guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,310
Asalam wana JF
Jamani katika harakati za kupeleka fadhila kijijini tumeamua kwenda kujenga nyumba huko ya wazazi. Hivyo tulishaanza mchakato wa kufanikisha hili tulishaandaa tofali na kuchimba kisima cha maji.
Nimepewa kazi ya kutafuta ramani nzuri hivyo mimi nimeona niitoe kama shindano hapaJF. Kwa atakayeshinda basi tutawasiliana tuifanye buishara.
Namna ya kushiriki:
1. Chora rough (hata isiwe na 3D) then iweke hapa, prefably kwenye pdf
2. Hiyo design iwe ina Vyumba vitatu (kimoja kiwe master), sebule na store.
3. Kumbuka nyumba inaenda kujengwa kijijni so zingatia mazingira hayo (isiwe inambwembwe sana) na isiwe kubwa sana kama kanisa (a moderate house)
4. Dau linarange from 150k to 200k.
5. Nina kamati hapa ndogo ya kuangalia ramani ipi nzuri na mwisho wa kushiriki ni jumapili tar 10/4/2016 saa 12 asubuhi. Mshindi atatangazwa hapahapa JF na atatoa mlejesho mara baada ya kukamilisha shindano
6. Unaweza shiriki mara nyingi uwezavyo, ila napendekeza kwa kila ramani andika jina lako (yaani avatar) ili iwe rahisi kutambua ipi ya nani na ipi ya yupi.
Karibuni!