Open University of Tanzania

Open University of Tanzania

UNDERGRADUATE PROGRAMMES
1 Application
fees 30 30
2. Fee per
examination 20 40
3. Quality
assurance
fee (annually) 20 40
3. Student
Organization fees 20 20
4. Student Identity
card 20 20
Fees For Local
Students And
Students From EAC And SADC(USD)

Mimi nimeshindwa kuzielewa, kwani kutakuwa na gharama nyingine au ndo hizi tu? sababu kunasehemu wameandika maombi ni 10000, hapa tena ni tofaut mi hata siwaelewi
 
Nataka nipige master of finance(MoF) sijui hiyo ipo ...?
 
Mkuu nataka nisome LLB hapo,VP? Ada na admission kwa mwaka huu ikoje ?mi ni mtumish wa uma Niko mara
 
Hapo Ada unalipa kwa unit ambayo ni TSh 60000 kwa hiyo inategemea na coz kwa mfano coz yako ina unit 12 kwa mwaka utazidisha kwa hiyo 60000 gharama zingine ni tcu, student organisation fee na examination fee ambayo ni TSh 5000 kwa kila mitihani
 
Asante mkuu, vipi mda wa maombi na usajiri , nikama vyuo vya kawaida au hiki unaomba mda wowote?
 
Mkuu, hebu nifafanulie hapa ada bado ni 60,000 kwa somo? au washabadilisha.nime-google hata siion fee stracture ya out. pia kunaidadi ya unit ambazo ni lazima kuzichukua kwa semister? pia BACHELOR OF COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT ninaweza kuisoma kwa miaka mingapi?

Kozi za undergraduates zote ada ni shs 60,000/ kwa unit na kwa BCED utasoma unit 36 kama sijakosea!

Kama utafuata maelekezo na kuwa na self discipline huwezi kuzidi miaka mitatu na unakuwa competent vizuri sana
 
Ubarikiwe mkuu
 
Si kila elimu itolewayo na open ni ya masafa marefu IT inafundishwa darasani na ni mikoa 13 inayofundisha IT na pia kuna baadh ya course zinafundishwa darasani pia za level nyingine pamoja na masters
mm nataka kusoma masomo ya graphic design upande wa micromedia, indesign, coldfusion, photoshop, illustrator, na mengineyo yahusuyo graphic ni bei gani
 
Kozi za undergraduates zote ada ni shs 60,000/ kwa unit na kwa BCED utasoma unit 36 kama sijakosea!

Kama utafuata maelekezo na kuwa na self discipline huwezi kuzidi miaka mitatu na unakuwa competent vizuri sana
Kozi za IT gharama zake ni shilingi ngapi mkuu?? per unit!
 
Back
Top Bottom