Operation "Amsha wanawake" chini ya CHADEMA, kutikisa Taifa

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Wakuu,

Jiunge na kamanda Lilian Wasira katika 'Oparesheni Amsha Wanawake Tanzania' na bendi kabambe ya kinamama ikiimba nyimbo zote za albam ya Kwaheri CCM, ziara mikoa yote 30 kwa kasi ya mwanga! Tunaanzia jikoni DSM uwanja wa Taifa...

Saa ya ukombozi imefika!

Makamanda wote kunja ngumi peoples..!?

professor kilaza
 
wakuu,

jiunge na kamanda lilian wasira katika 'oparesheni amsha wanawake tanzania' na bendi kabambe ya kinamama ikiimba nyimbo zote za albam ya
kwaheri ccm, ziara mikoa yote 30 kwa kasi ya mwanga! Tunaanzia jikoni dsm uwanja wa taifa...saa ya ukombozi imefika!

Makamanda wote kunja ngumi peoplesssssssss
!!!!?
.....
Professor kilaza
toa taarifa sahihi kwa ufasaha
 
Taarifa ipi zaid ya hiyo? Ccm mtajificha Na Bado kunatuwar ya sugu mikoan Na m/k&ktb Kina mama wanaendelea kuzunguka huku Mh mbowe
 
Chadema sidhani kama itaweza kuiondoa CCM madarakani kwa awamu hii maana naamini ZITO na Chama chake ACT ameishachukua wafuasi wengi wa Chadema.Nadhani chadema hawakusoma alama za nyakati vyema.Ila namuomba Mungu atuchagulie viongozi waadilifu.
 
cdm haiwezi kucheka na wasaliti , ni mwiko !
 
Chadema sidhani kama itaweza kuiondoa CCM madarakani kwa awamu hii maana naamini ZITO na Chama chake ACT ameishachukua wafuasi wengi wa Chadema.Nadhani chadema hawakusoma alama za nyakati vyema.Ila namuomba Mungu atuchagulie viongozi waadilifu.
Huyu naye poyoyo unaongelea habari za minyoo ya kisiasa
 
Chadema sidhani kama itaweza kuiondoa CCM madarakani kwa awamu hii maana naamini ZITO na Chama chake ACT ameishachukua wafuasi wengi wa Chadema.Nadhani chadema hawakusoma alama za nyakati vyema.Ila namuomba Mungu atuchagulie viongozi waadilifu.

endelea kudhani mkuu...
 
Nimefurahi sana Zitto kafanya zile hela za ruzuku walau zinatumikatumika kwa shughuli kusudiwa tofauti na zamani watu walikuwa wanajigawia bure bure
 
Hizi operation mgezifanya vijijini badalaya mjini zingeleta matunda sana. Kuna miji tayari wanajitambua nashauri muwafuate wale wanaouza kura kwakanga na kofia
 
Hakikisheni wanapata ulinzi wa kutosha maana juzi kule tanga wamefanyiwa fujo sikupenda kabisa

Tunawapenda BAWACHA!!
 
Chadema sidhani kama itaweza kuiondoa CCM madarakani kwa awamu hii maana naamini ZITO na Chama chake ACT ameishachukua wafuasi wengi wa Chadema.Nadhani chadema hawakusoma alama za nyakati vyema.Ila namuomba Mungu atuchagulie viongozi waadilifu.

hahaaaaaa utateseka sana ndugu, watu wanahitaji fikra mpya na mitazamo mipya ya kiuchumi sio suala la kitoto, tupo serious watz wote, who is peanut Zitto. Chadema ni mpango wa MUNGU
 
nimefurahi sana zitto kafanya zile hela za ruzuku walau zinatumikatumika kwa shughuli kusudiwa tofauti na zamani watu walikuwa wanajigawia bure bure

anzisha thread yakumsifu huyo mfu wafu wenzako watachangia.......
 
Wakuu,

Jiunge na kamanda Lilian Wasira katika 'Oparesheni Amsha Wanawake Tanzania' na bendi kabambe ya kinamama ikiimba nyimbo zote za albam ya Kwaheri CCM, ziara mikoa yote 30 kwa kasi ya mwanga! Tunaanzia jikoni DSM uwanja wa Taifa...

Saa ya ukombozi imefika!

Makamanda wote kunja ngumi peoples..!?

professor kilaza

Powerrrrrrr
 
viva bawacha......Mungu yu upande wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom