Aminata kwa maneno ya aina hii inaweza ikawa ngumu kidogo kumtuliza mwenza, ona hata TF umeshindwa kumsiliza. Yataka utulivu,maelewano na NK, kuwa na mwanaume na awe wako tuu!!la ivuga mana ndio alitangaza mchumba wake anaumia sana koz ni etra etra large sasa hiulo lako nenda kalimbembee tu halooooooooooooooooooo inahuuuuuuuuuuuuuuuuu
nimekusoma .....wao ndio wananitibua mm na micoment yao mm sio mgomvi walaAminata kwa maneno ya aina hii inaweza ikawa ngumu kidogo kumtuliza mwenza, ona hata TF umeshindwa kumsiliza. Yataka utulivu,maelewano na NK, kuwa na mwanaume na awe wako tuu!!
NATAMANI AWE WANGU PEKE YANGU WA KUFA NA KUZIKANA CKU ANANIVIKA SHELA ...............NITAJIONA MWENYE FURAHA SANA HAPA DUNIANI.............lkn mmmmmmmmmh!
hahahhahha waeitaaaaaaa (Rejao)utakoma leo tunakupa kitchen party. Lol.
saint ivugaNani???
hanaitwa ze don
The F naona wanaotaka haya madude wanaongezeka sijui na mimi nikalitengeneze?Duh!! Kumbe na wewe unahitaji lol!!!
ni pm pleaseeeemi nataka la extra extra extra large.
unaniangusha ..sema the don SIyani wanipa raha mie na kicheko huku .....................usiseme una mbio kabla hujakimbizwa babu ...............anaitwa JM ZE DON
hakuna wa kwako peke yako.
ni pm pleaseeee
Acha kumdanganya mwenzio...
hahahhahha waeitaaaaaaa (Rejao)
muongezeee Husninyo nyama choma na kinywaji plizzzzzzzzzzzzzzz