Sasa tunakubaliana ndio ninachosema kuwa wasitoke CCM tuone kama CCM ina ushahidi wa kuwaondoa hivi hivi bila ya kuwafikisha mahakamani.
kinanishangaza we ulikua na evidence bado wasema wasijiudhuru kwa ufisadi lengo lako hapo ni WAZI UNATAKA CCM WAVUrugane chama kife mpate gap ya kula keki ya taifa.dah,ajab sana.
Labda hujasoma heading ya thread .. hii inaitwa "Operesheni Vurugu"..
Msimamo wangu ni kuwa ntaendelea kuwaona lowasa,lostam..chenge innocent until proved guilt beyond doubt.kimahakama.
Kitu ambacho unakubaliana na mimi kama wako innocent wabakie ndani ya Chama wasitoke maana wakitoka watathibitisha kuwa siyo innocent!
Kichama kama wanaombwa kuwajibka kwa hata shutma kunusuru chama it is ok
Yaani watu wauze utu wao, heshima yao, majina yao na haki yao kwa ajili ya chama? na kwako "its ok"? Lakini tulipowaliliwa wajibike kwa ajili ya "nchi"
its not ok? Kweli wenzetu hii CCM imewaingia vibaya kweli.