Operation high jump,nikola tesla ,cern na nasa

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Nimefuta content ipo kwenye makala UFUNUO MKUBWA DUNIANI.
 
Attachments

  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    42.8 KB · Views: 28
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    50.2 KB · Views: 23
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    93.6 KB · Views: 24
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    64.4 KB · Views: 26
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    38.9 KB · Views: 21
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    34 KB · Views: 23
  • images (18).jpeg
    images (18).jpeg
    29.8 KB · Views: 22
  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    62.2 KB · Views: 26
  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    11.9 KB · Views: 20
  • OMIWCS.gif
    OMIWCS.gif
    1.2 MB · Views: 22
  • images (24).jpeg
    images (24).jpeg
    54.5 KB · Views: 17
  • images (23).jpeg
    images (23).jpeg
    45.4 KB · Views: 22
  • images (26).jpeg
    images (26).jpeg
    42.2 KB · Views: 19
  • images (19).jpeg
    images (19).jpeg
    20.6 KB · Views: 27
  • images (17).jpeg
    images (17).jpeg
    25 KB · Views: 60
  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    44.9 KB · Views: 19
Hizi Mambo wachache mno watakuelewa. Lete za mbususu,cdm vs ccm na betting Kila kichwa kitachangia.
 
Mh! mmeanza na ma freemason yenu!, hizi habari ni za kale halafu kuhusu NASA kwenda mwezini hoja zote walishazijibu!..
hiyo dunia yenu flat pelekeni huko kwa mpalange msituletee mambo ya ajabu hapa!.

Unakaa unaamini hadithi za eden unawazimu wewe!, Dini ni vyombo tu vyakutawalia watu hata usihadaike nazo!, ati mwezi unatoa mwanga wa baridi...🤣
Unakuwa kama zuzu vile, umekaa kinadharia sana ajabu unajikuta mwanasayansi halafu unasema big bang imeletwa na nasa!, big bang ni nadharia tu sayansi haina jibu la moja kwa moja kuwa ulimwengu ulianza vipi so kama haina majibu ila inamapendekezo ama mafikirio ila wanajua kabisa big bang ni nadharia ambayo bado haijathibitishwa!..

Kitendo chakuita dark matter na anti matter ni kwamba kuna nguvu ktk ulimwengu wanaona inafanya kazi tu lakini hawajui inatokea wapi!, ndio maana wakaziita hivyo so still cern wanafanyia utafiti!, wewe mlugaluga unasema wanaficha, wafiche kwa faida ya nani unafikiri nani hataki kugundua jina lake liandikwe nakusomwa kwenye vitabu vizazi na vizazi!.

Na nashuku hiyo unayosema kuna taarifa waliipata kutoka anga za mbali ila wanaficha nafikiri ni ile waves za gravitational ambapo black holes mbili zili collide!, wewe wasema taarifa!.. na hii ilitabiliwa na Albert Einstein kuwa kuna gravitation waves ila ndo wakaja kuthibitisha kuwa kweli jamaa alikuwa right baada ya miaka 100+.

Wewe unasumbuliwa na ushamba na kwa elimu hiyo unaweza kuteka vichwa vya wajinga!.. unasumbua watu tu namabandiko yako mpk unaleta stori za majini ukiamini kuwa ni kweli mara watu wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako!.

Halafu usimtumie Nikola tesla vibaya!.
 
Uzi huu ufungwe maana hakuna cha kuongezea tena! 📌📌📌
 
wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako
Hapa naomba ufanye uchunguzi, pia umejibu kwa ku belittle jamaa Kama vile alikunyang'anya demu.
Ume attack jamaa , wee argue or challenge Kila dai lake moja baada ya nyingine.
Hili la sound limefanya niamini kuwa Kuna muda mjinga anaweza akajiamini mno na akajiona Yu sahihi.
Nime generalize sijakutaja Ila mie siwezi Pinga kitu ambacho Sina data ama research nacho..

Hili la sound or frequency healing please do research, don't involve your EGO MANA najua utakuja namie kunitukana na kutaka kuonyesha kuwa sijui kitu Ila wewe unajua zaidi.
Hata ivyo wewe unajua zaidi so wewe ni kichwa sie ni wajinga na Kila siku tunajifunza wajinga.
Mie hata la kuponya kwa sauti I know it Ila Sina haja ya kukuonyeshea.
Why music frequencies changed from 432 to 440 hertz.

