mabadiliko. Pia wanazo fedha za ruzuku pamoja na michango ya wanachama.
Mkuu Jasusi,
Ina maana ruzuku pamoja na michango ya wanachama ndio tu iliyokuwa inawawezesha kutumia Helkopta Nchini kote katika kampeni za uchaguzi mwaka 2005?