Lilian Wasira kuzindua albam ya nyimbo za CHADEMA Landmark hotel


O

obama sererea

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
101
Likes
1
Points
35
O

obama sererea

Senior Member
Joined Mar 13, 2012
101 1 35
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
 
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
4,923
Likes
373
Points
180
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
4,923 373 180
Hobgera sana Lilian. Ni mkakati mzuri ktk harakati za kulikomboa taifa dhidi ya mafisadi na wauza unga Niko mbali na bilashaka tutakutana nazo mitaani.
 
chuki

chuki

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,694
Likes
17
Points
135
chuki

chuki

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,694 17 135
Muulize huyo Lilian yeye ni Chadema Chumbani au Chadema sebuleni?
Anatumiwa kama Yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.
 
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,159
Likes
1,156
Points
280
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,159 1,156 280
mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira
Mkuu,
Kama sijakosea kuna kipindi alisema hapa kwamba Wassira ni baba mkubwa au mdogo.

Watu awakawii ku twist hayo hapo juu kwamba ni yeye kasema?
 
foshizzle

foshizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
377
Likes
1
Points
0
foshizzle

foshizzle

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
377 1 0
Safi sana. Anaweza kuamsha hamasa za wanawake wa tanzania kisiasa.
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,152
Likes
117
Points
160
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,152 117 160
Muulize huyo Lilian yeye ni Chadema Chumbani au Chadema sebuleni?
Anatumiwa kama Yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.
Ndiyo maana unaitwa chuki. Mtu ukishakuwa na jina lenye laana ni lazima uwe na kauli zenye laana na maisha yako yatakuwa ni yenye laana tu, hakuna namna nyingine.
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Akimaliza kuzindua album huko,aje na mim aniimbie bure nihamasike
 
IsangulaKG

IsangulaKG

Verified Member
Joined
Oct 14, 2010
Messages
707
Likes
150
Points
60
IsangulaKG

IsangulaKG

Verified Member
Joined Oct 14, 2010
707 150 60
Naomba Juliana Shonza apewe album bure
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,194
Likes
14,190
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,194 14,190 280
Hongera sana Kamanda Lilian..
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
529
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 529 280
Biashara matangazo...
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Hawa watoto ni wajinga sana, wanatumia jina la wasira kujitafutia umaarufu wa kisiasa
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Yeye ni chadema ipi, ya chumbani au ya sebuleni
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Ngumu sana kuzuia kifo cha michadema
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Safi sana. Anaweza kuamsha hamasa za wanawake wa tanzania kisiasa.
Kwann ahamasishe wanawake? Mmeharibiwa na slaa na mbowe kuharibu wake za watu nyie, kila mda mnafikiria wanawake tu
 

Forum statistics

Threads 1,262,141
Members 485,487
Posts 30,115,102