Ama jaribu kucheki ichi ni kitu Gani please.
Do your research
Screenshot_20250415-112534.png
Screenshot_20250415-112534.png
Screenshot_20250415-114110.png
Screenshot_20250415-114110.png
Screenshot_20250415-112534.png
Screenshot_20250415-114110.png
Screenshot_20250415-114324.png
 
Kuna healing frequencies, when I was a kid niliponyesha hata vifaranga just with some kind of sound , I didn't know why it worked but after learned it I knew why
 
Mh! mmeanza na ma freemason yenu!, hizi habari ni za kale halafu kuhusu NASA kwenda mwezini hoja zote walishazijibu!..
hiyo dunia yenu flat pelekeni huko kwa mpalange msituletee mambo ya ajabu hapa!.

Unakaa unaamini hadithi za eden unawazimu wewe!, Dini ni vyombo tu vyakutawalia watu hata usihadaike nazo!, ati mwezi unatoa mwanga wa baridi...🤣
Unakuwa kama zuzu vile, umekaa kinadharia sana ajabu unajikuta mwanasayansi halafu unasema big bang imeletwa na nasa!, big bang ni nadharia tu sayansi haina jibu la moja kwa moja kuwa ulimwengu ulianza vipi so kama haina majibu ila inamapendekezo ama mafikirio ila wanajua kabisa big bang ni nadharia ambayo bado haijathibitishwa!..

Kitendo chakuita dark matter na anti matter ni kwamba kuna nguvu ktk ulimwengu wanaona inafanya kazi tu lakini hawajui inatokea wapi!, ndio maana wakaziita hivyo so still cern wanafanyia utafiti!, wewe mlugaluga unasema wanaficha, wafiche kwa faida ya nani unafikiri nani hataki kugundua jina lake liandikwe nakusomwa kwenye vitabu vizazi na vizazi!.

Na nashuku hiyo unayosema kuna taarifa waliipata kutoka anga za mbali ila wanaficha nafikiri ni ile waves za gravitational ambapo black holes mbili zili collide!, wewe wasema taarifa!.. na hii ilitabiliwa na Albert Einstein kuwa kuna gravitation waves ila ndo wakaja kuthibitisha kuwa kweli jamaa alikuwa right baada ya miaka 100+.

Wewe unasumbuliwa na ushamba na kwa elimu hiyo unaweza kuteka vichwa vya wajinga!.. unasumbua watu tu namabandiko yako mpk unaleta stori za majini ukiamini kuwa ni kweli mara watu wanaponywa kwa kutumia sijui frequency!..😂
Ponya basi wewe tuone kama unaweza nenda mahospitalini kawaponye watu kwa hizo frequency zako!.

Halafu usimtumie Nikola tesla vibaya!.
Flat earth wanamatatizo yani mpaka wana ramani ya nje ya antartica na majina ya maeneo na hakuna aliyefika huko wala kutuma chombo au telescope wanajitungia tu
 
Hapa naomba ufanye uchunguzi, pia umejibu kwa ku belittle jamaa Kama vile alikunyang'anya demu.
Ume attack jamaa , wee argue or challenge Kila dai lake moja baada ya nyingine.
Hili la sound limefanya niamini kuwa Kuna muda mjinga anaweza akajiamini mno na akajiona Yu sahihi.
Nime generalize sijakutaja Ila mie siwezi Pinga kitu ambacho Sina data ama research nacho..

Hili la sound or frequency healing please do research, don't involve your EGO MANA najua utakuja namie kunitukana na kutaka kuonyesha kuwa sijui kitu Ila wewe unajua zaidi.
Hata ivyo wewe unajua zaidi so wewe ni kichwa sie ni wajinga na Kila siku tunajifunza wajinga.
Mie hata la kuponya kwa sauti I know it Ila Sina haja ya kukuonyeshea.
Why music frequencies changed from 432 to 440 hertz.

Ama jaribu kucheki ichi ni kitu Gani please.
Do your research View attachment 3305608View attachment 3305608View attachment 3305610View attachment 3305610View attachment 3305608View attachment 3305610View attachment 3305611

Haya sasa zwazwa jengine hili hapa!, hivi mkuu unafikiri maisha ni kama lindoto fulani hivi from no where tu!!!.

