Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 684
Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini
Miaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Sisi kahawa yetu ya Kagera ndiyo inaipa Uganda FOREX za kumwaga.Miaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Kwanza asante kwa kukubali serikali kununua koroshoLakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Wanasema "Hasira za Mkisi" siyo Mkizi
Kwa hili la magonjwa nakubaliana na wewe 100%Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumu
Wewe unavyo jua cartel hufanya kazi kwa namna gani?Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Tatizo nchi inaendeshws kwa fikra za mtu mmoja.Mkizi ni Tanzania maana sisi ndiyo tunakosa hayo mazao ambayo kimsingi miaka yote huwa tunayapata na kuyauza na kuingiza kodi kibao
Milioni 700 watu wamepiga.Majizi Hayana Nafasi Awamu Hii Ya Tano
Mwizi hapo ni yupi mkuu?
Ndio najua, cartel inafanya kazi pale wauzaji bidhaa wanapo conspire/kukubaliana kuuza bidhaa zao kwa bei moja ya juu kuliko bei halisi ya soko kama wakiuza kiushandani.Wewe unavyo jua cartel hufanya kazi kwa namna gani?
Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini[/QUOT
Hata serikali ikipata hasara ni kwaajili ya wananchi wake, kwasababu pesa wamelipwa watanzania na si wageni mimi naona sawa tu.
Majibu ya serikali juu ya koroshom toka nje haya hapa. Tuyapime kama yans ukweliKuna tatizo, hapo biashara ina kanuni zake, ukizikiuka undhoofisha mfumo mzima wa biashara
Hivi unawezaje kukutaa kuchukua (dhahabu) bidhaa kwa wingi na kwa bei nzuri ili ukiuza update faida kubwa?
Au selikari haijajipanga kupata faida??
akili za JiweWaziuze tu zakwao wanakojua. Tuko ktk vita ya uchumi mkuu. Wasije wakaweka mimawe kwenye korosho zao halafu waharibu soko la korosho zetu. Wapambane na hali yao na Mozambique yao