Operating system ipi ya simu ambayo ni bora kuliko zingine

hizo zote mbwembwe tu. Simu ni kupiga na kutuma sms kwisha kazi yake.
 
Kwa mtazamo wangu
Ios
Bb 10
Wp
Android
 
Theoretically WP ni bora
Practically Android ni bora
Physically iOs ni bora
Historically bb ni bora

Kwanini?
Ukielezea kitaalamu basi wp itaonekana bora kama anavyofanya chief mkwawa

Android ni bora kwakuwa watu wengi hadi akina sisi kamba nani tunaweza kuitumia na kujia ladha yake

Ios ni bora yaani ukiitumia mwenywe unaona utofuti na wengine

Bb amebaki historia ya enzi hizooo

My take
Ios is the best of all kwa maana ya stability, smoothness, durability, uhakika wa apps zake, user friendly, standardization, portability, security na high price inayosababisha watengenezaji kuumia kichwa Zaidi kwa dhamani halisi ya pesa zako ingawaje imebanwa sana kwa watumiaji kwa free nayo wanavyotaka

Anayefatia kwa karibu. Ni Wp tatizo lake sio user-friendly na haina apps za kumwaga ambazo watumiaji ndio hupendelea kuwa na machaguo

Watatu ni bb, jamaa wako vizuri sana tatizo lao nao ni soko linawashinda kwa kuendekeZa utamaduni uliofeli

Nne Android mzee wa ma lug, hapa bana utaichezea simu unavyotaka, apps ndio usiseme utapa hadi za dj choka app nk
Ni rahisi na inatumia device nyingi cheap na expensive, kila mtu anaweza kumiliki
 
you are right bro...
 
wataongea sana lakini boss wao android..... hata idadi ya watu wanaotumia tu ni evidence tosha inavopendwa na wengi...
akifuatiwa na iOS... windows hana apps afu chache alizonazo za kikuda OS kimeo tu hiyo..

Mkuu kutumiwa na watu wengi sio hoja ya msingi ios ni kitu ingine aisee huwez kulinganisha na os zingine kama android kwanza ios ni garama kutokana na kuwa stable kuliko os zingine na ndio maana tunao miliki ios tu wachache sana, hizo nyinine ni lain ka biskut na hapo virus huwa wanawatesa sana stuka mkuu.
 
Nakushangaa unavosema mnaomiliki iOs wachache, unadhani title hiyo? kua fan wa apple usidhani wabongo wote wameanza jana kama wewe! nkikutajia bidhaa za apple nlizomiliki utajiona mjinga, sio kitu cha kujidai hicho siku hizi kila mtu anacho, wachache who said so?? Mi naangalia features za OS, kaa unajidanganya virus utasema ushawahi kuona virus kwenye android, huwezi linganisha galaxy note na features zake na uchafu wa apple hata multitasking hadi leo 2014 hawana huku wenzao toka miaka mitatu nyuma... huna ujuzi wowote kuhusu simu unakaa unaleta ufanboy hapa

Unaongelea stability ipi hiyo ya iOS?? sijaona stable version hata siku moja zote ni errors kibao apps zinakaa zinajifunga ovyo...
 
Nlijuatu utapanic kinoma noma huna skills yoyote over os, hiz ios ni chache utakataa mpaka kesho, siitaji kujua umetumia vtu vingapi vya apple huo ni utoto, sio android kwenye tecno kila mtu anayo, ios ni 1/100 utakuwa umenielewa ka bado rud nakusubir
 
Nakushangaa unavosema mnaomiliki iOs wachache, unadhani title hiyo? kua fan wa apple usidhani wabongo wote wameanza jana kama wewe! nkikutajia bidhaa za apple nlizomiliki utajiona mjinga, sio kitu cha kujidai hicho siku hizi kila mtu anacho, wachache who said so?? Mi naangalia features za OS, kaa unajidanganya virus utasema ushawahi kuona virus kwenye android, huwezi linganisha galaxy note na features zake na uchafu wa apple hata multitasking hadi leo 2014 hawana huku wenzao toka miaka mitatu nyuma... huna ujuzi wowote kuhusu simu unakaa unaleta ufanboy hapa

Unaongelea stability ipi hiyo ya iOS?? sijaona stable version hata siku moja zote ni errors kibao apps zinakaa zinajifunga ovyo...
Mkuu si ndio wewe ulisema sababu inatumiwa na watu wengi?
Huwezi kuukwepa ukweli kwamba kumiliki iphone ni gharama sababu apple hawana device cheap, wao wakitoa flagship ndio hiyo basi milioni na ujinga
Sasa akina samsung wana device za kuanzia laki hadi milioni na zote android
Wamiliki wengi wa android wanatumi device za chini na kati wakati wenye s4 au S5 original ni wachache kama wanao miliki iphone zinapotoka

Tusikae kudanganyana hapa ni wangapi hapa bongo watakwenda dukani kununua iphone 6 ukilinganisha na tecno au hauawei mpya Ilitoka?

Hivi mfano mtu akikwambia benz na vogue zipo chache sababu ni gharama utambishia?
Au utasema toyota za kati ndio bora sababu zinatumiwa na wengi?

Iphone 5s inakaribiana na specification za S2 lakini inachuana na akina S5.
Kuna os linaongoza kwa bug kama Android
Hebu tumwagie features note tajwa tuone iphone 5s takataka mkuu
 
iphone 5S inakaribiana na S2?? hahaha...
nitajie bugs za android...
afu iphone inawatumiaji zaidi ya 300million people wanatumia, sijataja ipad ambayo ndo inaongoza sales upande wa tablet... naongea hivi ili huyo raia aliyekaa anajidanganya ni special kumiliki apple device, bongo tu ila nje kitu cha kawaida sana dollar 500-700 kwa simu, wengi wanazo ishakua michezo sasa..

Umetumia S-pen ya Note kweli? features zote zile apple hawana, umeona multitasking kwenye android? nambie uliwahi multitask lini kwenye iOS, hata iPad Air tu haina pamoja an kua na specs kubwa na screen yote ile bila muktitasking ni ujinga...

angalia angalau keynote moja ya google uelewe features zake zote, usikalie juu juu tu, hizo bugs mnazoziongelea kwenye simu za $200 kwa nini msilinganishe high end kwa high end.. 5s na Note3 zioizotoka kipindi kimoja na bei zinaendana...
 
Back
Top Bottom