Operating system ipi ya simu ambayo ni bora kuliko zingine

Operating system ipi ya simu ambayo ni bora kuliko zingine

Sisi ni watumiaji wa kawaida tu, lakini je hao developers walio implement android kwenye products zao hawakuona windows?? Au tutasingizia kwamba windows sio free kama ilivyo android? Ni dhahiri kwamba android ni user friend, na ndo maana imekuwa popular

Ni kweli mkuu android inanifanya niitawale Simu yangu.!
 
Kati ya iOS,Windows,Blackbery na Android ipi OS unaikubali zaid?

.

wataongea sana lakini boss wao android..... hata idadi ya watu wanaotumia tu ni evidence tosha inavopendwa na wengi...
akifuatiwa na iOS... windows hana apps afu chache alizonazo za kikuda OS kimeo tu hiyo..

..........
 
Sisi ni watumiaji wa kawaida tu, lakini je hao developers walio implement android kwenye products zao hawakuona windows?? Au tutasingizia kwamba windows sio free kama ilivyo android? Ni dhahiri kwamba android ni user friend, na ndo maana imekuwa popular

unajua toka microsoft atangaze wp ni free oem wangapi wanatengeneza wp?
1.nokia
2.samsung
3.sony
4.htc
5.lg
6.lenovo
7.micromax
8.blu
9.prestigio
10.huawei
11.zte

hao nawakumbuka kwa kichwa sababu ni maarufu ila kuna wengine kibao siwakumbuki just wait mwisho wa mwaka uone simu kibao za wp zikitoka.

ceo wa acer aliongea point moja kubwa sana kuwa tunaogopa kuingia wp sababu tunamuogopa nokia na pia ni ya kulipia, hivi ndio vilikuwa vikwazo vikubwa sababu hakuna oem anaeweza kushindana na nokia interms of hardware na pia ni ya kulipia. kwa sasa wp imekua free na nokia mtengeneza simu yupo chini ya ms thats why ukaona kila mtu anatengeneza wp.

soon kaka sooon wp will go BOOOM simu kibao zinakuja nyingi zimeleak karibia kwa oem wote wa android
BnfNevOCAAATwlK.png

na sasa hv wp ni rahisi kutengeneza kuliko android
 
unga bundle kwenye simu nyengine au pc jiekee wifi. ila sasa hv ipo kwenye developer preview official inatoka kesho unaweza subiria hadi kesho au pengine kama watachelewesha hadi wiki hivi maximum utapata updates

Kwahyo lumia yangu itapata full update ya 8.1 kesho??au lini??
 
bro mbona unatukana ovyo? huyu mama hata hizi operating system mnazozungumza hazifahamu...nidhamu nikitu muhimu ktk maisha...
 
wataongea sana lakini boss wao android..... hata idadi ya watu wanaotumia tu ni evidence tosha inavopendwa na wengi...
akifuatiwa na iOS... windows hana apps afu chache alizonazo za kikuda OS kimeo tu hiyo..

IOS ingekuwa inatumika kienyeji enyeji kwenye other mobiles device (makampuni tofauti na apple) kama ilivyo android , ingekuwa na simu nyingi na kutumiwa na watu wengi 5 times ya android... IOS noooma mkuu
 
Kuendwa na wengi sio kuwa bora, inawezekana ni ulimbukeni wa wengi wananunua kufuata mkumbo, bila kujua kwenye soko kuna nini kizuri zaidi

Na aswa wengi nikutokana simu nyingi za android ni very cheap when brand new...iphone mpya ipigie badget ya M kwenda juu maana hakuna device (phone) ya IOS ambayo iko chini labda iphone 3 g na ambayo unanunua used kutoka kwa mtu. IOS iko juu.
 
sasa kwa hizo ulizotaja ni kama 30% ya mobile devices zote, kama ungeamua kutaja devices zilizotoka na android nadhani hata usiingehitaji reference, kwa maana ni nyingi almost devices zote hizo kwenye RED zimesha experience Android OS na nyingine nyingi hata ambazo sio popular. Especially tukizungumzia Win 8, ni vifaa vichache vilivyokuwa-installed win 8 kuacha zile mobile za zamani i.e HP (win Xp) na nokia (Win Xp)...

android imekuwa popular na Bora kutokana na simplicity (user friend) na hutumiwa na watu wengi hata wasiokuwa na knowlege ya computer, tofauti na WP... ukimpa mama wa nyumbani duh! Majanga

unajua toka microsoft atangaze wp ni free oem wangapi wanatengeneza wp?
1.nokia
2.samsung
3.sony
4.htc
5.lg
6.lenovo
7.micromax
8.blu
9.prestigio
10.huawei
11.zte

hao nawakumbuka kwa kichwa sababu ni maarufu ila kuna wengine kibao siwakumbuki just wait mwisho wa mwaka uone simu kibao za wp zikitoka.

