Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,378
- 139,283
Mbona kama una haraka sana Lunyasi?Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.
Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA
Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema
Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Duh umenikumbusha Lunyasi aka Sunderland. Naona jamaa anataka kukata na kufunua.Mbona kama una haraka sana Lunyasi?
Porojo za mtaa wa ufipaHta cjaelewa uneandika ninj
unazungumzia ccm ipi wewe hivi watu wengine nani kawaroga hii ccm inawalaza na viatu unasema inajikaanga.Naiona ccm inavyojikaanga na mafuta yake?
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.
Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA
Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema
Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Maana hakuna namna!!Jina tu lenyewe linashiria uvunjifu wa amani. Nani huyo akatwe na nani afunuliwe? Hata kama uhamasishaji huo wa kukatana (mapanga) na kufumua watu utafanyika kwa mikutano ya ndani, hakika hautaruhusiwa na utakumbana na nguvu ya dola.
Mbowe siasa zake ni za choko choko tu. Zamu hii ndiyo mwisho wake. Upinzani maana yake si kufanya choko choko na kuvuruga amani. Sidhani kama Lowasa angekuwa rais angeruhusu kufanyiwa upuuzi huu na ccm. Ajiandae kwenda kujiunga na Lema huko gerezani. Watu wamechoka.
Jina tu lenyewe linashiria uvunjifu wa amani. Nani huyo akatwe na nani afunuliwe? Hata kama uhamasishaji huo wa kukatana (mapanga) na kufumua watu utafanyika kwa mikutano ya ndani, hakika hautaruhusiwa na utakumbana na nguvu ya dola.