Operating system ipi ya simu ambayo ni bora kuliko zingine

Androids ndio mpango mzima. Samsung wanaitumia kwenye simu zao na ndo simu zinazouza sana katika soko.
 
IOS kwa wenye akili zao.....kama kilaza android inakuhusu....wenye akili zao watanielewa
mnisaheme bure mtakao kwazwa kwa neno kilaza...nimetafuta mbadala nimekosa, ila ukweli ndo huo.

Nadhani kilaza ni mama yako mzazi aliyekuzaa mtoto usie na nidhamu ya maandishi wakati una argue na wenzako..
 
Androids ndio mpango mzima. Samsung wanaitumia kwenye simu zao na ndo simu zinazouza sana katika soko.

10455127_667520663316075_314412414103031745_n.jpg
 
Android ni noma jaman...kwanza ni user friendly compared to Wp. Hizi Wp ni had mtu awe na idea ya smart phone na using window ndo aweze kumaster haraka (a bit pro). Android napenda apps market iko vast n ol in ol ile app ya android lost kwangu mm inanifanya niione best os ever. (Maximum security )
 
apps zipo chache sawa ila ukisema za kikuda hapana nakataa windows phone sasa hivi imeishaipita android kwenye enterprise market ipo nafasi ya tatu nyuma ya kinara blackberry akija ios wa tatu wp na mwisho android.

1.os ya kwanza kuwa na file manager baada ya symbian
2.video editors
3.camera experience
tukiachana na hardware ambazo si part ya os ukija kwenye app za camera hakuna kinachoifikia wp, siongelei mambo ya camera 360 na app za kitoto i mean real proffesional issues. kwenye wp unaweza kupata raw images kwa ajili ya photoshop kwa android huwezi na bila raw images huwezi kuwa proffesional wa camera so android ni useless kwenye camera. pia kwenye wp kuna app kama nokia camera ambayo imeshinda award ya app bora ya mwaka 2013 kwenye site nyingi ikiwemo phonearena na wpcentral, kuna cinemagraph na nyenginezo.
4.office apps
5.universal app
6.best navigation ever
why apps za wp za navigation ni best?
1.unaweza download ukatumia offline wakati kwenye android hadi uwe na net na kama utapata za offline basi data zake wananunua kwa nokia
2.zinakuambia mahali ulipopaki gari yako
3. zinakuambia kuhusu foleni (baadhi ya nchi)
4. nk

7.nokia exclusive apps
8.microsoft games

Haha kwanza kabla ya yote nikulize swali, hivi ushawahi tumia android kweli wewe au unatania??
Si vema kuongea kitu kwa kujiamini kabisa huku umesikia tu au kusoma page moja flani kwenye net...

Ulivoongelea Windows kumpita android kwenye enterprise market kashikilia ati iOS, Blackberry, Windows afu ndio android.. hizo data zako ni za miaka sita nyuma au?? Enterprise market imeshikiliwa na iOS na Android peke yake, Windows akiwa wa tatu mwenye almost 1 percent... blackberry hata usiwataje kwenye enterprise market..... Alafu pia unasahau enterprise market sio soko lote, na sio linalochukua soko kubwa katika watumiaji... na istoshe wanaotumia mfano iPad kwa business unakuta wana phones za OS nyingine... enterprise market imeshikiliwa na iPads bna hiyo apple hana mpinzani

1. Kua na filemanager, nimeanza kutumia filemanager kwenye android toka enzi hizo natumia low end android device IDEOS ilikua inaitwa, sijui wewe hiyo simu yako ilikua ni android au utani, filemanager zipo built in.. siku hizi samsung galaxy hata ndio nisiseme kabisa obviously unajua wewe mwenyewe kua ni built in...