Unafikiri ni jinga kiasi gani akae anaumwa huku akijua kuna sounds za frequency akizipata tu anapona!.. wewe huna tofauti na wanaoamini dini kwamba kwa kuomba tu unapona!.. acheni kukaza hizo shingo maisha ni uhalisia hivyo vifaranga vyako kinga zao za miili ziliwaponya basi ikaisha!..

Basi tengenezeni hizo frequency viziwi,viwete na wote wanaoumwa wapone!, acheni kuleta ngonjera hili life bila ku hassle kufanya tafiti ili kupata tiba za magonjwa ni tutakufa kama sisimizi wamemwagiwa maji yamoto!.

Mi nawashangaa sana mnaoamini hivi vitu sijui mnawaza kutumia ubongo upi!..😅
 
Flat earth wanamatatizo yani mpaka wana ramani ya nje ya antartica na majina ya maeneo na hakuna aliyefika huko wala kutuma chombo au telescope wanajitungia tu
Nadiriki kusema ni majinga...🤣
 
Kuna healing frequencies, when I was a kid niliponyesha hata vifaranga just with some kind of sound , I didn't know why it worked but after learned it I knew why
Twende practically hapa Mkuu mtu ana virusi au bacteria wa kansa, kisha unampigia frequency hivyo virusi vina potea tu kwenye damu au vinakufa kwa ajili ya frequency au ni nini kinatokea mpaka ukienda kupima unakuta hana tena ugonjwa haupo,

Labda tuseme relaxation of the mind inasadia kutuliza anxiety na huenda kusaidia relaxation ya misuli il bacteria au virusi kufa kwa ajili ya musical frequency huo ni uwongo
 
GiNr-T1aAAAkois.jpeg
 
tafuta hizo frequencies zipo mtandaoni, sema nini wajanja hawataki watu wajue natural healing Bali wawe dependant kwao.ili.wazidi.kuwapiga hela.
Hii dunia Kuna watu wamekaa.wao. wanacheki watumwa wanavyohangaika.
Hujiulizi why jamaa mmoja aligundua gari ya kutumia maji wakamuua.,.walimwambia stop mara uza hii gunduzi Ila akakaidi
 
Marekani si wajinga wakamtuma Admiral Richard Byrd kwenda Antarctica ku explore je unusual activities walizosikia ni kweli zipo?, kwani Nazis walikuwa obsessed sana na Antarctica kuliko taifa lolote kipindi hicho?, Hitler si mjinga kuita wajerumani ni master race!, Unadhani Russia walikuwa wajinga kumtuma Yuri Gagarin akatembee tu space na area of concentration zilikuwa zipi, unajua?, Antarctica Kuna mambo. Ni Bora sisi tuendelee kutafuta pesa, kununua gari na vimradi viwili vitatu tusubiri kufa tu maana hakuna kitu cha maana tunaweza.
 
Hizo zote ni spiritual hazina faida sasa kama opening third eye ya nini au psychic version, kuna telepathy hata usipokuwa navyo hakuna madhara ila Ancient real medicine ya zamani ilikuwa ni herbs haya madawa ya miti shamba wakiwa na ugonjwa serious wanatumia natural herbs sio hizo frequency. Kama nilivyosema hizo frequency ni more kwenye mind na spiritual ila magonjwa serious wanatumia dawa kwa sasa na zamani ilikuwa ni miti shamba
 
Marekani si wajinga wakamtuma Admiral Richard Byrd kwenda Antarctica ku explore je unusual activities walizosikia ni kweli zipo?, kwani Nazis walikuwa obsessed sana na Antarctica kuliko taifa lolote kipindi hicho?, Hitler si mjinga kuita wajerumani ni master race!, Unadhani Russia walikuwa wajinga kumtuma Yuri Gagarin akatembee tu space na area of concentration zilikuwa zipi, unajua?, Antarctica Kuna mambo. Ni Bora sisi tuendelee kutafuta pesa, kununua gari na vimradi viwili vitatu tusubiri kufa tu maana hakuna kitu cha maana tunaweza.
Kuna milima humo ya madini ghali duniani hicho ndio walikuwa wanatafuta sio dunia nyingine iliyojificha nyuma ya antartica hizo ni hoax za kuficha watu kwenye vitu vya muhimu
 
Ukiwa mfuatiliaji sana na mtu wa kuunganisha dots utajua kwanini Antarctica.
 
Back
Top Bottom