Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

Kama wamekubali kujiuzulu au wamepewa barua ya kuondolewa sis hapa tutajuaje, yaani ni matokeo gani tutayaona? Watatoka ubunge kwa vile hawana chama? kama ndivyo ni safi kwa vile wanachi wote watafahamu, na dhamira ya sisiemu imekuwa wazi nasi tutarudisha imani yetu.

Sina shaka kuwa RACHEL wana uwezo wakungangania, they have the backbone for that.

Drama iendelee na mchezo unazidi kuwa mtamu. Je kutatokea nini wasipotoka au wakibow?
 

You guys are joking lets see kama hili boti la mafisadi litapona ama litazama. Sihitaji kubashiri najua kuwa lazima wazame na yeyote aliyeshiriki huo uovu lazima naye azame regardless of position or status. I told you the powerhand is changed; remember hii siyo vita iliyopangwa kimchezo mchezo iko so articulated kiasi kwamba hata wasiojua wako vitani wameshika silaha na kila mmoja ameungana na mwingine bila kuelewa. Niliweka mfano hapo wa solitons functioning yake japo ni consistent haiko linear na component zake siyo kwamba ziko strong lakini zile weak ambazo kwa nature zinajikuta wakati mwingine zina associate na wakati mwingine zina pishana kiasi kwamba ziko stable in causing distruction in such a manner kwanza huwezi kuzi predict na pia zina oscilate with frequency of different strength na hapo hapo zikiweza kusafiri in a consistent manner. Ni function pekee ambayo mathematic models zimeshindwa kuzi model ndiyo maana occurance yake haiko easly predicted ili watu waweze jihami. Its my song now and amplitude of this song is becoming more and more strong kuwa hakuna fisadi atakaye katiza hii ngoma ni kubwa sana kwa wao kucheza. The only way ni kuomba mercy un-merited favour kwa mtu mwenye makosa ambayo kwa sasa ni kama mtu aliyekuwa marehemu kuomba toba wakati yuko kaburini. Its writen once for a man to die na inabaki hukumu iliyo ya haki.
 

Mzee Mwanakijiji

Your thread is a bit confusing!

Do you really mean that you are now supporting the so called 'TRIPLETS' ??? That is EL,RA and AC.
Your statements above highlighted with REDDISH mark raises an eyebrow! Everybody knows that EL, RA and AC are the ringleaders of corruption in CCM and its government.There is no doubt about that.

The MEDIA and CITIZENS of URT have said/wrote,analysed and proved beyond reasonable doubt that EL,RA and AC are corrupt officials to the core!Their wealth is questionable! Hope you know that the Comittee of Principles of Ethics guideline is just as toothless as any comittee in this country. The comittee knows each and everything about the wealthness of these Triplelets! The comittee also knows about(wealthness)of Kiwete,Mkapa,Sumaye,Mkono,Malecela,Magufuli,Ridhiwan ........+ the other included in the 11+ LIST OF SHAME!But the committee stays dumb!

Probably now that,the new CCM going with a slogan of ''SKIN SHEDDING'' can accept and give evidences(they have them already) and bring the 3 FISADIs before the Court of Law.

I am looking for that day.
 

Pasco,
Utakuwa ulidandia mazungumzo ya simu kati ya El na Mkulu hivi karibuni. Haiwezekani ukawa sahihi kiasi hiki!
 

Na kama ni kuwatimua hatua hizo inabidi zichukuliwe na ngazi za CCM matawi na sio CCM Taifa , Mkoa au Wilaya. Kwa kuzingatia idadi ya kura walizopata na red carpet walizokuwa wakipata walipotoka serikalini hapo ngoma ndio inazidi kunoga.
 
Hapo CCM wamekalia kuti kavu only one option waliyonayo wawaombe wajiuzuru kwa hiari yao wakikataa kujiuzuru kwa hiari hilo zigo wanalo wameshachemsha
 
There is no way the RACHEL will cause Mkulu end his tenure in our white house. no way. but Mkulu can easily buruza them in court of law. the allegation that we ate with Mkulu will not be a defence but admission of your wrong doing and since you are the one charged there, then you will be convicted. Tanzanians will andamana in big numbers praising the government for fight against big fish of corruption and all the propaganda that will follow. after all we are very good in forgiving wakubwa wetu and wish to start afresh. so it is not in their best interests for the trio to resign and quit ccm. actually it is suicidal. so as said by Mwanakijiji, dont quit, dont resign. remain in the party and see what the party will do....nothing! a new story will have to be invented after the infamous 90 days period and umma will be led to concetrate on the new story and ...alas 2015 arrives and the bloody fools start parading for erecting (sorry electing) their satired leaders! Thats Tz. that's why it is God's most blessed country! Just become its leader and you will now why its most blessed country!
 
