Opera Mini vs UC Browser Chaguo lako ni lipi ?

Kabla cjajua uc nilikuwa naona opera ndio noma but since niijue uc ndio best browser kwa mobile phones i wish wa develop ya kwenye pc itakuwa mzuka sana.
 
Itakuwa ya kawaida sana kama wata develop Ya PC !

Mana kwenye simu tunaipendea hasa Downloading speed !

Ila kwa PC tunatumia akina IDM !

Firefox itabaki kuwa bora ! Japo mi napendelea TOR !
 
Back
Top Bottom