UC browser ni the best kwangu kwa matumizi ya simu, kwanza ipo faster mara mbili zaidi ya opera katika ku extract data online
...sina uc blauza,nainstolije mkuu...
kwa kazi zilizotengenezewa opera ni best haina mpinzani
1. compression ya data ni kubwa hata network ikiwa ya edge utatumia vizuri.
2. uwezo wa kutumia bookmarklet na kuongeza function kama kutranslate page, kufungua mafile ya pdf nk.
3. yenyewe ipo fast interms ya ram, haili resource sana na file lake ni dogo compare na ucweb.
ucweb ni nzuri kwenye downloading tu.
kwa better comparison nafkiri ungeeeka opera next inayotumia webkit na ucweb. sababu ucweb ni full browser ya simu wakati opera mini inatumia compression kubwa.
Yaa nis Sahihi mkuu kwa upande wa Web page compression operamini ni the best !
Pia nadhani operamini next wengi sana hawaijui ! Niliitumia sana kwenye C5 nikiwa symbian !
Ila kwa upande wangu mi ni adui mkubwa sana wa White colour ! Background Huwa inaumiza macho kitu ambacho kwenye operamini kilishindikana !
Nikawa nalazimika kutumia Blackle ! Kama search engine Blackle - Energy Saving Search
lakini background ya UC ni customizable !