Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Wote walikuwa wanafuata sera na miongozo ya chama tawala pamoja na rais wao.kati yao ni mawaziri wakuu wawili walioko Chadema!
Mara hii umesahau M4C Magufuli 4 Change? Kweli ccm zimejaa maiti.mtoa uzi umechelewa tayari.
Njoo na hoja za msingi na sio kuja na mbadala wa mambo walioanzisha wenzio.
kweli mnadhibitisha mnapumulia mashine na mwisho wenu umekaribia.
mlipokuja na operation ukuta hamkutafutiwa mbadala wake bali iliwekwa mikakati thabiti na kufanya isifanyeke hapa serikali walifaulu zaidi ya 100%.
Nakuhakikishia hiyo operation yako ITAFELI VIBAYA kwa sababu utakuwa katika vita ambayo uwezi kupigana nayo maana utateketea ndani ya sekunde.
Upinzani sasa hivi mmechoka tunasubiri tu kurudisha majimbo yetu 2020 na mpotee kabisa kwenye uso wa sayari hii ya Dunia muelekee sayari ya Mars.
At most kikatiba ni 10yrs ONLYMtang'oka nyie mtamuacha Magufuli for life madarakani
Mwizi wa pesa za kivuko zile bilion 251 zilizopotea kule wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa safari hii chupi lazima imbane.Ungeanza na operesheni ya kumuondoa mwenyekiti wa kudumu wa Chama chenu kwanza.
Mkuu,watakwambia "I am a good gun in a bad man's war".hivi unajua kuwa wenzi na walio fanya nchi kuwa tuliko ( HOI) ni sisiemu.
1. Huwezi safisha ndoo chafu kwa kutumia maji machafu.
2. Ukiweka divai mpya kwenye kiriba kikuu lazima kiriba kipasuke.
3. Mswahili anaoga kisha anaosha malapa na anakwenda ndani peku peku ili malapa yasichafuke.
Kwani hukuwahi kusikia kuhusiano na huo umoja?Mh[emoji15][emoji15][emoji124][emoji124][emoji124] mie simo. Hapa sio miliion saba ila itakua miaka saba. Kwa huyu dicteta uchwara!!
Utakuwa unaotaMagufuli for life
HAAAAAA HAAAAAAA. HAO ULIOWATAJA WANAHALI GANI KWA SASA NAWAKATI WANARUDISHA WENYEWEEE?? HALAFU YULE JAMAAA YENU MTETEZI WA WAZUNGU ANAWAUNGA MKONO??Elimu ya hapa na pale: kweli CCM inapendwa na wenye elimu hafifu kama utafiti wa TWAWEZA ulivyosema. Sasa wewe unasema kwenu hakuna mafisadi. Naomba unitajia hawa wafuatao ni wa chama gani: Ngeleja, Tibaijuka, Chenge,
Hapo kwenye "wafungwe",vijana wa Lumumba watafurahia lakin hapo kwa "waondolewe kinga" hawatakujibu,,,,,kimyaaaaSijakataa nakubali kabisa, tena ninahamu washitakiwe kwa yote walosababishia nchi kuwa katika kipindi cha utawala wao, na wote wenye kinga waondolewe kinga ili waunganishwe pamoja. kunawakati ili kusafisha choo kichafu inabidi ufunge macho na pua.
Mnapenda eee,kukamata na kuwaweka ndani mnafurahi eeee?.Vyombo vya dola vimkamate huyu mtu haraka analeta uchochezi
Weee ilishakabidhiwa jei wiii,,,ilimsiijadili aseeUkizumgumzia ufisadi Kuna boti mbovu ilinunuliwa na juma ponda mali
..hii tishia unayomtishia Rose hapa ingeeleweka zaidi kama ungeainisha/kuchambua maana na tofauti kati ya - 'Operation Magufuli' Baki na 'Operation Ng'oa Magufuli'muwe mnaficha
jitahidi kuficha upumbavu wako,onyesha busara zako ,hao wanaokusupport ukipelekwa kisutu ata chai watashindwa kukuletea.Ni wengi tu hatukubaliani na utawala wa magufuli ila hatuvuki mipaka kama wewe
siasa za mitandaoni zinawaharibu sana vijana wa chadema,mimi naziita ni siasa mfu hasa ktk awamu hii ya tano
hao wanaosema Magufuli abaki wanatofauti gani na sisi tunaosema Lowassa 2020?
yaani unakuta wewe ni limtu kabisa na familia yakee..unabana pua...."magufuli for life madarakani"" hahahahaha...dohMtang'oka nyie mtamuacha Magufuli for life madarakani
Naunga mkono hoja....!Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....