Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Kuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app