ceo wa acer aliongea point moja kubwa sana kuwa tunaogopa kuingia wp sababu tunamuogopa nokia na pia ni ya kulipia, hivi ndio vilikuwa vikwazo vikubwa sababu hakuna oem anaeweza kushindana na nokia interms of hardware na pia ni ya kulipia. kwa sasa wp imekua free na nokia mtengeneza simu yupo chini ya ms thats why ukaona kila mtu anatengeneza wp.

soon kaka sooon wp will go BOOOM simu kibao zinakuja nyingi zimeleak karibia kwa oem wote wa android
BnfNevOCAAATwlK.png

na sasa hv wp ni rahisi kutengeneza kuliko android
 
Sometime naona hata tabu kuandika sababu mnatoa tu data fake kichwani. Samsung alone ana asilimia karibu 37 ya android halafu wewe unaniambia kuwa oem wote hao wana 30 percent ni akili hio? Lenovo, lg, samsung, huawei na zte hawa ni top 5 oem wa android kwa pamoja aproximation wanacomand 60 hadi 70 percent ya android yote kama hufahamu.

kuhusu urahisi meen you are not serious wp inafanya kazi from the box android hadi uanze kuunga net, sjui ueke cleanmaster, inakuja na bloatware mpaka uroot ndio zitoke, ina maelfu ya solution kuifanya iwe fast. Wp unaeka tu tiles zako 5 bas kaz imeisha tena yalivyo makubwa huna hata shida ya miwani
 
:thumbup::thumbup::thumbup:😀
 
hujaelewa comment hiyo mtu wangu, ulicho kisema kuhusu percentage ndicho nilichokiandika... otherwise...
 
Nokia Lumia sio ishu, ile interface sijui ikoje ukianza na settings na mpangilio wa applications. haina ladha kwenye matumizi kabisa
 
yap nimetumia android sana tu
-htc one
-gs4
-gs3
-galaxy chat

mimi naleta data zangu hizi hapa za uk
ios wakwanza ana 35% wapili wp ana 18% watatu samsung ana 17% na source hii hapa
Windows Phone OS to dominate B2B by mid-2015 | Mobile News Online

kwa marekani gonga hapa by february ilishafika 12%
IBM says its enterprise customers prefer Windows Phone handsets at work

nakuchallenge dreson 4 na wewe lete data uthibitishe jf kuwa wp ina 1% ya enterprise,

just fkiria nani aeke sensitive document kwenye android? wakati playstore imejaa malware kibao

hata simu za kichina siku hizi zinakuja na malware built in, built in sio official kaka. file manager ikija na samsung imetengenezwa na samsung na sio google mwenyewe hivyo ni 3rd party sio official elewa. ndio maana file manager ya samsung si kama ya htc wala haifanani na ya lg

i hate blah blah blah zitaje hizo video editors maana nimetaja kinemaster pro kama video editor pekee ya android inayofanya basics na wewe taja sio porojo zipi hizo zinazokata na kufanya filters?

upload file lako la raw image au nipe source kuwa s2 na samsung yako inatoa raw images na sema ni format gani maana unadanganya

asilimia 58% ya enterprise inamilikiwa na microsoft hizo 42 zilizobakia wanagawana makampuni mengine, hizo app za android ni za kusomea leo hii nikikupa kazi ya excell ukacalculate kwenye hizo office za android utalia mwenyewe na ukiprint alignment zote zinavurugika, nimejaribu kaka nimesoma kaka i know by experience nothing beat ms office

huelewi kaka faida ya universal app kwa mtu wa simu si kurun kwenye gadgets nyingi bali kupata very powerfull and productive apps mfano nimekupa full ms office i mean full ile ile anayotumia wa pc unaitumia na wewe just imagine how powerfull simu itakuwa ikirun app sawa na pc.

hapo kote nilikua nakuonesha kuwa wp kuna apps pia na kwenye simu huinstall app zote 1,000,000 simu zetu zina gb chache tu utaeka app 10 hadi 50 basi so wp inatosha kabisa kusatisfy matumizi yako ya siku ipo smooth haina lag ya aina yoyote, simu zinapata support even simu za mwaka 2012 kama lumia 620 zinauhakika wa updates ya 4 yaani wp8.1 na mwisho wa mwaka zitapata updates ya tano yani wp8.1 update 1. just imagine 5 major updates na bado zinaendelea. hakuna kama wp

Umemaliza Chief!!! Walete data sio blah blah. Kuwa android inatumiwa na watu wengi haitoshi kuifanya ndio os bora zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom