FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
-
- #21
Ndiko migoma ilipo na Nyuki hufuata asali.
Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu
Kulikoni???nashngaa
mshiki is great indeed!OOPS NA WEWE NIMUKUKUMBUKA KWELI...ooops!umehama dar kama sipo?Morning! h r u?
Mshiki hajambo?
Nimekugongea Senksi kwa hii yuzifuli posti.Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu
Kulikoni???nashngaa
Huyu dume huyu!Fursa sawa kwa wote Vidole juu kwa wote pia.
Njemba hii!Tunaonesha kuwa na sisi tunaweza, sio nyie tu...
Dume jenzangu hili.Usishangae FL1..........Ni mambo ya beijing ya kiume hayo............
Hapa sina haja ya kufafanua. Mdumisha Mila huyu.Dah hii kitu inabidi ijumaa hii nikafanya utafiti hapo lango la jiji na Travertine naomba JS twende wote.
Hapa pado utata........ Upelelezi unaendelea.Ndio mambo kama ya Hawa the bus driver hayo
Huyu naye bado kuna utata.Ndiko migoma ilipo na Nyuki hufuata asali.
He! Huyu naye? Ila jina linanitia mashaka. Inaelekea mhudhuriaji mzuri wa twaarab huyu. Uchunguzi unaendelea!Ata wacheza show(stage show) wa katika Rusha Roho ni wanaume
Hehehe! Kamanda nawe uko kwenye mchakato wa kuibua vipaji?namba ya mashosti imeongezeka.
Huyu ni mwanaume mwenzangu.Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!
Kwa hiyo tutabanana hapahapa. Taarabu sio umbeya kumbe, tutaingia wote humo, bora unajua kusoma sentensi na kuzungusha kichwa chako ukanenua meno watakuja wapenzi kibao nawe utakula hela tu bila jasho.
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu
Kulikoni???nashngaa
Ahsante dada!Mambo ya usawa yamejibu zaidi kwa jinsia dume.....imebaki kubeba mimba tu...na yenyewe inafanyiwa 'research'.....vinginevyo taarab, dady day care, kusuka, kupika, u-'Naomi Campbell' mambo ya mitindo, 'ushhhhh'.........NAKWAMBIA BADO KUJIFUNGUA TU. NA YALE MAMBO YETU YA TWO THINGS...EENH.... MATUMIZI YA TISSUE PAPER TWO SIDES..mambo ya ALWA....... OTHER WISE KUNA ASICHOWEZA KUFANYA MWANAUME DUNIANI SASA HIVI??????????????????????????
Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!
Kwa hiyo tutabanana hapahapa. Taarabu sio umbeya kumbe, tutaingia wote humo, bora unajua kusoma sentensi na kuzungusha kichwa chako ukanenua meno watakuja wapenzi kibao nawe utakula hela tu bila jasho.
Ahsante dada!
Leo ndo nimejua wewe ni she!
Hili Sredi leo ni yuzifuli sana!
Hormonal imbalance. The feminization of the male of the human species.
Kama ambavyo ushoga nao unakua kwa kasi.
Sitanii. Ni hormones, siku hizi ziko kila mahali, kama si hormone halisi (kupitia kwa wazazi wao e.g. wakina mama kumeza/ choma dawa za kupanga uzazi) basi kemikali zinazofanana na hormone katika chakula na vinywaji.
Ukikaa vibaya watakufungia na khanga
Loh! laaziz.....yaani kwa sababu nimevaa khanga yako....kweli umenichoka!!!!
Nazima computer nikaugulie maumivu kwanza......nitapona baada ya wiki hivi.
Injinia na wewe wapenda taarabu??
Ha ha!! Simo!!
Ila mara moja moja, hasa zikitoka mpya na ile midundo ila nikishasikia maneno tu, huyoo narudi kwenye zangu za Roots
Kaeni chonjo!, mtajikuta mmenyang'anywa fani yenu!. Mjini shule ambako kuna ulegevu watu ndo wanahamia upande huo kufanya mambo!.
Huyu ni she. Lazima!Kweli huo ndio usawa? mpaka taarabu jamani........
Ahaaa! Dume hili! Confirmed!Ha ha!! Simo!!
Ila mara moja moja, hasa zikitoka mpya na ile midundo ila nikishasikia maneno tu, huyoo narudi kwenye zangu za Roots
Huyu ni mwanaume lazima.Kaeni chonjo!, mtajikuta mmenyang'anywa fani yenu!. Mjini shule ambako kuna ulegevu watu ndo wanahamia upande huo kufanya mambo!.
Na tukishachukuwa kila kona ya taarabu wataanza kusema..... HUU MFUMO DUME.............Kaeni chonjo!, mtajikuta mmenyang'anywa fani yenu!. Mjini shule ambako kuna ulegevu watu ndo wanahamia upande huo kufanya mambo!.