Operation ng'oa Magufuli inakuja

Vitisho vya namna hii vimepitwa na wakati.
 
Kulazimisha mtu aliyeshindwa kuongoza ABAKI ndio uzalendo ? Kwanza mleta uzi hakusema atashika mtutu , atapita nyumba kwa nyumba kuhakikisha magufuli hachaguliwi tena , je huu ndio uhaini ?
 
Kulazimisha mtu aliyeshindwa kuongoza ABAKI ndio uzalendo ? Kwanza mleta uzi hakusema atashika mtutu , atapita nyumba kwa nyumba kuhakikisha magufuli hachaguliwi tena , je huu ndio uhaini ?
 
Acha kutisha watu pimbi wewe, kamkamateni Lisu jana amerudia tena kumuita Dikteta uchwara, tena mbele ya makamera.
Wamebaki na aibu .Jana lissu kamchana " live" magufuli anamuweka mtoto wa Dada yake katibu mkuu wa Wizara ya fedha ili waendelee kutuibia.
 
Rose Mayemba, huna haja ya kuumiza kichwa. Watanzania wanajua kinachoendelea, mwache huyo dikteta ajipigie chapuo. Hata iweje, huyu miaka yake ni mitano tu. Watanzania tumechoka kula udongo.
 
Anamaanisha baada ya miaka 10 ya magufuri kama wale wanaotaka pia aendelee baada ya miaka 10 yake kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…