Open Relationship

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Hello Guys, How is your weekend? hope mpo poa kabisa. My Question is hivi ni nini maana ya open relationship and does it real work? kuna Rafiki yanguu alimuaproach msichana yule msichana akasema kama anamtaka basi wawe katika open relationship
 
Alimaanisha wasiwe na mambo ya faragha. Kitu ambacho nafikiri rafiki yako sio alichotaka kwa huyo binti.
 
open relationship

ni mahusiano yasiyo na kuchungana

yaani humuulizi mwenzio jana ulikuwa wapi na ulikuwa na nani?????

na hata ukimkuta yupo sehemu na mtu mwingine huulizi unaendelea na zako....

yaani mahusiano yanayo ruhusu mtu kuanzisha uhusiano mwingine bila kuulizwa

ni kama ndoa ambayo watu wameamua kuishi nyumba moja lakini hawachungani
 
Ma husiano ya hivyo ni mabaya sana. Yanatengeneza chuki katika jamii. Ina maana ikitokea ukaulizwa na mwenza wako uhusiano wako na huyo Open wako lazima utatengeneza habari za uongo ambazo zikigundulika zinaleta madhara makubwa sana.
 
Wakti bado cjajitoa facebook vijana wa kibongo unakuta wameweka status zao kuwa ni "in an opn relationship" wakiamni wanamaanisha uhusiano ambao ndugu na jamaa wa karibu wanautambua. ila hii kitu haina maana kbc mnakuwa sawa na watu wa kuchakachuana tu.
 
sitaki kabisa ujinga huu, mapenzi hayataniwi

Hahahahahah lol! Ni rahisi sana kuyaingia lakini unajua tena ukishaonja asali!.....nasikia njemba ndio huwa zinaanza kujenga feelings na kuanza kuuliza maswali ambayo hayakutakiwa yaulizwe...Nilikupigia simu jana saa fulani hukupokea ulikuwa wapi? Nilikuona jana na njemba fulani saa fulani katika maeneo fulani, yule uliyekuwa naye ni nani? n.k.
 
open relationship

ni mahusiano yasiyo na kuchungana

yaani humuulizi mwenzio jana ulikuwa wapi na ulikuwa na nani?????

na hata ukimkuta yupo sehemu na mtu mwingine huulizi unaendelea na zako....

yaani mahusiano yanayo ruhusu mtu kuanzisha uhusiano mwingine bila kuulizwa


ni kama ndoa ambayo watu wameamua kuishi nyumba moja lakini hawachungani

Or you can call it, Sexmates
 
Hii sasa kwa hapa kwetu bongo haifanywi? Au inafanywa kwa siri? Mi kuna mtu mmoja tena ameoa na lipete likubwaa mkononi, kanitokea nkamuliya naona umevaa pete kwani huyo mwenye hiyo pete hakutoshi? Akanijibu hanitoshi, na akaendelea kuniambia usidanganyike kwamba mwanaume anatosheka na mke aliye nao. Kwa hiyo na cc wanawake tusiridhike na ninyi basi? Tuondoe tu hizi kingo. Open...
 
Mi nipo kwenye open relationship na watu kama 16 hivi hapa dar wala sina presha na haki zao wanazipata bila kwere!!!

Ee mungu tujaalie sie viume wako wenye uchu wa pesa na mademu!!
 
Jamani Jamani
open relationship
sio ku date
bali ni makubaliano ya kufanya
mapenzi nje ya uhusiao wenu
wakati bado uko na mpenzio ..
( nani kwa makubaliano kati yako na mpenzio)



sio ku date ni ajili ya sex tu..
 
Jamani Jamani
open relationship
sio ku date
bali ni makubaliano ya kufanya
mapenzi nje ya uhusiao wenu
wakati bado uko na mpenzio ..
( nani kwa makubaliano kati yako na mpenzio)



sio ku date ni ajili ya sex tu..

Ni kweli kabisa AD....lakini kama nilivyosema hapo juu wengine hunogewa baada ya kuonja asali na kutaka kumiliki rasmi na haya ni maneno ya Wanawake ambao waliwahi kuwemo katika hizi open relationship kwamba wanaume wengi kuanza kutaka kuwamiliki na kusahau kwamba makubaliano yao yalikuwa ni open relationship au ****buddy na kuuliza maswali ambayo hawakustahili kuyauliza au kuja juu pale wanapomtafuta mtu hawampati au kumuona yuko na njemba nyingine. Nadhani pia wapo ambao wanaziweza hizi relationship za namna hii lakini kusema kweli yahitaji moyo mkubwa.
 
Back
Top Bottom