LogicWanderer
New Member
- Feb 28, 2011
- 4
- 2
Kumekuwa na ubadilishwaji wa matumizi ya maeneo ya umma ya wazi kuwa maeneo ya shughuli za halmashauri.. Ni lini tutakuwa na mipango endelevu ya kulipanga jiji na kutokubadilisha matumizi ya maeneo? Mfano: Kinondoni Biafra sasa kumejengwa yard ya magari, Kinondoni Ada Estate eneo la wazi imejengwa kituo cha afya… Maeneo ya wazi ya kupumzika na michezo sasa hakuna…
Barabara zinajengwa hazina mazingira friendly kwa watembea kwa miguu.. road spaces zote zimekuwa ni kwa ajili ya vyombo vya moto.
Barabara zinajengwa hazina mazingira friendly kwa watembea kwa miguu.. road spaces zote zimekuwa ni kwa ajili ya vyombo vya moto.