2. Video editors, sijui wewe ni video editor kweli au unatania, usinambie unataka features za Adobe CS ziwe kwenye simu! video editor ya kwenye simu/tablet inatakiwa iwe simple na features nyepesi tu kama filters chache na kukata na kuunganisha clips, na some effects basi.. Android does pretty well na kuna video editors nyingi zenye kuchukua muda mrefu sana wewe sijui nani alikudanganya mwisho dakika tatu.. ukihitaji apk files zake sema nikupatie

3.Camera experience, ati raw images zinapatikana kwenye wp peke yake, jamaa raw images mbali na kutegemea software inategemea hardware pia... mbona mimi nachukua raw images kwa samsung yangu?? au unadhani raw images hatuzijui? na hiyo haijaanza leo, hata watumiaji wa S2 wanachukua raw images... nani alikukaririsha ati ni windows phone peke yake... Raw images kila mtu siku hizi anafanya

4.Office apps, nenda android market fungua tafuta Microsoft Office app uone kama hujapata office applications zote... na ziko kwenye cloud pia so usidhani windows tu ndo wanaweza hilo, wp wanaweza sema slow zaidi...

5.Universal app, windows advantage waliyo nayo moja kubwa ni sababu tu wameshika soko la PC nothing more.... Android wao watakamata field nyingine zote, wao kwanza ndo waanzilishi wa universal apps, zinazorun kwenye multiple platforms zinazorun android....

6.Offline navigation, hapa peke yake ndio naweza kuwapa windows points, kwa offline Nokia HERE maps wako vizuri kuliko platform nyingine zote..

7.Nokia exclusive apps - hapa hata sitaki kupaongelea we mwenyewe unajua vizuri android exclusive apps zipo nyingi tu na hizo photo beamer sijui video treamer hizo features zake hata huitaji third party apps kwenye android kufanya vitu hivo... kwenye apps inabidi uombe msamaha kushindanisha wp na android

8.Microsoft games, kwa hiyo microsoft games peke yake ndo zinakupeleka wp?? basi na android games ndo zinanipeleka android, na mimi niseme hivo sasa... na najua wewe mwenyewe unajua kua kwenye mobile platform hakuna anayemtoa android kwa games kali, hata kwa kuuza games pia unajua vzr anayeuza games nyingi kwenye mobile platform ni nani...

Unavongelea Cloud services kama kuupload files kwneye computer na ukatumia everywhere, hiyo usiitaje kabisa maana ilianza miaka ya nyuma sana kwenye hizi platform nyingine... labda kama ulikua huwezi tumia enzi hizo...
 
File manager ya Android sio real ila n 3rd party,.
Hayo mengne endleeni wenyewe..
 
There is no such a thing as best OS, its a matter of preference. Some prefers Android and to them is the best, Others IoS, some Ubuntu Touch, Others Tizen, BB and old guys like me Samsung Wave/Bada. To Some Symbian or Meego are their best.

None of them is more correct than another. Best in this sense is subjective!
 
Haha kwanza kabla ya yote nikulize swali, hivi ushawahi tumia android kweli wewe au unatania??
Si vema kuongea kitu kwa kujiamini kabisa huku umesikia tu au kusoma page moja flani kwenye net...
yap nimetumia android sana tu
-htc one
-gs4
-gs3
-galaxy chat

Ulivoongelea Windows kumpita android kwenye enterprise market kashikilia ati iOS, Blackberry, Windows afu ndio android.. hizo data zako ni za miaka sita nyuma au?? Enterprise market imeshikiliwa na iOS na Android peke yake, Windows akiwa wa tatu mwenye almost 1 percent... blackberry hata usiwataje kwenye enterprise market..... Alafu pia unasahau enterprise market sio soko lote, na sio linalochukua soko kubwa katika watumiaji... na istoshe wanaotumia mfano iPad kwa business unakuta wana phones za OS nyingine... enterprise market imeshikiliwa na iPads bna hiyo apple hana mpinzani
mimi naleta data zangu hizi hapa za uk
ios wakwanza ana 35% wapili wp ana 18% watatu samsung ana 17% na source hii hapa
Windows Phone OS to dominate B2B by mid-2015 | Mobile News Online

kwa marekani gonga hapa by february ilishafika 12%
IBM says its enterprise customers prefer Windows Phone handsets at work

nakuchallenge dreson 4 na wewe lete data uthibitishe jf kuwa wp ina 1% ya enterprise,

just fkiria nani aeke sensitive document kwenye android? wakati playstore imejaa malware kibao

