Operation high jump,nikola tesla ,cern na nasa

Kuna madini ya uranium na plutonium ambayo yanahusika kwenye kutengeneza silaha za nyuklia
Baada ya kuisha Kwa WW2 US walifanya expedition Antarctica, walikwenda na wanajeshi takribani 4700, wanajeshi wote Hawa wa Nini?. Na vita ilikuwa ishakwisha. Mambo ya kijeshi ni magumu kuyajua..
 
Vita huwa haziishi zinatulia tu, pia hiyo haimaanisha kwamba wasijiandae kwa kutafuta madini ya kutengeneza silaha zenye nguvu. Kama ilikuwa kutafuta dunia nyingine kwa nini wasichukue watu wa historia au archaelogist ila walikuwa na wanajeshi na wanasayansi
 
Tayari vita ilikwisha pale Japan, hakukuwa na uwezekano wowote wa mataifa kuingia tena vitani baada ya zile nukes kuangushwa. Kwasababu kama ingekuwa ni suala la madini baada tu ya ile expedition tayari US angeitumia Antarctica kuchimba madini unayosema kama zilivyo sehemu nyingi za kimkakati alizochukua USA, kulikuwa na uwezekano wa unusual activities Antarctica ambazo zilichagizwa na Nazis, kumbuka jinsi Kila kitu kuhusu Nazis kilivyochukuliwa na US, Russia etc.
 
Back
Top Bottom