Vita ile inamgeuka Nape hivi karibuni tu. Hana nguvu ya Mwenyekiti wake wala Katibu Mkuu wake. CCM ya akina RACHEL+ MAKAMBA ina nguvu sana tu.
 
walipokuwa NEC na CC ya CCM tulisema CCM chafu
sasa wameondoshwa NEC na CC tunawaonea huruma

kesho watahamia CDM wataonekana wapiganaji
hakuna mtu anyewaonea huruma. Leo hajatoka mtu mikutano ya kujisifu kila kona; je watakapotoka hao watatu tu na kuacha ufisadi ukitalamakai kila pemebe ya nchi hii huku CCm waliitisha mikutano na maandamnao ya kujisifu. Tunataka vinara wa ufisadi yaani maraisi nao wangokekwani kilichoibiwa ni cha watanzania wote.
 
Nadhani Superman mkulu hana wasi wasi maana hapotezi chochote, ila hawa jamaa wanazo siri kubwa kubwa wakichokonolewa saana wataropoka!!!!!!!!! Huo ndio woga wa wakubwa, kila kitu walifanya wote pamoja kujivua gamba kiaina hiyo ya kutosana sio rahisi, KAGODA si ipo??????????
 
In addition Mkuu Manumbu CDM is trying to amplify the senerio of corruption,if Mukulu was strategicaly planing to send them to court, people will need to know why not his son???????????? Can he really brave to send the son to prison????????? Wait and see time will tell, you die or drop dead!!!!!!!!
 

Mkuu natafuta panadol niile maana kichwa kinauma kwa hasira duh!!!!
 
Its pathetic that most of you do not realize that CCM will come out of this as a much stronger UNIT!!

Trust me most of you haters will be surprised and CCM will survive this transformation. Just wait and see...
 


I have nothing to add. It is like you were reading my mind.
RACHEL should
stick there guns and shouldn't resign.
 
Its pathetic that most of you do not realize that CCM will come out of this as a much stronger UNIT!!

Trust me most of you haters will be surprised and CCM will survive this transformation. Just wait and see...

Wimbo huu tumeshauzoea.
 
Ulichosema ni kweli kwa kuwa mfumo wote ndio corrupt maana huwezi kufanya mambo haya pekee yao hivyo kuna ulazima wa kuona kuwa wote ndio wahusika wakuu hivyo walishindwa nini kuwatoa kwenye party kipindi kile na iweje sasa
 
Lowassa,Change,Rostam na Magamba yatakayotolewa kafara kuinusuru CCM.Wakikubali kufanya hivyo ili kukilinda chama {Ufisadi}Ni kosa kubwa kuliko UFISADIwenyewe.Kwani watakubukwa daima kwa kujitoa muhanga kulinda ufisadi na watasutwa popotea watakapoenda katika kipindi chote cha maisha yao yaliyobaki.Lakini wakiwatosa mafisadi wote na kueleza ukweli wote wa machafu ya CCM bila kijali ni nani na ana nafasi gani serikali na kisha kutubu makosa yao,wananafasi ya kujisafisha na kurudisha imani kwao.Vinginevyo wakiamu kujitwika zigo hilo la UFISADI la CCM.Ni hatari kwa maisha na mali zao kwani ghadhabu na chuki zote za walalahoi wataziamishia kwao kutoka CCM huo ni ushauri wa bule.BADO MNA NAFASI YA KUSAIDI KUTOKOMEZA FISADI MLIO SHIRIKI KUUANZISHA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ogopa chama kinachoitwa ccm,ni chama chenye mbinu nyingi sana nyingine ni za kuuhadaa umma.Hawa mapacha watatu watajiuzuru lakini watakaa kimya na hakuna kingine kitakachoendelea,wataendelea kutumia mali walizo fisadi.Pacha RA ameshachuma vyakutosha,akisumbuliwa sana atarudi kwao iran huku akiacha kampuni zake zikiendelea na hakuna wa kumfanya lolote kwani JK anafahamu fika RA ni nani kwake.Akina AC na EL wao watabaki humuhumu bongo wakivinjari bila kubughudhiwa kwani ccm watakuwa wameshahakikishiwa kuwa hawatabughudhiwa baada ya kuvuliwa gamba.Watu watapiga mayowe lakin wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…