1. Kua na filemanager, nimeanza kutumia filemanager kwenye android toka enzi hizo natumia low end android device IDEOS ilikua inaitwa, sijui wewe hiyo simu yako ilikua ni android au utani, filemanager zipo built in.. siku hizi samsung galaxy hata ndio nisiseme kabisa obviously unajua wewe mwenyewe kua ni built in...
hata simu za kichina siku hizi zinakuja na malware built in, built in sio official kaka. file manager ikija na samsung imetengenezwa na samsung na sio google mwenyewe hivyo ni 3rd party sio official elewa. ndio maana file manager ya samsung si kama ya htc wala haifanani na ya lg

2. Video editors, sijui wewe ni video editor kweli au unatania, usinambie unataka features za Adobe CS ziwe kwenye simu! video editor ya kwenye simu/tablet inatakiwa iwe simple na features nyepesi tu kama filters chache na kukata na kuunganisha clips, na some effects basi.. Android does pretty well na kuna video editors nyingi zenye kuchukua muda mrefu sana wewe sijui nani alikudanganya mwisho dakika tatu.. ukihitaji apk files zake sema nikupatie
i hate blah blah blah zitaje hizo video editors maana nimetaja kinemaster pro kama video editor pekee ya android inayofanya basics na wewe taja sio porojo zipi hizo zinazokata na kufanya filters?

3.Camera experience, ati raw images zinapatikana kwenye wp peke yake, jamaa raw images mbali na kutegemea software inategemea hardware pia... mbona mimi nachukua raw images kwa samsung yangu?? au unadhani raw images hatuzijui? na hiyo haijaanza leo, hata watumiaji wa S2 wanachukua raw images... nani alikukaririsha ati ni windows phone peke yake... Raw images kila mtu siku hizi anafanya
upload file lako la raw image au nipe source kuwa s2 na samsung yako inatoa raw images na sema ni format gani maana unadanganya

4.Office apps, nenda android market fungua tafuta Microsoft Office app uone kama hujapata office applications zote... na ziko kwenye cloud pia so usidhani windows tu ndo wanaweza hilo, wp wanaweza sema slow zaidi...
asilimia 58% ya enterprise inamilikiwa na microsoft hizo 42 zilizobakia wanagawana makampuni mengine, hizo app za android ni za kusomea leo hii nikikupa kazi ya excell ukacalculate kwenye hizo office za android utalia mwenyewe na ukiprint alignment zote zinavurugika, nimejaribu kaka nimesoma kaka i know by experience nothing beat ms office

5.Universal app, windows advantage waliyo nayo moja kubwa ni sababu tu wameshika soko la PC nothing more.... Android wao watakamata field nyingine zote, wao kwanza ndo waanzilishi wa universal apps, zinazorun kwenye multiple platforms zinazorun android....
huelewi kaka faida ya universal app kwa mtu wa simu si kurun kwenye gadgets nyingi bali kupata very powerfull and productive apps mfano nimekupa full ms office i mean full ile ile anayotumia wa pc unaitumia na wewe just imagine how powerfull simu itakuwa ikirun app sawa na pc.
6.Offline navigation, hapa peke yake ndio naweza kuwapa windows points, kwa offline Nokia HERE maps wako vizuri kuliko platform nyingine zote..

7.Nokia exclusive apps - hapa hata sitaki kupaongelea we mwenyewe unajua vizuri android exclusive apps zipo nyingi tu na hizo photo beamer sijui video treamer hizo features zake hata huitaji third party apps kwenye android kufanya vitu hivo... kwenye apps inabidi uombe msamaha kushindanisha wp na android

8.Microsoft games, kwa hiyo microsoft games peke yake ndo zinakupeleka wp?? basi na android games ndo zinanipeleka android, na mimi niseme hivo sasa... na najua wewe mwenyewe unajua kua kwenye mobile platform hakuna anayemtoa android kwa games kali, hata kwa kuuza games pia unajua vzr anayeuza games nyingi kwenye mobile platform ni nani...

Unavongelea Cloud services kama kuupload files kwneye computer na ukatumia everywhere, hiyo usiitaje kabisa maana ilianza miaka ya nyuma sana kwenye hizi platform nyingine... labda kama ulikua huwezi tumia enzi hizo...

hapo kote nilikua nakuonesha kuwa wp kuna apps pia na kwenye simu huinstall app zote 1,000,000 simu zetu zina gb chache tu utaeka app 10 hadi 50 basi so wp inatosha kabisa kusatisfy matumizi yako ya siku ipo smooth haina lag ya aina yoyote, simu zinapata support even simu za mwaka 2012 kama lumia 620 zinauhakika wa updates ya 4 yaani wp8.1 na mwisho wa mwaka zitapata updates ya tano yani wp8.1 update 1. just imagine 5 major updates na bado zinaendelea. hakuna kama wp
 
Last edited by a moderator:
Android ni noma jaman...kwanza ni user friendly compared to Wp. Hizi Wp ni had mtu awe na idea ya smart phone na using window ndo aweze kumaster haraka (a bit pro). Android napenda apps market iko vast n ol in ol ile app ya android lost kwangu mm inanifanya niione best os ever. (Maximum security )

kuhusu security ya simu ios na wp ndio zina ant theft bora sababu zinakuja na os option ya kuzuia simu isiibiwe. mtu akiibha unaenda kwenye website ya simu yako una login unaanza kumtrack huhitaji software wala app ya aina yoyote. kwenye android una access ya system files unaweza delete app bila kuzi uninstall nikishika kasimu kako naitoa hio android lost bila kui uninstall.

kuhusu urahisi wp ni rahisi tena sana sababu ina tiles unayapanga tu. inahitaji dk 5 tu unaelezwa unaelewa
 
Natamani microsoft waipe root access wp iwe kama windows ya pc ambapo mtu unaweza fanya customization upendavyo

mie nimenunua lumia ili ni experiment wp sio kila siku chief-mkwawa aje atoe fact zake afu nishindwe hata kumbishia,

kitu ambacho wp imenilet down, kwanza ni izo live tiles, kwa kweli kwenye simu hazipendezi ukicompare na pc,halafu wangeamua basi app zote zitokee mbele kwenye izo live tiles badala ya kuswipe left upate menu, yani hamna sehemu ya kuweka wallpaper mpaka kwenye lock screen

kitu cha pili ni flat ui,kwenye simu it sucks

ila jamani tuache tu uongo wp ni ya ukweli kwenye ufanyaji kazi, its sleeky smooth uwezi compare na android, japo mie ni android die hard fan ila haka ka os kako vizuri,

pia naona simu inakaa na chaji sana kuliko android, sijui ni hardware yangu au ni os imechangia ila chaji inakaa sana hata km ntatumia simu muda wote,

napata shida kuona mafaili ya doc, pdf, nikiweka in certain folders yani office au adobe reader haiyaoni mpaka niyahamishe, hata kuyafuta manually hayaonekani nahisi ni sababu ya root access hakuna

in scale of 1 - 10 wp naipa 5.5
sija update kwenda wp 8.1 japo nasikia kuna vitu vizuri zaidi

android ndio naipenda wadau wameisemea sana ila haijaniangusha saana naipa 7

ios naipa 9/10
 
ishu ya walpaper na kuona mafile tayari imeshakua solved kwenye 8.1 unaweza cheki juu file manager na hii hapa ni walpaper yake.
WP8.1_Start_Screen.png

zinakua tiles ni transparent na unaiona picha.

kama tiles zinaboa unaweza download 3rd party skin ukatoa live tiles inaweza kuwa kama hivi
lumia920.jpg
 
daaah nimesoma mahala ishu nyingi zimesoviwa kwenye wp 8.1 kama file manager na zingine,

tatizo la update hakuna ya njia ya ku update manually wala ku update kwenye simu i mean kwa ku download kutumia bundle, inataka tu via wi-fi, au kama kuna njia mbadala na mie niweke wp 8.1 niweze kufaidi zaidi
 
unga bundle kwenye simu nyengine au pc jiekee wifi. ila sasa hv ipo kwenye developer preview official inatoka kesho unaweza subiria hadi kesho au pengine kama watachelewesha hadi wiki hivi maximum utapata updates
 
yap nimetumia android sana tu
-htc one
-gs4
-gs3
-galaxy chat

mimi naleta data zangu hizi hapa za uk
ios wakwanza ana 35% wapili wp ana 18% watatu samsung ana 17% na source hii hapa
Windows Phone OS to dominate B2B by mid-2015 | Mobile News Online

kwa marekani gonga hapa by february ilishafika 12%
IBM says its enterprise customers prefer Windows Phone handsets at work

nakuchallenge dreson 4 na wewe lete data uthibitishe jf kuwa wp ina 1% ya enterprise,

just fkiria nani aeke sensitive document kwenye android? wakati playstore imejaa malware kibao

hata simu za kichina siku hizi zinakuja na malware built in, built in sio official kaka. file manager ikija na samsung imetengenezwa na samsung na sio google mwenyewe hivyo ni 3rd party sio official elewa. ndio maana file manager ya samsung si kama ya htc wala haifanani na ya lg

i hate blah blah blah zitaje hizo video editors maana nimetaja kinemaster pro kama video editor pekee ya android inayofanya basics na wewe taja sio porojo zipi hizo zinazokata na kufanya filters?

upload file lako la raw image au nipe source kuwa s2 na samsung yako inatoa raw images na sema ni format gani maana unadanganya

asilimia 58% ya enterprise inamilikiwa na microsoft hizo 42 zilizobakia wanagawana makampuni mengine, hizo app za android ni za kusomea leo hii nikikupa kazi ya excell ukacalculate kwenye hizo office za android utalia mwenyewe na ukiprint alignment zote zinavurugika, nimejaribu kaka nimesoma kaka i know by experience nothing beat ms office

huelewi kaka faida ya universal app kwa mtu wa simu si kurun kwenye gadgets nyingi bali kupata very powerfull and productive apps mfano nimekupa full ms office i mean full ile ile anayotumia wa pc unaitumia na wewe just imagine how powerfull simu itakuwa ikirun app sawa na pc.

hapo kote nilikua nakuonesha kuwa wp kuna apps pia na kwenye simu huinstall app zote 1,000,000 simu zetu zina gb chache tu utaeka app 10 hadi 50 basi so wp inatosha kabisa kusatisfy matumizi yako ya siku ipo smooth haina lag ya aina yoyote, simu zinapata support even simu za mwaka 2012 kama lumia 620 zinauhakika wa updates ya 4 yaani wp8.1 na mwisho wa mwaka zitapata updates ya tano yani wp8.1 update 1. just imagine 5 major updates na bado zinaendelea. hakuna kama wp

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
unga bundle kwenye
simu nyengine au pc jiekee wifi. ila sasa hv ipo kwenye developer
preview official inatoka kesho unaweza subiria hadi kesho au pengine
kama watachelewesha hadi wiki hivi maximum utapata updates

unatumia sim gan mkuu?
 
Sisi ni watumiaji wa kawaida tu, lakini je hao developers walio implement android kwenye products zao hawakuona windows?? Au tutasingizia kwamba windows sio free kama ilivyo android? Ni dhahiri kwamba android ni user friend, na ndo maana imekuwa popular
 
Back
Top Bottom